Mbona watoto wa shule ya msngi mikindani hao 2026 1990 iko wapi?Wataalamu wa Photograph reading and interpretation
Hii nii Tanzania ya 1990 ni kitu gani ambacho hakistahili kuwepo hapa kutokana na mabadiliko ya kiteknolojia?
View attachment 3664778
Tulio ishi enzi hizo inaleta flashbacks nzuri sanaMABEGI YETU YALIKUWA SPORTS NA MIFUKO YA RAMBO AU PUNDAMILIA NK. SOKSI ZA PUNDAMILIA
KWA UFUPI HAWA WANAFUNZI NI WA KIZAZI HIKI CHA HIVI KARIBUNI.
View attachment 3664788
View attachment 3664789
Nikajua picha yako 😁Sifahamiani nae
😁😁 Huyo kijana kama ndio aliolewa nae hali yake ilikuwa mbayaMimi pia, ame take over ana dominate bila kipingamizi🤗
Lakini kijana nae amehakikisha mkono unatulia kwenye eneo la kimkakatiMimi pia, ame take over ana dominate bila kipingamizi🤗
Lakini ndio inavyotakiwa😎😁😁 Huyo kijana kama ndio aliolewa nae hali yake ilikuwa mbaya
Kwa uoga sanaa😝Lakini kijana nae amehakikisha mkono unatulia kwenye eneo la kimkakati
Picha ya Ai.Wataalamu wa Photograph reading and interpretation
Hii nii Tanzania ya 1990 ni kitu gani ambacho hakistahili kuwepo hapa kutokana na mabadiliko ya kiteknolojia?
View attachment 3664778
Mwaka 1990 kuna wanafunzi walikuwa wanaenda Shuleni na viatu?Wataalamu wa Photograph reading and interpretation
Hii nii Tanzania ya 1990 ni kitu gani ambacho hakistahili kuwepo hapa kutokana na mabadiliko ya kiteknolojia?
View attachment 3664778
Kilimanjaro walikua wanavaa viatuMwaka 1990 kuna wanafunzi walikuwa wanaenda Shuleni na viatu?
Hapana huo ni uhaini 😁Lakini ndio inavyotakiwa😎
Mimi napenda😅Hapana huo ni uhaini 😁
Ndugu wa mume watakushika uchawi shauri yako 😁😁Mimi napenda😅
Hao ndio ninaowataka😂Ndugu wa mume watakushika uchawi shauri yako 😁😁
Sehemu kubwa ya Nchi walikuwa wanapekua tu.Kilimanjaro walikua wanavaa viatu