physics

  1. 44mg44

    Wanaojua Physics tafadhali njooni hapa

    If magnetic flux of 6t2 + 7t mwb what is the induced Emf in 2seconds!!!! atakaepata hil swali kuna zawadi nono itatolewa. Kumbuka 6t2 ni six times t square Welcome
  2. Royal Warrior

    Nahitaji Mwalimu kwa ajili ya Private Tuition Advanced Physics & Chemistry (Ilala-Dar)

    Habari ya jioni. Nahitaji mwalimu wa masomo ya Physics na Chemistry (form 5) kwa ajili ya private Tuition. Muda ni wiki mbili tu. Kwa siku muda wa kusoma ni masaa 2 tu. Topics zifuatazo: PHYSICS 1. Fluid Dynamics 2. Newtons 3. Circular motion CHEMISTRY 1. Physical Chemistry (sub-topics...
  3. E

    Advanced Physics na Advanced Chemistry tunayo soma form five na six ndio inayosomwa U.S, China na mataifa mengine duniani.

    Habari za Leo wakuu, Kumbe Advanced Physics na Advanced Chemistry tunayosoma form five na six ndio hiyo hiyo inayosomwa U.S, China, Ufaransa na mataifa mengine. Tofauti ni moja tu sisi hutufanyi practical za tunacho kisoma. Ila hesabu, na maelezo yote ni yaleyale. Principal ni zile zile. Na...
  4. Infantry Soldier

    Kwanini wanafunzi wasianze kidato cha kwanza na michepuo ya sayansi (Physics, Chemistry) au arts kwa kuzingatia matokeo ya Darasa la Saba?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini wanafunzi wasianze kidato cha kwanza "directly" na michepuo ya sayansi (Physics, Chemistry) au arts kwa kuzingatia matokeo ya darasa la saba na sio kusubiri mpaka afike kidato cha pili? Yale masomo saba ya...
  5. opondo

    Natafuta kazi nina degree ya Ualimu masomo ya Physics na Chemistry

    Habarini wakuu, natafuta kazi ya ualimu masomo ya physics na chemistry nimegraduate mwaka huu nipo mwanza, lakini naweza kufika sehemu yoyote Tanzania. Kwa atakenisaidia kupata sehemu ya kujishikiza siwezi kumuacha patupu. Advance nilisoma PCB na nilipata division 2 point 12... GPA ya Chuo...
  6. shinji

    Mwalimu wa Physics anahitajika haraka sana

    Sifa: - Awe na Shahada au Stashahada ya Elimu - Jinsia (sex) yoyote - Awe Mtanzania - Uzoefu kuanzia miaka 0. - Akiwa na Mathematics itapendeza zaidi (si lazima) Shule: QUEEN ESTHER GIRLS MPWAPWA Mawasiliano: esthergirlschool@gmail.com KARIBUNI SANA
  7. Teknocrat

    Free Engeneering and Science Notes

    Notes zotePhysics, Engineering na Science bure, agalia link hapo chini, notes zote zipo upande wa kushoto kwenye page hii page Untitled 1
Back
Top Bottom