peter msigwa

Peter Simon Msigwa (born 8 June 1965) is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Iringa Town constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Siitaki siasa tena Part 2: Ali Karume wa kufukuzwa CCM?

    Ali Karume wakati wa uchaguzi uliosusiwa na CUF 2015 alimcheka marehemu Seif, na alimsema sana marehemu na hatimaye akawa waziri baada ya uchaguzi. Hivi sasa Ali Karume kafukuzwa CCM wakati Peter Msigwa aliekuwa anawashambulia anakula kiyoyozi kizuri na neema nyingi. Siasa siitaki tena.
  2. Mshana Jr

    Peter Msigwa mbona kimya sana? Ama keshatupwa ghalani?

    Aliahidi kuzunguka nchi nzima (hakutaja kwa gharama za nani) kuelezea mazuri ya chama chake kipya alichokuwq akikisema vibaya miaka yote.. Na kukiponda chama chake cha zamani. Ametumika kwa kipindi kifupi kuliko ilivyotarajiwa.. Na sasa hasikiki tena Kinachoonekana ni bado ana maumivu mengi...
  3. J

    Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Mimi sijaikimbia CHADEMA ila CHADEMA ndio imenikimbia, Naipenda!

    Mbunge mstaafu wa Iringa mjini mchungaji Msigwa amesema Kimsingi yeye " HAJAIKIMBIA" Chadema ila Chadema ndio imemkimbia yeye Soma Pia: Mchungaji Peter Msigwa Awatupia CHADEMA Vijembe vya Moto Mchungaji Msigwa ametoa Siri hii ya moyoni kwake kwenye Mahojiano na Carol Ndosi kwenye podcast ya...
  4. J

    Mchungaji Msigwa awe Katibu wa Itikadi na Uenezi na Makalla awe Makamu Mwenyekiti wa CCM

    Kutokana na Kazi kubwa anayofanya mchungaji Msigwa Kwa ajili ya Chama na jinsi anavyopendwa na Wananchi ni vema Kamati Kuu ikamteua kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi. Makalla arithi nafasi iliyo wazi ya Makamu mwenyekiti wa CCM. Ahsanteni sana 😄
  5. Li ngunda ngali

    Pre GE2025 Kwamba Peter Msigwa anataka tuamini yeye ni CCM kuliko wenye CCM yao?

    Kwa mwenendo wake na hata ayanenayo tokea ajiuze huko CCM, Peter Msigwa amekuwa akitumia nguvu kubwa kutaka kuaminisha Umma wa Watanzania eti yeye ni CCM kindaki-kindaki haswa. Najiuliza, hivi Msigwa haijui CCM vizuri eti? Wallah CCM watakachomfanya Msigwa hatokuja kusahau!
  6. Cute Wife

    Msigwa: Sisemi napinga mfumo wa vyama vingi bali napinga mfumo wa vyama vingi vya ubabaishaji kama wa CHADEMA na wengine

    Wakuu, Mambo yanazidi kunoga huko, ni mwendo wa kupondana kwa kwenda mbere! ==== “Nchi yetu ina utulivu mkubwa, tunapendana, tunashirikiana, sisemi mimi napinga mfumo wa vyama vingi, lakini napinga mfumo wa vyama vingi vya ubabaishaji kama huu wa chadema na vyama vingine. Hawa ni...
  7. L

    Mchungaji Peter Msigwa Awatupia CHADEMA Vijembe vya Moto

    Ndugu zangu Watanzania, Hivi Ndivyo Mtumishi wa Mungu peter Msigwa alivyowatupia vijembe CHADEMA Watu wanapenda kujiita makamanda hapa kwa mitandao (keyboar heros) wamemuacha mwamba anaandamana pekee yake hata watu hamsini hawakufika magomeni. Wapi mwita , Cathetine, maranja,Lutembeka...
  8. Matulanya Mputa

    Pre GE2025 Tutegemee kuhama kwa wanasiasa baada ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa na pia atakayeongoza huo ndiye mshindi 2025

    Uchaguzi wa serikali za mitaa ni turufu kwa vyama vya siasa vyama hivyo ni CCM, CHADEMA, ACT-WAZALENDO hivi ndiyo vyama leo vinazungumzwa ata vijiweni. Japo nchi yetu kutokuwa na chaguzi za huru na haki kama ikitokea uchaguzi unakuwa wa huru na haki kwa 80 % basi tutakuwa tumepata uelekeo wa...
  9. Heparin

    Pre GE2025 Peter Msigwa amwandikia Mbowe barua akidai fidia ya Tsh. Bilioni 10

    Baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe kumtaka Mchungaji Peter Msigwa kuomba radhi na kulipa fidia ya Shilingi bilioni 5 kutokana na madai ya kumkashifu, Mchungaji Msigwa kupitia mawakili wake kutoka Mwamgiga Law Chambers ametoa majibu rasmi. Katika...
  10. Mwizukulu mgikuru

    Kuendelea kumuita Peter Msigwa "mchungaji" ni kuikosea heshima nafasi hiyo

    Msigwa alikuwa ni mwanachama kindakindaki wa chama cha Chadema hili wote tunalitambua, amekuwa mjumbe wa kamati kuu ya chadema kwa muda wa miaka 10, Msigwa hakuna asilolifahamu kuhusu Chadema, kama ni Siri za Chadema Msigwa anafahamu Siri nyingi tu kuhusu Chadema. Kosa kubwa analolifanya msigwa...
  11. Black Butterfly

    Msigwa: Nilipokuwa CHADEMA nilikuwa Mjinga

    Mwanachama mpya CCM akitokea Upinzani, Mchungaji Peter Msigwa, amesema wakati alipokuwa CHADEMA hakuwa na ufahamu kwamba Mchakato wa Katiba Mpya ulikuwa unakwamishwa na baadhi ya Viongozi wa CHADEMA lakini amelijua hilo baada ya kujiunga na CCM. Alipoulziwa na Mtangazaji wa Kipindi cha Medani...
  12. R

    Pre GE2025 Anachofanya Mchungaji Msigwa ni kuibomoa CCM huku akiijenga CHADEMA. Kwanini anatumia akili ndogo badala ya kubwa kama alivyokuwa CHADEMA?

    Mtizamo wangu kisiasa na ushauri wangu kwa chama cha Mapinduzi nikumwomba Msigwa asiendelee kuhojiwa kwenye vyombo vya habari. Kadri anavyohojiwa ndivyo anawafanya wana CCM waonekane wana akili ndogo. Mkakati huu alionao kwa wachambuzi wanapaswa kujiuliza kwanini wanachama wa CCM wanampuuza...
  13. Mindyou

    Pre GE2025 Peter Msigwa afichua madudu ya CHADEMA: Chama kimekuwa kama SACCOS, Mbowe anakimbiwa na kila mtu

    Habari zenu wanabodi, Kwenye mahojiano na Chief Odembo kwenye kipindi cha Medani Za Siasa, Mch. Peter Msigwa amezidi kutupia mawe Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Msigwa kwenye mahojiano hayo alifananisha CHADEMA na SACCOS kutokana na namna ambavyo chama hicho kinaongozwa kama biashara...
  14. Cute Wife

    Pre GE2025 Yaliyojiri kwenye mahojiano kati ya Chief Odemba na Peter Msigwa kwenye kipindi cha Medani za Siasa

    Mikutano ya Makatibu Wakuu wanakimbia ila hii ya roporopo anayoenda kuchamba chama chake cha zamani ahhhh, sababu inawachafua wengine na kuwapaisha wao. Ngoje tuona Msigwa atakuja na jipya gani leo. Pia soma: Kuelekea 2025 - Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini...
  15. L

    Pre GE2025 Peter Msigwa: Nimemtuhumu Mwenyekiti wa Chama, sijamtuhumu Mbowe

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni maneno ya Mtumishi wa Mungu Mheshimiwa Mchungaji peter Msigwa kada wa CCM kutokea mkoani Iringa na mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini. Ambapo amesema ya kuwa yeye amemtuhumu Mwenyekiti wa chama na siyo kumtuhumu Mbowe. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na...
  16. J

    Mimi ni CCM lakini nakiri CHADEMA walitumia Nguvu ya ziada kumnadi Mchungaji Msigwa Ubunge 2010 na 2015 Katikati ya Uzawa!

    Mchungaji Msigwa asisahau namna CHADEMA walivyompambania dhidi ya Monica 2010 Mchungaji Msigwa asisahau jinsi Baadhi ya wazawa wa CCM wale Team Lowassa walivyomkataa Mwakalebela na kusema afadhali wampe Yeye kwa Heshima tu ya Chadema kumpokea Lowassa Mchungaji Msigwa nadhani umenielewa sana...
  17. The Palm Beach

    Mch. Peter Msigwa, kwanini umekubali kuingia kwenye mtego kirahisi hivi? Tubu, omba radhi yaishe. Mungu atakusamehe

    Moderator, tafadhali kwa heshima na taadhima, naomba Uzi huu ujitegemee, usiunganishwe. Nataka rafiki yangu Mch. Peter Msigwa au washauri wake wa karibu wauone kirahisi pengine naweza kumsaidia. Ni rafiki na ndugu yangu, akinisoma tu ananielewa kwa code zetu...
  18. J

    Nimepitia Hotuba zote za mchungaji Msigwa kuhusu CHADEMA na kama anayosema ni kweli lazima Polisi wataifuatilia kwa makini!

    Mchungaji Msigwa alikuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA kwa Miaka zaidi ya 10 hivyo ni Wazi anajua Uovu mwingi wa Chama hicho na mapolisi na Wananchi watamuamini tu. Komredi Makalla alitumia akili kubwa kumvuna mchungaji Msigwa Kutoka CHADEMA kwa wakati sahihi kabisa kwa sababu ataeleza Siri...
  19. Ritz

    Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Wanaosema msitoke CHADEMA kwakuwa kuna future ni uongo mtupu, wao wenyewe hawana hiyo future

    Oh Msigwa kuhamia ccm kajimaliza kisiasa, nonsense kabisa! Yaani siasa nchi hii lazima ufanyie CHADEMA, wewe ambaye hujaisha kisiasa unafanya nini! Kisiasa ukoje! Oh vijana msitoke CHADEMA mna future nzuri, uongo tu. Hao wanaowambia mnafuture wao wenyewe hawana future! Pia soma==>> Mchungaji...
  20. L

    Pre GE2025 Mchungaji Peter Msigwa aendelea Kuwavurumishia Makombora Mazito CHADEMA

    Ndugu zangu Watanzania, Mtumishi wa Mungu Mheshimiwa peter Msigwa ameendelea kuvurumisha Makombora Mazito mazito kwa CHADEMA,ambayo yameonekana kuteketeza na kusambaratisha kabisa kambi zoote za CHADEMA na kuwafanya askari wake kuishi kwa kutanga Tanga muda wote. Mtumishi huyo wa Mungu...
Back
Top Bottom