phone

  1. Bwana Fulani

    Xiaomi wazindua the fastest charging phone around

    Kampuni ya electronics, XIAOMI, Imezindua simu mpya ( Xiaomi Mi 10 Ultra) yenye 4,500 mah battery inayoweza kwenda 0% to 100% charge ndani ya dakika 20 tu ikitumia official charger ya watts 120 🔥 Pia simu hiyo ina support 50 watts wireless charging ambapo itatumia 40 minutes pekee kujaa Simu...
  2. Computechtza

    INAUZWA IP Phone & patch panel for sale

    Tunauza Grandstream gxp2140 IP Phone mpya kabisa kama zinvyoonekana kwenye picha kwa sh 100000 pamoja na 24 ports patch panel za brand ya Begin kwa sh 50000 tu. Tunapatikana Karume, Dar es salaam. Kwa maelezo zaidi tupigie kupitia namba 0782382120 au tuandikie kupitia computechtza@yahoo.com...
  3. T

    Vikwazo vya Marekani: Huawei yatangaza kuacha kutengeneza simu za viwango vya juu, flagship phones

    Baada ya vikwazo vya Marekani, kampuni ya Huawei imetangaza kuacha kuzalisha flagship chipsets za Krin zinazotumika kuendesha simu za viwango vya juu ama flagship phones kama Huawei P series na Huawei Mate series. Vikwazo vya Marekani vimefanya imekua ngumu kwa Huawei kupata vifaa vya...
  4. sky soldier

    iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

    1. i phones ni gharama, Hapa sitazungumza sana, nachoomba tu nenda duka linalouza i phones mpya (sio mitumba / refurbished) kaulize bei, Inabidi uwe vizuri kiuchumi tofauti na huku android kuna simu hata za laki kwa wenye bajeti finyu ila pia kuna simu za gharama kuliko hata iPhone kwa...
  5. Fadhil Ramadhan

    Nauza simu

    I phone 5s inauzwa...bei ni 170 ipo in a good condition GB 32 haina shida yoyote ilee LOCATION ni GOBA CENTER cont 0786774828
  6. Planett

    People Burning Down 5G Cell Phone Towers Over Coronavirus Conspiracy Theories

    In summary:- Anti-5G protesters have attacked cell tower sites in Holland, New Zealand, and Ireland as conspiracy theories linking the next-generation communication technology to the coronavirus pandemic continue to spread online and in the media. === Anti-5G protesters have attacked cell...
  7. BenKaile

    Wito fanya ufutaji wa akaunti zako kwenye applications au kompyuta kabla huja uninstall programu husika

    Sitakupa maelezo marefu sana ya kupoteza muda wako, ila umakini na faragha ni muhimu sana nyakati hizi za kimageuzi ya mitandao na ukuaji wa teknolojia. Kwa watumiaji wa vifaa ya kimtandao kama simu na kompyuta iwe ya mezani au mipakato jaribuni sana kuwa na umakini ikiwa utaacha kutumia...
  8. Kulupango

    I need someone to talk to through the phone in English, then I will pay him/her

    Hello, am a English Lerner (both wirting and speaking), I need a teacher who will guide me and talking to me through the phone at least one hour per day, then I pay in according to how will make the contract. Correct me and help me please, am in Dar es Salaam, but am very busy and I have no...
  9. Da'Vinci

    Beat my Phone wallpapers..

    Share picha zako unazotumia kama wallpapers kwenye simu yako..
  10. A

    Naomba tatuzi kuhusu hili la Icloud (apple id)

    Habari, Nilijaribu kuomba kuhusu kufuta apple id yangu, lakini nilifanya kosa (nilitakiwa kusaini out kwanza katika Iphone yangu kabla ya kuifuta) kwa hivyo sasa kila nikijarb ku sign out naambiwa sina apple id kwa maana ya kwamba apple id yangu imeisha futwa. Lakini kwa sasa natumia simu...
Back
Top Bottom