peter madeleka akamatwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wakili Kisabo: Tumemdhmini Madeleka, ila hatujaondoka naye. ZCO amesema Polisi watamrejesha nyumbani kabla ya saa 6

    Wakili Paul Kisabo amesema wamefanikiwa kumdhamini Wakili Peter Madeleka ambaye alikamatwa kwa tuhuma za kudharau amri ya mahakama. Wakili Kisabo amesema pamoja na kufanikiwa kumdhamini, wameshindwa kuondoka naye baada ya Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Kanda Maalun (ZCO) kuwaeleza kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Polisi: Tunamhoji Peter Madeleka kwa Tuhuma za kudharau amri ya Mahakama Kuu

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limesema kuwa tarehe 14 Agosti 2026, saa 9:30 alasiri, eneo la Mikocheni B, Kinondoni, limemkamata na linamhoji Peter Madeleka kwa tuhuma za kudharau amri za Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, maarufu kama “Mahakama ya...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Peter Madeleka amekamatwa na Polisi, aachiliwa bila Masharti baada ya kuomba msaada kwa Mawakili

    Ame tweet mwenyewe kwenye mtandao wa X zamani Twitter ==== Kupitia ukurasa wake wa X Peter Madeleka ameweka ujumbe akisema amekamatwa na polisi na anashikiliwa katika kituo che Central Dar, ambapo ameomba msaada wa Mawakili. Pia soma: Peter Madeleka: Nina uwezo wa kwenda Mahakamani kufungua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…