Leo nimeona picha ya mtu fudenge akiwa na majonzi.

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Mimi nilidhani mtu fudenge yeye ana moyo wa plastiki hasikii maumivu ya kifo kama wengiwe waliofiwa walivyokuwa wakililia vifo vya wapendwa wao na haki kulingana na vifo vya utata vilivyowakumba ndugu/marafiki/wazazi/watoto/wapenzi wao.

Mtu fudenge alidhihaki na kusema eti kifo ni kifo tu watu wasizue taharuki.

Hatimaye yamemkuta mtu fudenge 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kama taifa tumefika pabaya sana kwa upumbavu wa wachache na bado
 
Mimi nilidhani mtu fudenge yeye ana moyo wa plastiki hasikii maumivu ya kifo kama wengiwe waliofiwa walivyokuwa wakililia vifo vya wapendwa wao na haki kulingana na vifo vya utata vilivyowakumba ndugu/marafiki/wazazi/watoto/wapenzi wao.

Mtu fudenge alidhihaki na kusema eti kifo ni kifo tu watu wasizue taharuki.

Hatimaye yamemkuta mtu fudenge 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
ok.🐒
 
Back
Top Bottom