peter msigwa

Peter Simon Msigwa (born 8 June 1965) is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Iringa Town constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Peter Msigwa: Hayati Magufuli alikuwa shujaa wa kizamani

    KATIKATI YA MAJONZI: Ndiyo Nagutuka kuwa Tuliyempoteza ni Shujaa Aliyepitwa na Wakati! Anaandika Peter Simon Msigwa Sitaki kuwabishia wale wanaomwita Shujaa. Tofauti yangu na wao ni fikra tu. Kuna fikra za kisasa na fikra za kizamani! Ukweli ni kwamba Mpendwa wetu JPM alikuwa ni mtawala wa...
  2. L

    Mbona hawa Sijawaona Msibani?

    Jamani toka tuanze maombolezo na shughuli nzima za kuaga Mwili wa Mh.JPM sijawaona kabisa viongozi wafuatao 1. Mh. Lowassa-Waziri Mkuu Mstaafu 2.Mbowe Freeman - Aliyekuwa Kiongozi rasmi wa kambi ya upinzani Bungeni ktk Serikali ya Hayati ya kipindi cha miaka 4 ya kwanza. 3. Peter Msigwa -...
  3. K

    Peter Msigwa: Halima Mdee kama ni Kamanda aachie Ubunge

  4. YEHODAYA

    Uchaguzi 2020 Peter Msigwa akosa watu wa kumfanyia kampeni na kumnadi amuomba binti yake wa Kwanza amnadi kwenye mkutano wa Kampeni Iringa

    Peter Msigwa akosa watu wa kumfanyia kampeni na kumnadi amuomba binti yake wa Kwanza amnadi kwenye mkutano wa Kampeni Iringa aliouandaa Hapa akimwita binti yake kuwa njoo uninadi kwa wapiga kura
  5. OKW BOBAN SUNZU

    Peter Msigwa: Biblia na viongozi wa dini wasitumike kupumbaza watu

    Hakika nimemuelewa sana Peter Msigwa. Kuna viongozi wa dini muda wote ni kusifu tu, hata pale yanapotolea mambo ya hovyo hutawasikia wakikemea. Wale wachache wanapokemea wanaitwa wachochezi na wanaingilia siasa. Waacha unafiki. Wanapopata fursa ya kukutana na viongozi wasifie na kuonya,huo ndio...
  6. Dam55

    Mch. Peter Msigwa, kwa hili tukio la Mbowe nenda katubu kwa uzushi wako kama kweli wewe ni mtumishi wa Mungu

    Maneno yangu ni machache tu kwako na najua upo humu na utaupata ujumbe huu. Wewe kama mtumishi wa Mungu tena mchungaji kabisa ulichokifanya si haki mbele za Mungu. Umeeneza uzushi kwamba mh Mbowe alishambuliwa na watu walio mshambulia walikuwa wanatamka maneno "wewe ndio unamsumbua Rais...
  7. Egnecious

    Uchaguzi 2020 Dkt Bashiru: CCM haipo tayari kupoteza jimbo la Iringa Mjini

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally, akiwa katika ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Iringa, amewahakikishia wanachama, mashabiki na wakereketwa wa CCM kuwa Chama hakipo tayari kupoteza jimbo la Iringa Mjini kama ilivyofanyika miaka michache nyuma. Ameyasema hayo...
  8. Etwege

    Mbunge Peter Msigwa unaongoza kwa unafiki nchini

    WAKATI WA KAMPENI NILILIONA BANGO HILI "MALOFA KATIKA UBORA WETU". å Kadri siku zinavyokwenda naanza kuondoa lawama hizi kwa rais mstaafu kama muasisi Wa kauli hii, naamini kua aliwatamka vile kwa kuwafahamu na si kuwa dharilisha. Naamini haya kupitia kauli za Mh. Peter Msigwa Kabla ya...
Back
Top Bottom