Somo lingine la pesa na mwanaume. Jifunze kusikiliza mitetemo ya mawimbi ya nishati kati yako na mwanamke unayeanza naye mahusiano. Kuna wakati unaweza kujisikia mzito sana kumfungulia wallet yako mwanamke fulani. Usidharau kabisa hiyo nguvu inayokusukuma kusunda kibunda chako. Siyo kila...
Ndiyo nipo kwenye vijiwe vya kahawa ndiyo habari kubwa ni hiyo ya makamanda wanalalamika eti pesa zinaliwa na wachache tu huku juu tu ila makamanda wa chini hawaambulii hata thumni ndiyo maana chama kinalega lega na kuleta migogoro ya mara kwa mara kabisa! Mmmmh ngoja tuone linaishaje hili saga...
Tangu mtandao ubadili jina yaani ni majanga tupu.
Ni zaidi ya lisaa sasa, huduma ya Mixx by Yas (zamani Tigo pesa) haipo hewani. Sio kwa menu ya kawaida wala kwenye App yao.
Nilikuwa nilipie bidhaa fulani nimeshindwa, huu ni utapeli sasa
Kwa wale tuliozoea neno 'Tigopesa' na uhusiano wake na huduma inayopatikana ya 'Pesa' kwa njia ya mtaandao wa TIGO, mnaonaje matumizi ya neno jipya la 'Mixx by Yas' lisivyo na uhalisia/ufanani na huduma inayotolewa ya 'Pesa'!
Inawezekana wahusika na kubadilika kwa jina hilo wana maana nzuri tu...
WAKUU naombeni kujua ni mtandao gani kati ya hii iliyopo nchini UKIWEKA PESA kwenye huduma za miamala Ina ulinzi mzuri yaani ngumu watu kuiba pesa kati ya hii tigo Vodacom Airtel na halotel
Tigo sasa ni Yas na Tigo Pesa ni Mixx by Yas. Hakutakuwa na mabadiliko yeyote kwenye huduma au bidhaa zetu .
Ujumbe wa Tigo kwa sasa ni Yas , ki branding kwinini isiwe Yas pesa?
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda baada ya Wananchi kutimiza wajibu wao wa Kikatiba wa kuchagua viongozi wasipoteze muda wa kulinda kura kwani sio wajibu wao.
"Achana na Habari ya kukaa kituoni kulinda kura hiyo ni kazi ya mawakala wa vyama vya siasa wewe kapige kura ukimaliza ondoka nenda...
Nchi hii haijawahi kuwa nyepesi kwenye uchumi lakini kuna awamu kadhaa mambo yanakuwa nafuu
Kipindi cha kikwete kulikuwa na kampuni kibao, ajira watu wanachagua, mzunguko mkubwa wa pesa, n.k. vijana wengi walishika pesa.
Awamu ya Magufuli tunaijua kwamba vyuma vilikaza, ni special case.
hii...
Watu wana pesa jamani.
Kama za majini au za madili Mimi sijui ninachojua ni kwamba watu wana pesa sana.
Yawezekana mifumo ya sasa ni rafiki kwa watafutaji.
Tuombe Mungu asitokee tena mtu kama Magufuli aliyevurugavuruga uchumi wa wananchi na wananchi wakamshangilia.
Siko hapa kumsifia Rais...
Eti mala yako ya mwisho wewe kuokota pesa lini na ulikota shingapi?
Na ushawai oupoteza pesa kiasi gani mpaka ukajilaumu sana
Mimi mara ya mwisho kuotoka pesa ilikuwa juzi shilingi 100 niliokota
Na nilipoteza pesa 10000 na iyo ndio ilikuwa kilinda mfuko ugenini nikaona aibu kuomba nauli...
Wewe ni kaka au dada una mdogo wako wa kiume 20’s anafanya kazi na anaishi kwake (amepanga) lakini unaona anatumia pesa nyingi ku spend na madem na starehe mbalimbali, je utamshauri nini au utamuacha
Rais wetu amekuwa akimwaga mapesa kwenye mipira, ati anaweka hamasa.
Lakini kimsingi hakuna hamasa yoyote anayoweka zaidi ya hizo timu kufanya siasa na unafiki
Yaani Aziz ki anavuta million 40+ Kwa mwezi, Ateba anavuta million 30+, waanze kugombania million 10 ambayo itagawanywa Kwa wachezaji...
Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Bara, Ester Thomas, ametoa onyo kali dhidi ya vitendo vya kuwahusisha wananchi wanaoiunga mkono ACT Wazalendo na madai ya kufutiwa msaada wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini (TASAF).
Akizungumza na wananchi wa kijiji cha Masewa, kata ya Masewa, jimbo la Bariadi...
Tundu Lissu amewataka maaskofu waliopokea pesa kutoka kwa Rais Samia, ambazo amezitaja kuwa "chafu" kuzirejesha zilipotoka na kutokubali kushiriki katika vitendo vya uovu.
Pia, Soma: Askofu Wiliam Mwamalanga awavaa Maaskofu waliopewa fedha na Rais Samia, "Rudisheni pesa kama walivyofanya Kenya"
Kuna benki kadhaa hap nchini imekuwa ni kama utamaduni / mazoea mtu kukalishwa muda mrefu mpala lisaa unasubiri kuweka / kutoa pesa.
Ni kweli mawakala wapo lakini kuna sababu zinatulazimu kwenda bank, mawakala wengi huwezi kuingiza au kutoa zaidi ya milioni 1.
Unaingia Benki, unatoa kikaratasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.