Habari bandugu, naomba kujua wapi naweza pata simu ya samsung brand new kwa dar es salaam bei iwe kuanzia 800k mpaka 900k. naomba na ushauri pia nichukue model ipi kutokana na bei tajwa.
Smart phone na social media haviepukiki katika dunia ya leo. Moja ya faida ni kuelimisha, kuna binti wa miaka 10 aliweza kuandaa period pack yake kabla hata ya kupevuka kutokana na uwelewa alioupata kutoka kwenye Internet. Hii ni moja ya faida chanya za social media.
Watoto wanapata habari...
KUMBUKA
• Hakuna makato yoyote unapoweka pesa kwenye akaunti yako kupitia wakala wa M-Pesa
• Hakikisha taarifa zako za M-Pesa ni sahihi vinginevyo fika katika duka la Vodacom lililopo karibu nawe kuhakiki taarifa zako
• Unaweza kutuma hadi Tshs 5m kwa siku au kuwa na hadi Tshs 10m kwenye...
3 Dec 2015
Melbourne, Australia
"The truth about mobile phone and wireless radiation" -- Dr Devra Davis
Published on 3 Dec 2015
"The truth about mobile phone and wireless radiation: what we know, what we need to find out, and what you can do now" Presented by Dr Devra Davis, Visiting Professor...
Habari za muda huu mwez mmoja uliopita nilikuwa na samsung note 9, kuna mtu alikuja na oppo A93 kwa kuwa nilipenda ile simu nilibadilishana naye, nilipo kuja mwambia rafiki yangu mmoja alinicheka sanaa aliniambia yaani umekubali kubadilishana flagship phone na simu za kawaida bila kuongezewa...
Grandstream gxp2140 IP Phone for sale
brand New, zinapatikana kwa bei ya tsh 80000.wahi kabla mzigo haujaisha kwani zimebaki chache.
contact: 0757870230
.
Imetumika na touch yake ndio inazingua. Mwenye simu anasikiliza ofa yoyote.
Pia ipo samsung s6 edge..imepasuka kioo.ni ya kuweka display mpya.hiyonaiuza 50k.
Location MWANZA
Price: 4 mil
iPhone 12 Pro Max 256GB
Availability location: Dar Mwenge.
Unapewa na vocha ya elfu 10 kwa mtandao utakaopenda
Karibuni
Call us now
+255744033555
Wakuu habari zenu, nawasalimu, pia niki wapongeza kwa kumaliza matumizi ya mshahara bila maumivu.
Ok naomba kujuzwa, je inawezekana kuangalia barcode au mawe ya viwanja vilivyopimwa kwa kutumia App au formula yoyote ile kwa simu janja.
Naomba msaada wenu juu ya hili.
Something wasn't right. Starting earlier this year, police kept arresting associates of Mark, a UK-based alleged drug dealer. Mark took the security of his operation seriously, with the gang using code names to discuss business on custom, encrypted phones made by a company called Encrochat. For...
Okay, sijui kama ishawahi kuwa posted humu au la, ila tufanye kama haijawahi kuwa posted tukumbushane tu.
Najua hapo uko na smart yako moja amazing sio? 😁😁 haya basi fresh, sasa waheshimiwa hivyo vi toy vyetu amazing
mara kadhaa tunakuta vinaanza ku act tofauti na tulivyozoea mara app flani...
Instructions to view Wifi passwords saved on Windows / Mac OS / Linux computers, and on mobile phones using Android and iOS.
When you ask for the Wifi password and connect successfully, the computer will automatically connect for the next time. On a beautiful day you want to see the password to...
Call app bora kabisa ya kwenye simu ya Google Phone App sasa inapatikana kwa karibu simu zote za Android kwenye Google Play Store kwa ajili ya kupakuliwa.
Hii Google Phone App ilikua maalum na mahususi kwa ajili ya simu za Google, Pixel ila sasa inaweza kutumika kwa simu nyingine za Android...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.