peter shalulile

Peter Shalulile (born 23 October 1993) is a Namibian professional footballer who plays as a striker as captains the Namibia national team. He is regarded as one of the best strikers to play in the South Africa top flight division.

View More On Wikipedia.org
  1. Freyzem

    JamiiForums Tanzania Huyu Peter Shalulile ni kiporo cha ugali, usajili wake ni wa mhemko tu, hamna mchezaji hapo

    Huo ndio ukweli usajili wa Peter Shalulile ulikuwa zaidi wa muhemko na kutaka kukomoa tu. Kwenye hii derby kipindi cha kwanza kaonyesha failure tayari, na hata ile game ya bonanza. Mchezaji anakimbia kama jani la papai linalodondoka... huyo tukubali ni usajili wa Yanga uliofeli. Kazi yake...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mabao 3 pekee msimu uliopita! Je, Shalulile atafanikiwa kuibeba Yanga?

    Mshambuliaji hatari wa kimataifa wa Namibia, Peter Shalulile, alihitimisha msimu wa 2025/26 wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini akiwa na mabao matatu katika mechi 13 alizoichezea klabu ya Mamelodi Sundowns. Soma: PETER SHALULILE rasmi ni mwananchi Yanga. Asante GSM kwa kuendelea kuonyesha upendo 🟥...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PETER SHALULILE rasmi ni mwananchi Yanga. Asante GSM kwa kuendelea kuonyesha upendo

    ASANTE GSM, ASANTE BILIONEA! 💚💛 Straika bora Afrika, Peter Shalulile, sasa ni mali ya Wananchi. Nguvu mpya safu ya ushambuliaji. Karibu nyumbani, Shalulile! 🔥⚽ ============ Yanga SC imemtambulisha rasmi straika wa kimataifa wa Namibia, Peter Shalulile, kuwa mchezaji mpya wa klabu hiyo kuelekea...
Back
Top Bottom