When Jenni Hannant’s boiler packed up, she tried the usual trick to get it going again: banging the pump, pressing the red button and expecting it to kick back in. When it still wouldn’t start, and she called a plumber for advice, they told her to check the oil tank that powers her Norfolk home...
Nilijichanganya kwa ushauri kutoka kwa Mafundi uchwara. Nilinunua Toyota Harrier 2990cc Petrol ukiweka Lita 10 kutoka Kimara mpaka Kariakoo taa inawaka. Naliuza kwa 17m TZS Ila wateja hawarudi.
SABABU ILIYOJIFICHA GARI YAKO KUTUMIA MAFUTA ZAIDI NA MATATIZO MENGINE
Wasiliana na mimi +255788624499 nikusafishie Mass Air Flow (MAF) senso.
Soma zaidi...
Dalili za MAF sensor inahitilafu ni,
1. Engine ni ngumu kuwasha.
2. Engine inazima muda mfupi baada ya kuwaka.
3. Engine inasitasita au...
Habari ya uzima ndugu zangu?
Nimewaza sanaaa hili jambo,maana naona namna mwananchi wa chini kiuchumi anavyoendelea kuminywa kupitia ongezeko la mafuta.
Ni miezi miwili imepita madereva mkoani Mbeya walikuwa wanakimbilia Zambia kununua mafuta,maana ni bei nzuri kuliko kwetu. Au ndio...
Kwa nini CCM kimekuwa chama cha kusahau mara moja na kuwaona watanzania ni wapuuzi?
Hamjui wamachinga ni sekta isiyorasmi amabayo imeajiri watu wa kila namna?
Leo hii Tanzania nzima mnawafurusha kuhama mijini. Mnadai mnawahamishia maeneo yanayofaa.
Hayo maeneo mnaodai yanafaa, je yanafikika...
1. Hii serikali ni ya ajabu sana. Inasema uongo mchana kweupe.
2. Yaani kiongozi anatoka anasema tumepunguza tozo hii na ile ili kupunguza bei za nishati ya mafuta ya petrol, diesel na ya taa (kerosene).
3. Lakini cha ajabu, badala ya bei kupungua ndiyo zimeongezeka kwa wastani wa shilingi...
Kwa muda sasa nilikuwa na simama kupata msosi katika kituo hiki cha Petroli, na kupumzika kwa ingalau nusu saa kabla ya kuendelea na safari yangu ambayo huwa marathon, Dar-Mbeya.
Kituo kina mandhri nzuri ingawaje sasa kimeanza kuchakaa kutokana na kukosa matunzo.
Mbaya zaidi ni huduma ya...
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema bei ya Petrol na Diesel huko duniani inaendelea kupanda na amewataka watanzania kutoshangaa ikiendelea kupaa hapa nchini.
Mbatia amesema haya mafuta tunayouziwa Tsh 2400 kwa lita yalinunuliwa mwezi Aprili wakati mafuta hayajapanda bei kwenye soko...
Maumivu ya ongezeko la bei ya wese yameshaanza kusikika kidogokidogo hasa kwa upande wa bei za bidhaa japo haijawa rasmi bado.
Sina hakika sana kama uchumi unapaa, unadumaa au unashuka ila nilicho na uhakika nacho wamiliki wa vyombo vya usafiri wameanza kuongeza bei kimtindo.
Nawasalimu kwa...
Ni aibu kama nchi!
Wilayani Ngara mkoa wa Kagera lita ya petroli inauzwa Tsh. 2630 wakati huo huo upande wa Rwanda Wilaya ya Kirehe ambapo hazizidi kilomita 40 ufike petroli lita ni Tsh. 2000.
Kazi kwenu wadau na tumpongeze mama kwa kuupiga mwingi.
-
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.