pesa

  1. FRANCIS DA DON

    Airtel kutuma pesa kwenda kampuni zingine au bank: ‘Unable to fetch , bad details’

    Tangu jana usiku, nikitaka kutuma pesa toka Airtel money kwenye mitandao mingine ya simu au bank napata ujumbe wa ‘Unable to fetch, bad details’ Je, kuna taarifa yoyote rasmi juu ya tatizo hili? @airteltanzania
  2. Bams

    Mbowe baada ya kupewa pesa iliyotajwa kuwa ni fidia, alitakiwa kuweka wazi ili isionekane kuwa ni hongo

    Ni wazi kuwa Mbowe alilipwa pesa nyingi inayotajwa kuwa ni fidia ya yeye kukaa gerezani kwa kesi ya kusingiziwa, na pia kwa kuharibiwa biashara zake. Lakini kwa nafasi yake kama kiongozi wa chama kikuu cha upinzani, na kwaajili ya kuleta uwazi katika uongozi, na kuzuia fikra za pesa hiyo...
  3. monta

    Kitu gani ulinunua kwa pesa yako ya kwanza kulipwa?

    Wakuu ni kitu gani ulinunua kwa pesa yako ya kwanza kulipwa au kupata iwe kwenye ajira rasmi,boom la chuo au pesa uliyoingiza kwenye biashara. Nakumbuka kipindi naanza chuo mwaka 2014 pale udsm niliingiziwa boom laki 7 kipindi naanza semester ya kwanza first year nikaingia kupatana.com...
  4. Wazolee

    Michoro ya X na maandishi ya bomoa bomoa barabara ya Chamazi Mbande ni uhalibifu wa pesa za walipa Kodi

    Meneja wa TAN ROADS uliwatuma watu wakachole bomoa bomoa katika majumba yote yanayosemekana yapo barabarani na Nina uhakika hi kazi wale walioifanya hakufanya Bure ila walilipwa pesa nyingi tu Hivi Sasa watu wamegundua kuwa ule ulikuwa usanii na watu wameanza kujenga Kwa Kasi katika hayo hayo...
  5. uttoh2002

    M - Pesa siyo ya kutegemea Masaa Karibu 20 sasa Huduma inasumbua

    Vodacom Tanzania Hii si sawa, ni Masaa Karibu 20 sasa Huduma yenu haipo sawa, hela za Biashara na transactions zipo hewani! Si sawa! Tunakwama
  6. sinza pazuri

    Lissu alimwambia Abdul endapo angefanikisha kumsaidia kupata pesa angekuwa rafiki yake. Hajafanikiwa, anachafua kila mtu

    Haya ni maneno ya Tundu Lissu “nilimwambia Abdul anisaidie kupata malipo yangu na nikampa documents,angefanikiwa angekuwa rafiki yangu” Huyu ndio wafuasi wake wanasema ni mkweli kanyooka anachukia utawala wa CCM. Mtu aliyenyooka na anaejua utaratibu anaalika mtoto wa rais nyumbani kwake...
  7. Mad Max

    Mwakani nahamia Nissan: Either Leaf, Note au Ariya!

    Bado uwezo wa kumkimbia Mjapan sina, ingawa Mchina na Mmarekani wanashawishi ila hamna jinsi. Kwa trend anatoenda nayo Nissan kutokea 2020 aisee nadhani ndio kituo kifuatacho. Kama nitabaki na ICE (magari ya mafuta) nitamfikiria Nissan Note 2020. Engine ndogo 1.2L hybrid itafaa sana hapa...
  8. ukwaju_wa_ kitambo

    AFANDE SELE FT. BWANA SAM - MTU NA PESA.

    AFANDE SELE FT BWANA SAM - MTU NA PESA Verse ..1 ( afande sele) Mtu na pesa hakuna mwanadamu asie jua maana ya pesa/ hata mwanangu Tunda hi leo ana ijua pesa/ tangu ana miezi tisa (9)/ maana kila kukicha anacheki inavyonitesa/ baba ake nateseka / mchana kutwa mbilika na usiku ni batashika/...
  9. RUSTEM PASHA

    Abdul ananufaika na nini kupigania Lissu alipwe, mpaka kumfuata Tegeta? Mtoto wa Rais anapigania pesa za mkosoaji mkuu wa mama yake?

    Narudia kuuliza mara Kwa mara, Abdul mpaka kufunga safari kwenda Tegeta kwa Lissu akitokea Ikulu akiambatana na jamaa yake Wenje. Lengo hasa la Abdul ni nini au atanufaika vipi kupigania kwa mama yake Lissu alipwe pesa zake. Inawezekana Abdul ni mtu mwema sana kwa viongozi wa upinzani kuliko...
  10. Eli Cohen

    Yemen ni mwendelezo mwingine wa ndoto ya jihad yoyote atakaye pata mamlaka ili aridhishe hamu yake ya kufanya maafa. Syria itafata subiri wapate pesa.

    Chezea mtu aliefunzwa kwa kuchochewa chuki na vurugu tangu utoto. Kwamba solution ya jambo lolote ni kuwa a rebel na haki ya kweli ni ile ya itikadi yao mahasusi. Basi tambua kuwa hawa watu hata waamie kwenda sayari venus, wataanza kupigana tena wao kwa wao kwa maana asili yao ni resistance...
  11. Yoda

    Lissu aseme pia pesa alizotaka kupewa aliambiwa ni za nini au kwa lengo gani?

    Kwa sababu Lissu amekuwa anafunguka sana kwa vyombo vya habari na ameamua kuweka wazi mambo yote ndani ya CHADEMA waandishi wa habari sasa wamuulize Lissu pesa zinazosemewa alililetwa na Abdul ambazo anaambiwa wengine walizichukua waliambiwa ni za nini. Ili story ikamalike na iweze kuunganika...
  12. Wakusoma 12

    Kwanini gharama za kutuma pesa kutoka Akaunti ya benki kwenda mtandao ya simu ni kubwa sana?

    Hili suala limekaaje kitaalamu, mfano benki kama NMB ukitaka kutuma pesa kwa mtu kutoka kwenye Akaunti ya benki kwenda kwa namba yake ya simu Cha mtema Kuni utakiona. Je hii ni sawa wakuu? Kwanza gharama za makato hazionekani kabla ya kutuma pesa, ila utakutana nazo tu ukishatuma tayari. Hii si...
  13. M

    Ukiwa na pesa machaguo yanaongezeka bila hekima utapotezwa uelekeo

    UKIWA NA PESA MACHAGUO YANAONGEZEKA BILA HEKIMA UTAPOTEZWA UELEKEO UKIPATA PESA MACHAGUO YANAONGEZEKA HII NDIO SABABU YA KESI NYINGI ZA KUSEMA KABADILIKA BAADA YA KUPATA PESA. Wengi wanashauri ni vizuri kutafuta mwenzi kabla hujapata pesa ila mimi naona huu ushauri ukiungia kichwa kichwa...
  14. Gulio Tanzania

    Ni kweli hili shirika wanatoa pesa za bure?

    Nimekutana na hii post kwa mtu wa karibu tunayefahamiana kupewa million Tano kwa kujisajiri kwenye hilo shirika Post hii "wengi walighairi ila ni ukweli nilipokea hizi hela kutoka USAID promotion ni halali wala sio mkopo.Unalipa ada kulingana na mchango utakaochagua iwapo uko na hela...
  15. Full charge

    Kauli ya 'tafuta pesa inatumiwa vibaya

    Kauli hii hutumiwa eidha na watu wasiojua nini maana ya pesa au watu wanaopata pesa kwa njia haramu (wezi,madawa) Huwezi kuwa tajiri kwa kauli hizi za kipumbavu,yani eti ukiona kahaba mwenye makalio makubwa basi ndiyo utumie pesa kumpata hayo si matumizi sahihi ya pesa ni ulimbukeni tu...
  16. Balqior

    King daz, kijana alieonesha jumba lake la kifahari mtandaoni, source ya pesa zake ni nini haswa?

    Habarini Huyu jamaa nasikia anamiliki king d auto spares, huenda labda anamiliki king d hotel ya sinza Hizi pesa nyingi watu wanazipataje wakuu.🤔mtu mwenyewe haendani na pesa anazomiliki, mtu amevaa suti ila suruali amepiga mlege😁 Lugumi muonekano wake unaendana na pesa anazomiliki ila sio...
  17. L

    Mbowe Aendelee Kung'ang'aniwa Agombee Uenyekiti.BAWACHA Kumchangia Pesa Yote ya Kuchukulia Fomu.

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Mbowe Mwamba Mwenyewe na jabali la siasa za Upinzani katika ukanda huu wa Afrika mashariki aliyejitoa kwa jasho na Damu kuijenga na kuiimarisha CHADEMA mpaka ilipofikia leo hii Ameendelea kung'ang'aniwa na wana CHADEMA ili aweze kugombea nafasi ya uenyekiti wa...
  18. Jumanne Mwita

    Mabadiliko NHIF kama huna uwezo utakufa, hakuna nafuu yoyote zaidi ya kutafuta pesa kwa nguvu kutoka kwa wananchi

    NHIF wamefuta Najali ambayo mtu mmoja alikua analipa 192,000/=, Wekeza 384,000 na Timiza 516,000/= Wametambulisha vifurushi vipya ambavyo ni Serengeti Afya 660,000 na Ngorongoro Afya 240,000 kwa mtu mmoja kwa mwaka. Wamebadili kifurushi cha watoto ambacho awali kwa mtoto ambaye bado hajaanza...
  19. NyegereBOY

    Unamtaji wa kuanzia 1.5M au ulikuwa na lengo la kufungua biashara ya M-pesa/Tigo pesa ? Achana na hilo wazo kwanza January hii Anza na hii biashara

    Salamu Sio muhimu sanaaa soma hapa chini 👇 Biashara yenyewe ni hapa Kuhudumia wateja wa mtandao wa YAS zamani Tigo ambao wanachukua huduma zao za kibiashara kutoka katika kitengo Cha Tigo business au almaarufu kama Mjasiriamali box HUDUMA HIZO NI Post Paid Bundles 5G...
Back
Top Bottom