Ukweli ni upi kuhusu picha zinazoenea za jezi za Tanzania kwenye Afcon?

Ukweli ni upi kuhusu picha zinazoenea za jezi za Tanzania kwenye Afcon?

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Kama ni kweli zile tunazoziona kwenye social media ndio Jezi watakazovaa timu ya Taifa kwenye Afcon basi tutakuwa na tatizo la afya ya akili.
Waziri Makonda usikubali huu usanii utakaopelekea kuharibu saikolojia ya wachezaji uwanjani.
Mbona uzi wa Yanga ni mzuri na una kiwango iweje uzi wa Taifa ufanane na timu ya wachunga ng'ombe huko simiyu wanaoshiriki kombe la mbuzi!!
 
Kwanini yule naibu alivaq jez ile na kupost? Je ni yeye alipost ama AI? Kwanini kiongoz wake hakuwa na taarifa?
 
Back
Top Bottom