Kabisa. Huyo mtoto wa kike kasuka rastaHao wanafunzi sio wa mwaka 1990.
Dishi hilo liondoe.
Miaka hiyo tuliita "ungo"Dishi la azam
Huyu ni dada au crush wa primary? Nina maswali mengi sana
Sifahamiani naeHuyu ni dada au crush wa primary? Nina maswali mengi sana
Picha yote haitakiwi kuwepo. Iko artificial sana sana. Hutumii hata sekunde kujua kuwa ni ya kutengeneza na siyo ya miaka hiyo. Kwa kifupi, teknolojia ya photography haikuwa kwenye level hii.Wataalamu wa Photograph reading and interpretation
Hii nii Tanzania ya 1990 ni kitu gani ambacho hakistahili kuwepo hapa kutokana na mabadiliko ya kiteknolojia?
View attachment 3664778
Nikikumbuka mama alininunulia sport naishiwa pawa😓MABEGI YETU YALIKUWA SPORTS NA MIFUKO YA RAMBO AU PUNDAMILIA NK. SOKSI ZA PUNDAMILIA
KWA UFUPI HAWA WANAFUNZI NI WA KIZAZI HIKI CHA HIVI KARIBUNI.
View attachment 3664788
View attachment 3664789
Mimi pia, ame take over ana dominate bila kipingamizi🤗Huyu ni dada au crush wa primary? Nina maswali mengi sana
Hiyo Rover sjui cruiser yenyewe ni latest..Wanafunzi wa mwaka 90 wana mabegi ya 2025,
Hayo magari yote sio ya mwaka huo..
Wanatembea kwenye vumbi ila wasafi kama wapo juu ya bara bara ya lami.
Ilikuwa inakunja sana madaftari na vitabuNikikumbuka mama alininunulia sport naishiwa pawa😓
Yaani sijui walijua unaweka penseli tu, vidaftari vilikuwa vinakaa rafuu, bora hata hiyo mifuko ya pundamilia!Ilikuwa inakunja sana madaftari na vitabu
Upo sahihi.Hiyo Rover sjui cruiser yenyewe ni latest..
Kweli aisee wanafunzi wa mwaka 1990 hapo ungeona wengine wamevaa kandambili na mkanda wa kamba za katani.Hao wanafunzi sio wa mwaka 1990.
Dishi hilo liondoe.