Yawezekana hapa ndipo penye utitiri mkubwa wa vituo vya kuuzia mafuta ya magari katika barabara ya Bagamoyo.
Kutoka Bunju pale njia panda ya Moga unaanza na Lake Oil mkono wa kushoto hadi Mapinga kabla hujapanda kilima cha Marian Boys unamaliza na TOTAL mkononwa kulia. Ni mwendo wa dakika 10...
Hivi ukienda kujaza mafuta sheli iwe diesel au petrol au mafuta ya taa,hivi kwenye ile mashine[pump yenye mpira na gang anayowekwa kwenye chombo ili akipress mafuta yatoke,hapa
Swali ni je! Yale mafuta yako kwenye mpira pale au yako kwenye gang pale kichwani kabisa au ukipress yanatoka kwenye...
Nchi hii ni yetu sote.
Lakin vile vile serikali itambue Dunia sasa ni Kijiji sababu ya utandawazi.
Hapo kabla tuliambiwa Sana kuhusu kushika thamani Kwa sarafu ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani kunavyopandisha bei za Mafuta.
Hayawi hayawi sasa yamekuwa ,, Shilingi yetu inapanda thamani...
Msaada waku naulizia wapi au makampuni Gani wanauza vyuma plate zakutengeneza matank ya mafuta petrol na diesel navyuma vya nguzo za conopy na vifaa vyake oringina msaada wenu Dee pond ,agroprodct na wadaut wangine
Ni takribani miezi miwili sasa tangu serikali ipige marufuku matumizi ya vifaa vya plastiki (vidumu vya lita tano au madumu ya lita 20) kuchukulia mafuta kutoka vituo vya mafuta.
Leo katika pita pita zangu nikakutana na hili jambo ambalo sasa watu wengi ambao wana uhitaji wa mafuta wanatumia...
Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Maji, Wakili Haji Nanduli ameeleza kuwa kwenye kila lita moja ya mafuta ya Petrol na Dizel ukatwa Tsh. 50 kama tozo kwa ajili kupelekwa kwenye Mfuko wa Taifa wa Maji ili kuwezesha utekelezaji wa mradi ya maji nchini.
Ameongeza kuwa ili kuwezesha upatikanaji wa...
Kuna hali mbaya inaendelea huku vijijini baada ya sheria, kanuni au amri ya kukataza wananchi wanaoenda vituo vya kuuzia mafuta na dumu au galoni wasiuziwe mafuta.
Hii sheria au amri haikuzingatia maisha halisi ya nchi masikini kama Tanzania.
Kuna mashine za kusaga nafaka, kukamua mafuta...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetoa tahadhari kwa umma kutokana na kuongezeka kwa matukio ya milipuko ya moto yanayotokana na uhifadhi wa mafuta ya petroli kwenye vifaa visivyo salama kama madumu na chupa za plastiki.
Katika taarifa hiyo, EWURA imewaonya wamiliki wa...
Kutokana na kupanda kwa bei na nauli za mabasi. Matumizi na usimamizi mubovu wa government project. Mafuta yanauzwa kwa kulanguliwa (lejaleja) na viongozi wanajuwa na wanaona from shina mpaka serikari kuu. Kama ni miladi inaazishwa kwa lengo wa wenye hakili wajiongeze tuabiane tu👋👋👋
Sekta ya nishati na madini ni moja kati ya sekta muhimu na inayogusa maisha ya mwananchi mmoja mmoja hata mwananchi wa kipato cha chini.
Moja ya bidhaa za sekta hii ni mafuta ya petrol na dizel ambayo huagizwa kutoka nje ya nchi na kupelekea nchi kutumia fedha nyingi za kigeni katika uagizaji...
Wanabodi kama alivyopendekeza Mbunge. Naomba kusisitiza suala kuundwa tume huru tujue madudu yapoje na upigaji kwenye mnyororo mzima wa mafuta ya petrol.
Kumtoa Mjinja bado hakusaidii wameiba sana. NAtoil ni balaa na laana kubwa.
Wanajamvi
Taharuki ya kuadimika kwa mafuta ya Petrol na Diesel imeanza tena kama ilivyo ada kila ukifika mwisho wa mwezi
Leo tarehe 27.09.2023 Urambo Tabora Hali si shwari misururu ya madumu kweli sheli yameanza
Inasiktikisha sana kuona wananchi wakiteseka namna hii na serikali tushindwa...
Kijana kabla hajaanza kuendesha pikipiki (bodaboda) anakuwa timamu. Ila baada ya kuanza hiyo kazi anakuwa rafu sana, haogopi kuendesha pikipiki speed 120 au kupita katikati ya masemi barabarani au kupiga norinda.
Je, harufu ya petrol ndiyo inaharibu akili za waendesha bodaboda?
Nataka kununua generator la 3.5 kva kwa ajili ya kuendeshea stationary, tanesco wamegeuka mwiba huku kijijini.
Ni brand gani yenye generator bora zinazotumia petrol, naomba kupata vidokezo juu ya bei zinacheza around ngapi.
Moto wa petroli una tabia kuu moja, unapoumwagia maji ili kuuzima unaibukia pembeni tena kwa nguvu zaidi ya ule wa mwanzo tena una tabia ya kulipuka.
Deusdedith Soka kijana aliyeandamana kupinga mkataba wa DPW jana kachomewa nyumba yake na watu wasiojulikana, Mdude, Mwambukusi na Dr. Slaa...
Wakuu nipo Songea hapa toka jana, baadhi ya vituo vya mafuta hakuna Petrol, inaelekea wafanyabiashara wanaficha mafuta huenda wanategemea kupanda kwa bei karibuni huu si uungwana. Hebu mamlaka zichukue hatua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.