picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. Waziri wa Kaskazini

    Picha: Huyu nani? Kuna elfu kumi hapa..

  2. holoholo

    Uzi maalumu wa picha za wapendanao

    Tupia picha ikionesha watu,wanyama au chochote katika Hali ya upendo Ni eidha upendo wa baba na mAma,baba na mtoto,mamaa na mtoto,familia,jamii au popote pale
  3. L

    Unajifunza Nini kutoka Kwenye Picha Hii Ya Waheshimiwa?

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa kawaida picha huzungumza zaidi kuliko hata Mdomo wenyewe. Pichani ni waheshimiwa viongozi wetu mbalimbali wakati huo wakiwa Mjengoni pamoja wakituwakilisha sisi watanzania. Je wewe Umejifunza nini kutokea katika picha hii? Mimi nimejifunza kuwa Mheshimiwa Joseph...
  4. holoholo

    Picha maalumu za mihangaiko uchakalikaji na pilika kazini

    Tupia picha yeyote inayoonesha ukichakalika kazini iwe mgodini,dukani,sokoni,ukichunga mifugo,au popote pale karibunipicha: shamba la tumbaku katika moja ya kata mkoani tabora
  5. GENTAMYCINE

    Tafadhali naomba kama kuna yoyote ana Picha ya Rais Samia akienda 'Kuhani' Msiba wa Waziri wake Mchengerwa aniwekee hapa

    Nitashukuru mno kwani nimejaribu kwa Kuhangaika kuitafuta sijaiona hivyo pengine Lucas Mwashambwa au ChoiceVariable wanaweza kuwa nayo.
  6. Pdidy

    Hivi wazungu kuzaa mtoto mweusi kama hii picha nn kinatokea??

    Omba isikutokeee sikia kwa watu
  7. Pdidy

    Ruto aoomba kukaa na upinzani kutengeneza serikali ya umoja

    WAKUU habarini za jion Naangalia itv hapa naona habari njema MH RAISI WA Kenya ameomba wakenya kuwa watulivu kwani sasa ameomba wapinzani kukaa pamoja kuunda serikali ya UMOJA Amesema hii nchi ya wakenya wotee na hakuna alie na HATI milki PEKEE Baba naona umerudi na nguvu mpya Ethiopia...
  8. Manfried

    Post picha hapa ya Tanzania isiyooneshwa katika TV

    Weka picha ya Tanzania Ambayo hauwezi kuiona katika TV . Lengo ni Ku-raise awareness Kwa jamii kuwa Tuna Watanzania wenzetu wanoishi maisha magumu na wapo katika mazingira hatarishi. Kupitia picha hizi Serikali na wadau wa Maendeleo wanaweza kufanya jambo Asante.
  9. El marabiosh

    Waziri wa fedha ajae akiwa kwenye picha ya pamoja na anayetarajiwa kuwa waziri wa afya

  10. Determinantor

    Hii video haina Maadili, Huwezi kupiga picha na Rais ili umringishie ex wako

    Sijajua kilitokea nini Hadi wahusika wakakubali kitu cha ajabu namna hii kikatokea. Hili lililotokea halikua sehemu ya uchekeshaji.... Huwezi kuomba kupiga picha na Rais WA Nchi (Mwanamke) eti ili umkomoe Ex wako. This is bulshit na Kwa kweli tuzuie huu ujinga usiendelee.
  11. Cannabis

    Picha mbali mbali za matunda ya kisasa

    Je haya ni bora kwa afya ?
  12. Pdidy

    JAMAN wenye picha za ndoa ya MH Aziz ki Bwana harusi

    Rejea somo HAPO juu Waliohudhuria TUNAOMBA picha za harusi ya Aziz ki vs mobeto h
  13. Davidmmarista

    Drop-down picha ya geto lako hapa chini

    Mimi langu hili hapa.😁
  14. and 100 others

    Ubunifu wa Picha na Videos kwa AI: Shiriki na Tazama Kazi za Kisanii za Akili Bandia!

    Karibu kwenye mada hii maalum kwa wapenzi wa teknolojia na ubunifu! 🌟 Katika zama hizi za akili bandia (AI), tunaweza kutengeneza picha za kuvutia kwa kutumia teknolojia ya AI. Katika mjadala huu, tunakaribisha: ✅ Kushiriki picha/video zilizotengenezwa na AI. ✅ Kujadili uwezo wa AI katika...
  15. Eli Cohen

    Muda mwingine unapokuwa unahitaj extra motivation chukua picha yako ya utotoni, then iangalie kwa kina huku uki-reflect kwa kina jambo linalokusumbua

    The goal haswa ni kukujenga katika upya maana utoto unafanania na una respresent mwanzo. Jiulize huyu dogo naemuona hapa angefanya unyama huu naotaka kufanya? Jiulize hivi huyu dogo namtendea haki kweli yeye na wale waliomlea kwa hatua hii ndogo niliofika? Jiulize hivi huyu dogo angejua kuwa...
  16. U

    Maajabu picha bahari ya Galilaya kutokea angani inavyopendeza na kufanana na ramani ya bara la Afrika, Yesu Kristo alitembea juu ya maji yake

    Wadau hamjamboni nyote? Bahari nzuri ya kupendeza ya galilaya imefanana na bara la Afrika Maji yake Yana baraka kubwa sana Mungu ibariki Israel
  17. L

    Mnajifunza Nini Katika Picha Hii ya Hayati Dkt Magufuli Akikumbatiana na Dkt Jakaya Kikwete kwa Tabasamu na muonekano wa macho ya hao wengine?

    Ndugu zangu Watanzania, Ni picha ya kumbukumbu nayowaleteeni hapa Jukwaani ikiwa inaonyesha Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Rais mstaafu wa awamu ya Nne ambaye pia ni Mwanajeshi mstaafu lakini pia waweza kumwita Jasusi Imara na Komandoo wa Mikakati .Akikumbatiana kwa tabasamu na...
  18. figganigga

    Tundu Lissu akutana na kufanya mazungumzo na Jaji Joseph Warioba

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara ndugu Amani Golugwa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake. Katika ziara hiyo maalumu, Tundu Lissu amekuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu kuhusiana na masuala mbalimbali kuhusu...
  19. LA7

    Naomba kujua hii picha kama ni ya IA au ni ya camera

    toa sababu
Back
Top Bottom