Ndugu watanzania ,nimekuwa nafuatilia kwa muda siasa za hiki chama cha chadema kwa muda sasa.Itoshe kusema kuwa haka katasisi kanao baadhi ya wafuasi wanaojitambua walao kwa kiasi kidogo.
Mchungaji Msigwa ni mmoja ya wanachama wachache saana walioko chadema mwenye kuweza kuongea na kutoa maono...
Mradi wa Maji unaohudumia zaidi ya kaya 150, uliofadhiliwa na kusimamiwa na Chadema, na hatimaye kuzinduliwa na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, umesababisha Mtafaruku mkubwa huko Njombe.
Hii ni baada ya viongozi wa serikali kuwakalia kooni wanakijiji na kuwahoji kwanini waliwaleta Chadema...
Lema ambaye ni mjumbe wa kamati kuu ya Chadema aliwaonya Wananchi kuhusu Fedha wanazopeleka kwa manabii.
Mchungaji Msigwa naye akasema Baadhi ya wachungajj hugeuza makanisa yao kuwa vitega Uchumi hivyo Serikali iwachunguze na kuwachuja.
Leo huko Kenya ambako Mchungaji Msigwa alikuwepo juzikati...
Mbunge msitaafu wa Jimbo la Iringa mjini kupitia CHADEMA mchungaji Peter Msigwa ameivaa serikali ya Rais Samia kutokana na kushuka Kwa nidhamu ya watumishi wa umma nchini.
Msigwa amesema utendaji kazi wa watumishi wa Serikali kwa sasa ni wa hovyo sana tofauti na kipindi cha Rais Magufuli.
Sasa...
Kitu kimoja ambacho Viongozi wakuu wote wa Upinzani wanakubaliana ni kwamba hayati Magufuli aliimarisha nidhamu ya Watumishi wa Umma na nidhamu ya serikali kwa Wananchi Wote.
Wanapopongeza hili wajue pia Nidhamu haiji kwa kuchekeana bali hutengenezwa kwa mfumo wa kimkakati.
Ni katika...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imeipongeza serikali kwa kuanza kuboresha mazingira ya haki za Binadamu ikiwemo uhuru wa kujieleza na kutoa maoni. Hayo yalisemwa na Chama hiko wakati wa maadhimisho ya siku ya haki za binadamu kupitia Tamko la kimataifa la Haki za kibinadamu (UDHR)...
Wakuu anayefahamu huyu mzee ni mchungaji wa kanisa gani anijuze, sijawahi kuona akihubiri popote wala kuongea chochote kuhusiana na uchungaji wake.
Kipindi cha nyuma(2013) Kuna mbunge alimpiga kijembe kwa kumwita mchungaji wa nguruwe😂 siku hiyo Speaker Makinda na naibu wake Ndugai walikuwepo na...
Huu mwaka ni mbovu kwa wananchi tangu dunia iumbwe, chama cha CHADEMA kinapitia wakati mgumu sana, viongozi wakuu, viongozi wa Kanda na mikoa wamepigwa gundi mdomoni kuongea hawawezi tena na huenda Kuna void contract iliyowekwa baina ya hawa viongozi wa CHADEMA tunaodhani ni watetezi na hawa...
mi ni miongoni mwa waliomsifia Rais Samia Kwa baadhi ya mambo Kama hili la kuleta demokrasi angalau Kwa asilimia 35 , ni vizuri Kabisa kuona hata ndani ya Chama kuna wanaotofautiana mawazo na yajibiwe Kwa heshima si matusi.
Leo nimemuona Mbunge mstaafu wa Iringa mjini akisifia Royal tour ni...
Aliyekuwa mbunge wa Iringa mjini kupitia CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa amempongeza Rais Samia Suluhu Hassani kwa kazi uzuri na ubunifu wa Filamu maarufu ya kitalii ya THE ROYAL TOUR.
Kiongozi huyo wa CHADEMA wa nyanda za juu kusini amesema kuwa inawezekana labda kuna mapungufu madogomadogo...
MCHUNGAJI MSIGWA AFUNGUKA SAKATA LA NGORONGORO:- WALIPWE FIDIA WAHAMISHWE, WANA HAKI ZAO
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA ambaye pia ni Mwenyekiti wa kanda ya Nyasa wa chama hicho, aliyewahi pia kuwa mbunge wa Iringa mjini na waziri kivuli wa Wizara ya Maliasili na utalii Mchungaji Peter...
Muda ni Mwalimu mzuri sana ! Wanafiki wote wamejidhihirisha.
Tabia za ki TIKITI MAJI nje wa kijani na ndani mwekundu, ziko wazi . Jambo moja la kumshukuru JPM ni la kutufanya tujue tabia za watu wengi.
#MboweIsNotATerrorist https://t.co/Y6l1tcnXnd
"Baada ya kushinda kesi ya Mh Freeman Mbowe na wenzake, mjadala sasa ni juu ya matumizi ya 350M, hatujadili uhai wa Akwilina. Nani alimuua? Nani anawajibika? Mkurugenzi wa Kinondoni anawajibikaje? Kwanini hakutoa barua za mawakala? Athari walizopata warufani. Uhuni huu utaisha lini?"
- Mch...
Kuna msemo wa waswahili kuwa mafahari wawili kamwe hawakai zizi moja.
Hiyo ilijionyesha Iringa kati ya DC Kasesela na Mbunge mchungaji Msigwa.
Leo hii Kasesera tayari amesha hamisha kila kilicho chake na kurudi kwao iwambi Mbeya na kumuacha Mch. Msigwa akifahidi ulanzi wake mjini Iringa.
6:27 AM Juni 15, 2021, aliyekuwa Mbunge wa Iringa, Peter Msigwa ameandika haya kupitia ukurasa wake wa Twitter:
"Hii sio kamati ya Amani, ni kikundi cha watu wasaka tonge. Wanotumia Neno la Mungu kuilinda serikali ya CCM ibaki madarakani. Wanastahili kupuuzwa na jamii ya Watanzania. Ni sawa na...
Ndugu zanguni naombwa nifahamishwe je Gerson Msigwa aliyewahi kuwa mbunge wa Iringa 2010--2020 na Ndugu Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali, msemaji wa rais kwa Sasa ni Ndugu?
Kama ni Ndugu, Je ni ndugu wa namna gani? Ni ndugu kwa maana wa damu(baba moja mama moja) Ni ndugu kwa maana mtoto...
Peter Msigwa ulisimamia haki, Hukuogopa vikao vya familia na undugu wako na Hayati Rais Magufuli.
Moja kati ya watu ambao wangeamua kuwa na kiburi basi ni Peter Msigwa angeweza fanya kiburi. Na hata angehamia CCM ndugu yake Magufuli angekupitisha Iringa mjini bila kupingwa.
Hata ndugu yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.