picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Picha Inazungumza Maneno Elfu Moja

    https://youtu.be/0WHiPCP7NOk?si=m0XtKAqQPDQZRRJs 🔥 “NAKUONA, NAKUONA…” — EMMANUEL MUGANDA WA VOA AREJEA BAADA YA MIAKA! | PICHA INASEMA MANENO ELFU MOJA Baada ya kutokuonana tangu mwishoni mwa mwaka 1968, leo nimepata ziara ya kipekee nyumbani kwangu Magomeni Mapipa kutoka kwa ndugu yangu...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kuna picha unaitazama kwa sekunde chache tu, lakini moyo wako unaendelea kuizungumza kwa muda mrefu

    Hii ni picha yangu bora zaidi kwa miaka yote, si kwa sababu ya uzuri wake bali kwa sababu ya somo kubwa lililofichwa ndani yake. Sisi binaadamu mara nyingi tunaamini kwamba mtu mwenye hali ya chini ndiye anayepaswa kupewa na yule mwenye nacho. Lakini watoto hawa wametufundisha somo tofauti...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hali hii ya Tundu Lisu kusahau baadhi ya mambo muhimu akiwa kizimbani jana na kuiomba mahakama muda kuyasema leo, inatoa picha gani na kuashiria nini?

    Je, ni inashiria ya uchovu, kiwewe, hofu au ni hali ya kawaida kwa mwanadamu kisayansi? Vipi siku ya mwisho ya final submission yake kizimbani, akisahau kuieleza mahakama jambo muhimu zaidi pengine la kumuokoa na kitanzi, na kisha akalikumbuka akiwa nje ya mahakama, labda akiwa anasubiria...
  4. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Herbalist Dr MziziMkavu wewe ni memba mkongwe hapa ndani acha kutumia picha za AI kudhalilisha dini za watu.

    Weee mzee Herbalist Dr MziziMkavu nimekerwa sana na bandiko lako la udhalilishaji wa dini ya Kikristo haswa dhehebu Katoliki. Umetumia picha ya kutengenezwa kuwadhalilisha watawa na makasisi wa kanisa Katoliki. Hata sisi tuna uwezo wa kutengeneza picha za madudu aliyofanya Mwamedi, kama kuoa...
  5. the ostrich eggs

    JamiiForums Tanzania Simulizi katika Picha: Ukiulizwa unajenga Nyumba ili iweje usijibu

    Ni mshahara nilikuwa najenga ili nisiwe "homeless" lakini naishia kuwa "homeless" bonge la movie Ni mshahara nilikuwa matadors kazi ili nisiwe "unemployed " lakini naishia kuwa "Unemployed " bonge la movie Ni mshahara nilikuwa nafayakazi ili nisiwe "Hela" lakini naishia kuwa "kufa...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Picha nzito ya historia ya evolution ya mtu mweupe. Sisi bado tupo na maswali ya namna ya kufanya zindiko zuri la utumbo wa samaki ili kupata wateja.

    Kuanza kujilinda kwa farasi na mapaga hadi kujilinda na Northrop B-2 Spirit na satelite angani. Kuna mtu aliwahi kusema "uhuru wenyewe una miaka 50 tu, tuvumiliane" , 😁😁 no bro, you are just dumb The Worst Marcostilone mcTobby
  7. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Je Ni kweli kiredio ka palalaizi miguu, hawezi tembea mpaka abebwe, je chanzo ni yule demu kumuacha au?

    Video inayo sambaza MTANDAONI ina muonesha kiredio akibebwa kukalishwa Kwa wheel chair, tetesi ni kuwa kapalalaizi, sijui ni kiki sijui kweli ila wanadai kweli mana alialikwa juzi Kwa mondi hakwenda. Inasemekana chanzoni either demu kumuacha au either alitapeliwa 60 millions china, Tusbiri...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu picha zinazoenea za jezi za Tanzania kwenye Afcon?

    Kama ni kweli zile tunazoziona kwenye social media ndio Jezi watakazovaa timu ya Taifa kwenye Afcon basi tutakuwa na tatizo la afya ya akili. Waziri Makonda usikubali huu usanii utakaopelekea kuharibu saikolojia ya wachezaji uwanjani. Mbona uzi wa Yanga ni mzuri na una kiwango iweje uzi wa Taifa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Picha Halisi ya Bwana wetu Yesu Kristu.

    Picha hii ilipigwa na Sista Anna Ali mwaka 1987 kutoka Kenya. Sista alitokewa na Yesu mwenyewe,akamuomba Bwana wetu ampige picha,Bwana Yesu akamkubalia . Hii ni kweli. Hakuna kisichowezekana kwa Mungu Kumbukumbu zipo. Picha ya Muujiza ya Yesu Inayodaiwa Kupigwa na Mtawa Picha inayosambaa...
  10. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Habari picha

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo leo Sept 16, 2026 ameongoza kikao cha kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa ardhi katika eneo la Litingi lilipo kata ya Mitengo katika halmashauri ya manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara. Mgogoro huo unahusisha wananchi...
  11. min -me

    JamiiForums Tanzania Hili lilikuwa kama swali kuhusu pisi tano nilizofanikiwa kuona hata picha tu

    Bila unafki na kunyooka kama rula Namba moja nampa Depal Angel Nylon binti kiziwi Mzigua90 Seran
  12. k-bee

    JamiiForums Tanzania PICHA INAYOZUNGUMZA MENGI WAKATI HUU

    Ukiitazama picha hii inaonyesha hali halisi ya matukio na mambo yaliyotokea katika taifa hili... 1). Bluu :waliomba kukaa pembeni 2). Nyeusi na Kahawia(nyeupe mpauko): alipumzika nyadhifa ila bado yupo 3). Nyeusi: amejiuzulu na kufukuzwa kabisa. Ningekuwa mpiga picha ningewaambia wachanganye...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama hii picha ni authentic, yaani huyu mwamba alikuwa haigizi basi maisha ni magumu sana aisee na mwamba amekataa kufa kikondoo

    Hakuna kilichokuwa promised kwetu wanaume, kila siku ni challenge mpya ya kutaka kuushinda uchungu na mateso kila siku ni presha mpya, kila siku ni vita mpya, kila siku mpya ni upinzani mpya.
  14. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Freeman Mbowe. Hapendwi mtu ila pesa kwanza. Anamchukia TAL kuliko ambavyo angemchukia SSH aliyemtia gerezani miezi 8+ bila kosa!!

    Nimeambiwa kuwa, Freeman Mbowe ameshawahi kwenda Ukonga gerezani mara Moja kumtembelea Mwenyekiti wake Tundu Lissu... Katika mtembeleo huo, hakutoa mrejesho walizungumza nini hasa iwapo alikwenda kumsalimu na kumfariji tu au kuna cha ziada walichozungumza kwa public kujua Lakini FAM anaishi...
  15. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi Kahawa Festival msimu wa 7 mwaka huu wa 2026 katika picha

    Pata picha mbali mbali za uzinduzi wa Tamasha la saba la kampeni ya kuhamasisha unywaji wa kahawa nchini uliofanyika hivi karibuni makao makuu ya Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB)mjini Moshi Mgeni rasmi alikuwa mkuu wa wilaya ya Moshi,Godfrey Mnzava
  16. Red black

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Picha mbalimbali za Ndege wanaopatikana ulimwengu

    I real love birds
  17. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Picha za machawa mbalimbali wa mama

  18. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Leo nimeona picha ya mtu fudenge akiwa na majonzi.

    Mimi nilidhani mtu fudenge yeye ana moyo wa plastiki hasikii maumivu ya kifo kama wengiwe waliofiwa walivyokuwa wakililia vifo vya wapendwa wao na haki kulingana na vifo vya utata vilivyowakumba ndugu/marafiki/wazazi/watoto/wapenzi wao. Mtu fudenge alidhihaki na kusema eti kifo ni kifo tu watu...
  19. Red black

    JamiiForums Tanzania Hii picha inaongea mengi sana halafu just imagine kuna watu hawajui njaa ni kitu gani

  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania ya mwaka 1990. Ni kitu gani hakistahili kuwa kwenye picha hii

    Wataalamu wa Photograph reading and interpretation Hii nii Tanzania ya 1990 ni kitu gani ambacho hakistahili kuwepo hapa kutokana na mabadiliko ya kiteknolojia?
Back
Top Bottom