Niko napiga jalamba humu beach ya Mbezi Beach kwa kweli hizi FUKWE ni chafu sana. Ni bahati mbaya pia kwamba hizi ndio FUKWE zilizopo ukanda wenye Mahoteli ya Kitalii kama vile White Sands, Ramada, The Waves, Landmark nk....Mkuu wa Mkoa wa Dar hili ni la kulivalia njuga kama mlivyofanikiwa Coco...