Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.
Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.
Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki...
Kuna watu wanalilia kufika dar kisa magorofa ya kariakoo na posta. Ila kiukweli Dar ni mji wa kishamba sana.
Kwa kweli watu wanaishintu kwa sababu ya tabu otherwise mhii wengi wangeshapakimbia.
Lakini pia hiki ni kielelezo namba 1 kwamba waafrica hatuna akili na tu wabinafsi wakubwa kwa nchi...
Kwenye mitandao ya kijamii zimejaa picha za wadada wengi ambazo si halisi!!
Mimi Nina ndg zangu wa kike kwenye ukoo ukimuona mtandaoni na picha zake halafu ukutane nae live lazima ukimbie.
Picha nyingi zimejaa filter editing za kutosha kiasi kwamba mtu anageuka kuwa mrembo wakati siyo.
Jambo...
Hii picha sio ya kuigiza. Ni picha halisi ilipigwa na camera ya simu ambayo haikuwa na spidi sana ndio maana unaona kuna sehemu za picha ziko out of focus, kuonyesha zilikuwa zina movement ya kasi zaidi spidi ya camera ya simu.
Na picha inajieleza. Hasira za mwalimu, maumivu ya mwanafunzi na...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), leo tarehe 10 Machi 2025, jijini Dodoma.
ccm
ccm taifa
halmashauri
halmashauri kuu
kikao
kuu
mafanikio
makubwa
mwenyekiti
mwenyekiti wa ccm
mwenyekiti wa ccm taifa
picha
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
taifa
mechi sio ya kuiogopa ila ni rekodi mpya inayoenda kuwekwa
Acha tuendelee kuwa na amani ya kufungwa mara nne mfululizo, acha tuishi nayo.
Leo simba angeingia kwa Mkapa ingekuwa kujifedhehesha tu, kwa Yanga hii ni jambo la wazi kabisa simba angekandwa,
Shida ingekuja kwenye rekodi mpya ya...
Nilitaraji basi kuwe na Mabango ya wanawake wengi walio wahi kutoa mchango wao kwenye hili Taifa. Ila inaonekana mwanamke ni mmoja tu ni Mama, Wengine wote labda ni wanaume kwa mujibu wa chawa.
Ilipaswa kuwe na picha za wakina Bibititi Mohamed, Spika wa Bunge wa kipindi kile Anna Makinda,vna wa...
Athmani Kondo ni mmoja wa Wazee Mashuhuri na Maarufu wa Tabora walionialika kuzungumza katika Kongamano la CCM kuhusu mchango wa Tabora katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Nilizungumza Ukumbi wa Chuo Cha Uhazili Tabora.
Athmani Kondo ameniletea picha hizo hapo chini zikionyesha mambo kama...
Tumsifu Yesu Kristo....
Bwana Yesu Afisiwe....
Tukiwa katika kipindi hiki cha kuelekea Pasaka, tuchukue muda kutafakari Mwanakondoo huyu, Sadaka na Kafara wa ulimwengu kwa ajili yetu, kwa namna alivyoamua kujitoa mwenyewe kutukomboa kupitia kifo chake.
Mada ya Shroud of Turin imeshapostiwa...
WASIRA AZUNGUMZA NA SPIKA WA JAMHURI YA CUBA, OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA.*
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara), Ndg. Stephen Wassira amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba Esteban Lazo Hernandez na ujumbe wake waliofika...
Tuanze na hii.
Picha hii inamwonyesha tajiri akijiandaa kumpatia pesa masikini aliyekaa chini na kioo.Pia tunamuona tajiri akijiangalia kwenye kioo Cha masikini.
Maana yake ni kwamba ,kama tutajiona wenyewe kama wenye shida na uhitaji hakika tutaguswa kuwasaidia.
Picha ya pili hapa...
Mtu dhaifu hujitutumua ili asionekane dhaifu.
Mtu maskini hujitutumua ili asionekane maskini.
Mtu asiye na fedha hujitutumua ili asionekane hana pesa.
Pia ni tabia za Kiafrika kila mtu kutoka kujionyesha si mnyonge.
Hizo picha za maeneo mazuri zisikupagaishe, hapo ni bar, restaurants, hotel...
Jana nilipata wasaa wa kumuona Waziri Simbachawene katika shuguli za kiserikali. Katika kutupia macho dress code yake nibaini amepachika nembo katika suti yake. Kusogeza zaidi nikabaini haikuwa nembo ya taifa bali ni picha ya Samia.
Wakuu tumefika huku? Sikumbuki kama tumewahi kufika huku...
TBL naomba Ufafanuzi wa hizi bia mbili hapo kwenye picha
Moja imejaa mpaka juu na nyingine haijajaaa
Na hata Lebo na vizibo ni tofauti
Swali ni je kuna fake na original Kati ya hizi bia?
TUME ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), imesema washereheshaji wanaosambaza picha za washiriki wa sherehe mbalimbali wanapaswa kuwa makini kwa kuwa wanavunja sheria kwa kuwa hawajapata idhini ya mtu kusambaza picha zake akiwa anacheza au jambo lolote.
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.