picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    Zambia, Mwanaume aamua kuvunja ndoa baada ya mke wake kulipia milioni 2 kupiga picha na Chris Brown akimkumbatia na kumbusu

    Imetokea Zambia hii, Chris Brown alienda Sauzi kupiga show wiki iliyopita, Mke wa mtu akafunga safari kwenda kumuona, haikuishia hapo akalipia meet and greet, hiki ni kiingilio kwa wale wanaotaka kumuona msanii kule back stage na kupiga nae picha, Chris Brown huwa anatoza dola elfu 1 (shilingi...
  2. I

    Hivi ni kweli kuna satellite uko angani yaweza piga picha watu na kurekodi sauti katika uso wa dunia?

    Habarini wanajukwaa Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,ni kwamba nilimsikia mtu mmoja akisema,ati wazungu ni balaa maana wamepiga hatua kubwa kitekinolojia,kwamba wamefikia hatua yakutengeneza satellite inayoweza kukupiga picha,kuchukua video yako,hadi sauti yako,(lkn ni kama wakihamua...
  3. Hivi mnieleweshe: kwani kipindi cha yesu kulikuwa na picha? Sasa huyu yesu aliyepo makanisani picha yake ilipatikana VP?

    Naombeni mnieleweshe Kipindi au zama ambazo alikuwa anaishi bwana yesu kulikuwa hamna picha na huyu bwana yesu ambaye tumemuona au tanamuona makanisani picha yake ilipatikana VP? Na ukiangalia brian deacon amefanana na huyu yesu ambae tunaenda madhabauni kumuabudia ? Naombeni mnieleweshe mwisho...
  4. Kwa mwenye uwezo wa kuremove color kwenye picha

    Habari za mchana wana jf poleni na majukumu ya hapa na pale mimi nahitaji msaada kwa mtu mwenye uwezo wa kuremove zile color huwa wanaweka hawa ndugu zetu wauza mikeka wanaosema wana fixed game sasa anakuwa kazificha zile match naomba mwenye uwezo huo tujuzane namna ya kutoa hizo rangi Regards...
  5. KWELI Kati ya picha hizi moja imetengenezwa kwa AI na nyingine ni halisi

    Wakuu salama hapa, Hizi picha mbili zinanichanganya kutambua ni ipi ni halisi ni ipi imetengenezwa kwa AI, naomba msaada wa kuzitofautisha wakuu.
  6. Swali la siku: Ni vitu gani unazingatia kutambua Picha au Video zilizotengenezwa kwa kutumia Teknolojia ya Akili Mnemba (AI)?

    Mdau umewahi kupotoshwa na maudhui yaliyotengenezwa kwa kutumia teknolojia ya Akili Mnemba (AI)? Je ni vitu gani unavizingatia katika kutambua maudhui yaliyotengenezwa kwa kutumia teknolojia hii ili kuepuka kupotoshwa?
  7. A

    Picha zinazotafakarisha kuelekea uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA ngazi ya taifa

    Ukifuatilia hizi picha kwa umakini unaweza kuona mambo mengi ambayo yanaweza kutokea hapo baadae
  8. M

    HII PICHA NA CONTENT ZA LISSU ZINAMAANA GANI ?

    Wadau muda mdogo mambo mengi Picha imekataa, kuhusu kuunga mkono mazungumzo ya chadema na bi Samia
  9. 5

    Picha: Mjue Abdul Halim Hafidah Ameir, Mtoto wa Rais Samia

  10. L

    Tazama picha hii ya Lissu upate kujua anachukuliwaje ndani ya CHADEMA

    Ndugu zangu Watanzania, Katika picha hii unaweza kujua na kupata Picha Namna gani Lissu anachukuliwa na kiwango cha thamani na heshima yake ndani ya CHADEMA. Hapa unaweza kuona na kutambua wazi kuwa Lissu Tangia Awali na zamani alikuwa haheshimiki wala kuthaminiwa wala kukubalika wala kwa...
  11. Ulishawahi kushikwa hivyo😀 hata siku moja au ndio unaona leo kwenye picha hujawahi😀

    Ulishawahi kushikwa hivyo😀 hata siku moja au ndio unaona leo kwenye picha hujawahi😀
  12. F

    picha nzuri za ukutani

    Napenda sana kupamba kuta na picha za ukutani,kwa upande wa dar,maduka yanayouza picha hizo yapo mitaa ipi?Naomba msaada wenu
  13. PICHA: Miamba ya Upinzani yenye misimamo isiyoyumba hata nukta moja yakutana kwaajili ya mazungumzo juu ya hatma ya CHADEMA na WanaChadema

    Taifa hili limewekwa na Mungu mikononi mwenu hakikisheni mnasimama kuhesabiwa hata kama ni kwa chapa ya moto.
  14. U

    Mfahamu kwa picha Abdul-Malik al-Houthi Kiongozi Mkuu wa waasi wa kihouthi huko Yemen wanaopambana na Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeona niwawekee angalao picha yake mumfahamu Anezaliwa 22 May 1979 Nihayo kwaleo, niwatakie siku njema
  15. Upi ni upande sahihi wa kukaa picha kwenye kitambulisho?

    Kulia au kushoto? Au inategemea na aina ya kitambulisho? Kwa mfano vyangu mimi; Cha kazi, cha NIDA na cha... picha ipo upande wa kulia ukiwa unavitazama Cha bima ya afya na vya shule vyote picha ipo kushoto ukiwa unavitazama
  16. Picha ya kufungia mwaka!

    FOMU YA KUGOMBEA UENYEKITI ILIVYOPOKELEWA! 🤣 ... kwa wale nguli wa kusoma BODY LANGUAGE!
  17. Kwaheri 2024, Karibu 2025, Matukio katika picha. Mpaka sasa kataa ndoa hana goli, mpinzani wake anaongoza kwa goli 3

    Hongera kwa Afande, Hivi kufuta hii kitu tena ukiwa umepiga magoti na mikono miwili tena kimahaba, huwa ina maanisha nini kwenye ulimwengu wa kiroho ? Hii picha nimeangaliaaaaa, nikawaaaza, nikaangalia tena, nikawaza. Jibu la haraka haraka likaja kwamba ndio champagne salute au inaiitwaje...
  18. MwanaYanga akilalamika kuhusu kuongezewa muda muonyeshe hii picha halafu kaa kimya

    Picha inajieleza Waonyeshe hii halafu usiongee kitu
  19. Allahmdulilah picha: Dube kafunguliwa majini yameondolewa

    Ni majini tu alitupiwa. Alisomewa na Azam kisomo akatupiwa majini. Kuna watu wamempeleka kuombewa. Dube kafunguliwa. Sasa atakiwasha sana. Wamemwambia sasa asiache kuomba na ajitoe kabisa kabisa katika mambo ya kusomewa kisomo au kuchomewa ubani. Anasema anajisikia mwepesi sana baada tu ya...
  20. M

    Picha: Lissu na Mbowe leo hii

    Picha ya kikoa cha leo Lissu kajimaliza kisiasa kwa ushawishi wa msigwa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…