AMOPRIC PHARMACY inatangaza nafasi ya kazi ya kuuza Pharmacy katika Pharmacy zake zilizopo maeneo ya Tandika, Vingunguti na Chanika.
Muombaji awe na sifa moja wapo kati ya hizi:
1) Addo
2) Pharmaceutical Dispenser
3) Pharmaceutical Assistant
Maombi yote yatumwe kwenda:
E-mail...
Za jioni wadau
Naomba msaada wenu mimi nina diploma ya pharmacy nimemaliza mwaka jana nikataka kuendelea mwaka huu lakini nilikosa awamu zota tatu.
Likaja dirisha la huruma la awamu ya nne kwakuwa nilikuwa na cheti cha form six nikajaribu kuombea nacho pale ardhi (nilifanya kama kujaribu tuu...
Nataka kujua cheti cha mfamasia kinaruhusiwa kubandikwa kwenye pharmacy ngapi ndani ya wilaya anakoishi? Maana kama kinaweza kubandikwa ndani ya pharmacy zaidi ya moja basi haina maana kabisa. Kama kinaweza kubandikwa ndani ya pharmacy zaidi ya moja kwa maana ya kuzisimamia, kazi hii angepewa...
Habari wakuu anahitajika pharmacy technician. Location ni Mwanza.
Atafanya kazi Jeet Pharmacy, vigezo awe ana uzoefu usiopungua miaka miwili na pia awe na leseni hai.
Kwa walioko kanda ya ziwa haswa Mwanza watapewa kipaumbele zaidi.
Kwa maelezo zaidi: musabuhare.tz@gmail.com
Natangaza nafasi ya kazi ya kuuza kwenye Pharmacy, kwa mtu mwenye elimu ya Famasia, na ufahamu wa kutosha kuhusu dawa mbali mbali za binadamu.
Sifa za mwombaji
Awe na elimu ya Famasia ngazi ya cheti (Certificate Level)
Awe na umri usiozidi miaka 40
Awe mkazi wa Dar es Salaam
Maombi yote...
Hawa jamaa ndio wanaosimamia maduka ya dawa maarufu kama Pharmacy.
Jana nimeona wameungana na wanaharakati akina shangazi, kupinga agizo la mheshimiwa waziri Ummy, la kuondoa maduka ya dawa yaliyo karibu na Hospitali za umma kama inavyosema sheria yao wenyewe.
Sheria au kanuni ziliweka umbali...
Wanajamii,
Najua zote ni best ideas:
●Hardware ya vifaa vidogo vidogo vya ujenzi
●Pharamcy ya kisasa
■LOCATION: Miji mikubwa au miji inayokuwa kwa kasi. Katika maeneo yaliyokuwa na movement kubwa za watu.
Naombeni maoni yenu kutokana na uzoefu na uelewa wenu kuhusina idea ipi yenye return...
Habari zenu wana JF wenzangu.. Ndugu zang kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ni biashara gani mtu akifanya ataweza kufikia au hata kukaribia ndoto zake za ki maisha haraka haraka? Hasa kwa mkoa wa Dar es Salaam. Kama kawaida natanguliza shukran kwa wote watakaochangia, na hata...
Nakusalimuni wakuu.
Binafsi nina ndoto za muda mrefu sana za kufungua Biashara ya kuuza dawa za binaadamu yani Pharmacy kwa rejareja hapa jijini Dar es salam.
Naomba maoni yenu wakuu, ni kiasi gani nahitajika niwe nazo ili niweze kufungua na kuanza hii Biashara. kwa maana ile starting point...
Habari,
Selection zimetoka ambapo nimechaguliwa kusomea Medical Laboratory General Muhas na Bachelor of Pharmacy Bugando na Kampala University je nikasome course ipi kati ya hizo?
Habarini wana JF,
Naomba kujua kama ni lazima mtu awe amesoma pharmacy ili aruhusiwe kufanya biashara ya duka la dawa muhimu za binadamu au la.
Naomba msaada kwa hili tafadhali.
Wasaalam,
Wakuu kama kichwa cha mada kinavyosema.. Kijana wa PCB, aliyepata division 2.11 with physics-C, chemistry-D, and Biology-D! anaweza kupata nafasi ya kusoma degree ya pharmacy na kupata mkopo asilimia mia.. Kama sivyo je course gani nzurii yenye channels za kujiajiri na kuajiriwa...
Jana napiga story na mdogo wangu ambae anafanya mitihani ya NBAA ananiambia juzi hapa walifanya mitihani migumu hadi wakaongezewa muda kwenye chumba cha mtihani zaidi ya dakika 30.
Nikajiuliza kwani NBAA kabla hawatoa mitihani yao hua hawaifanyii moderation kuona kama inaweza kufanyika kwa...
Habari za muda huu wakubwa.
Mimi ni kijana wa kiume ambae nimebahatika kupata sehemu yangu ya urithi toka kwa wazee wangu ambapo nimepata milioni 30.
Nilikua naomba wazoefu, watu mnaoifanya hii biashara tusaidiane kwenye mambo kadhaa juu ya hii biashara kama eneo, mbinu za kuongeza mauzo, nk...
Wakuu heshima yenu.
Niende moja kwa moja kwenye mada.Naomba kujua chuo kinachotoa certificate ya pharmacy ONLINE hapa tanzania.Mimi ni mwajiriwa wa serikali na nahitaji kusoma hii course.
Natanguliza shukrani.
Habari, Natafuta nafasi ya kazi ya pharmacist asistant (pharmaceutical technician)
Elimu: Diploma in pharmaceutical science (3yrs)
sehemu ya kazi: Hosipitali, Pharmacy,Dukanla dawa Muhimu
Uzoefu: Hosipitali 6months , Pharmacy :7months
Mkoa: Dodoma, Morogoro,Arusha, kilimanjaro
note: Uaminifu...
SALES REPRESENTATIVE (2)
Nikki Pharmacy Ltd is the local registered company dealing with distribution of human medicine in Tanzania, located at Chalinze, Pwani.
The company is growing fast and we are looking for two (2) qualified Tanzanian(s) to fill for the position of Sales Representative...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.