pikipiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Ridhiwani Kikwete agawa pikipiki 14, vishikwambi na spika kwa maafisa Maendeleo ya Jamii ili kurahisisha kazi zao

    Ni mkakati wa kuhakikisha Wananchi wanafikiwa kirahisi kuhudumiwa. Halmashauri ya Chalinze yatenga Bilioni 2.2 kwa Wanawake, Vijana na Walemavu. Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani...
  2. nipo online

    Nimepigiwa simu nitume pesa nitumiwe pikipiki kutoka Dar keko nilikoagiza

    Wakuu nimefanikiwa kupata pesa milioni 1. 3 nataka pikipiki used boxa yenye plate namba D, hizi HD nafikiri naweza pata kwa akiba hii.. Sasa utaratibu huu sijaelewa vizuri, naomba mwenye uelewa hatua za kufanya ili kupata pikipiki bila usumbufu Vitu gani nizingatie
  3. M

    Nipeni chimbo la spear za pikipiki, sitaki kwenda china

    Nataka kuanzisha duka la spear za pikipiki,Bajaj hapa jombe na mbeya . Ila sina muda wa kusafiri kwenda china so nataka niwe naagiza spear hapa hapa Tanzania , wapi napata chimbo la spea kwa Bei kitonga , mikoa ya huku nimestudy mbeya na jombe, iringa wote wanagiza spear dar ila wanafanya...
  4. J

    Nikihitaji kujiunga na Bolt au Uber wastani Shilingi ngapi kwa siku naweza ingiza?

    Habari, ningependa kufahamu nikiwa mmiliki wa pikipiki Dar es salaam na nikahitaji kujiunga na Bolt au Uber wastani tsh ngapi kwa siku naweza ingiza. Pikipiki yangu na naendesha mwenyewe. Kuna gharama zipi za uendeshaji pia.
  5. danhoport

    Msaada funguo ya pikipiki imegoma kuwasha wala kutoa sterring lock

    Ni pikipiki aina ya boxer 125, imegoma ghafla tu niliipaki usiku nikazima ila cha ajabu asubuhi imekataa kutoa lock, wataalamu shida inaweza kuwa nini na inasababishwa na nini na je ni kawaida tu au kuna shida mahali?
  6. T

    INAUZWA Nauza pikipiki aina ya Honlg

    Wanajamvi nauza pikipiki imetumika no .MC439 CUN aina HONLG ipo mbezi ya kimara. Bei 700,000 Njoo DM tuongee
  7. K

    Nahitaji msaada wa kupata pikipiki ya mkataba kwa ajili ya kazi ya boda boda

    Kwenu wakuu habari zenu Mimi kijana wa miaka 25 Elimu form six Nahitaji msaada wa kupata pikipiki ya mkataba kwa ajili ya kazi ya boda boda kijiwe changu kitakuwa kariakoo Uaminifu ni mkubwa hata ukitaka kupelekwa inapokaa familia yang yaan wazaz na wakanizamin nipo tayar Mawasiliano 0685176087
  8. Li ngunda ngali

    Pre GE2025 Msafara wa Rais Samia kuongozwa na pikipiki za CCM, ni sawa Polisi kutumika kwa shughuli za chama?

    Polisi wa usalama barabarani Kitengo cha pikipiki (escort) wamevalishwa sare za CCM wakiwa sambamba na msafara wa Samia. Vilevile, pikipiki za Polisi nazo zimenakishiwa kwa rangi za CCM. Pia soma: LIVE - Yanayojiri Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma January 18 - 19, 2025
  9. Mwafrika mmoja

    INAUZWA Pikipiki mpya ya kazi unauzwa

    Pikipiki ya kazi na ya uhakika kutoka KINGLION, hii inapita popote na inafanya kazi wakati wowote. Model: 150-9AEngine Capacity: 150ccFuel consumption: 1L/55KM Ukinunua unapata usajili bure, jacket, T-shirt na Helmet 2. Piga simu au WhatsApp: 0683535699
  10. CONTRARIAN

    Kununua Pikipiki 3M, kumpa Boda kwa mkataba, Baada ya Mwaka inakua yake, wewe umeingiza lak 6, ni Wehu.

    Yaaani Unatoa 3M, Unaletewa 10k × 365 = 3,650,000 Faida kwa mwaka = 650,000 Faida kwa mwezi = 54,000. Faida kwa siku = 1,800, 😂😂😂 Wagonjwa wa akili ni wengi.. Issue sio aina ya biashara tuu, japo bado ni ya kufikiria mara mbili, Maana inamaanisha Piga Ua, faida ya Mmiliki wa boda boda(1,800)...
  11. Mchochezi

    Waziri wa Michezo wa Afrika ya Kati akimkabidhi Kocha wa Timu yao Taifa zawadi ya Pikipiki baada ya kufuzu CHAN 2025

    Central African Republic Sports Minister presented this new motorbike to coach Sébastien Ngato for guiding them through to the 2024 CHAN tournament. This is the most expensive bike in the country and it’s a nice way to reward the coach for his efforts.
  12. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Dkt. Ashatu Kijaji : Agawa pikipiki 700 na vishkwambi 4,500 kwa ajili ya matumizi ya maafisa ugani Morogoro

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Ashatu Kijaji amegawa pikipiki 700 na vishkwambi 4,500 kwa ajili ya matumizi ya maafisa ugani wa sekta ya mifugo mkoani Morogoro. Dkt. Kijaji amesema hatua hiyo itasaidia kuondoa migogoro ya wakulima na wafugaji wilayani Kilosa na mkoani Morogoro kwa ujumla huku...
  13. Evans Richard Arsenal

    Wapi nitapata connection ya wauzaji wa PIKIPIKI kwa bei ya kiwandani kwa wachina wenyewe kwa pikipiki za SINORAY, FEKON, KINGLION etc

    Husika na kichwa hapo juu, naomba kufahamu wapi nitapata connection kutoka kwa wachina viwandani au kuagizia china nipate kununua pikipiki kwao moja kwa moja bila kwenda madukani kwa bei ya rejareja au kwemda kwa mawakala wa mikoani au wilayani. Nataka kufungua duka kwa ajili ya kuuza pikipiki...
  14. Mad Max

    Makampuni na Mawakala wa pikipiki za TVS, Hero, Bajaj nk, mnatukosea sana Watanzania!

    Inafika kipindi mtu akisikia pikipiki ya TVS au Hero, anachowaza ni zile za bodaboda. Tunajua mnatoa vyuma vizuri tu kwa bei rafiki, lakini kwanini hamzileti Tanzania? Mfano hii pikipiki ukiambiwa ni TVS unakataa, na ukaambiwa mpya ni $3,000 tu kabla ya usafiri na kodi. Kwamba hatuwezi...
  15. Mindyou

    Pre GE2025 Kijana aliyegonga gari la Mkuu wa Mkoa wa Mwanza anunuliwa pikipiki mpya

    Wakuu, Wakati mnaendelea kujadili mchuano kati ya Lissu na Mbowe, viongozi wa CCM wameendelea kutustaajabisha! ================================================= Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, amemkabidhi pikipiki mpya kijana Kusana Lumambo, aliyegonga gari la mkuu huyo wa mkoa na...
  16. kats5

    Naomba kupata review ya perfomance ya pikipiki ya sinoray cc180-18

    Habari za leo wakuu, hongereni na majukumu, Kama kichwa cha habari kinavoeleza, kwa mzoefu tafadhali, naomba kupata kujua zaidi pikipiki ya. 1. Sinoray cc 180-18 (PUSHROD) na 2. Sinoray cc 180-18(TIMING CHAIN). Katika vigezo vifuatavyo, 1. Ubora na uimara 2. Re- sale value na kadhalika...
  17. G

    NAPATAJE PIKIPIKI YA MAMA, Dkt.

    Mtaani naona kuna pikipiki nyingi zenye nembo ya ccm na picha ya generali mkuu Basi kama Jobless nikawiwa kuomba msaada namna ya kupata hicho kitendea kazi ili nami nijipatie kipato NATANGULIZA SHUKRANI. .
  18. Influenza

    Rwanda imezindua maabara ya kwanza barani Afrika kwa ajili ya kupima ubora wa kofia za waendesha pikipiki

    Rwanda imezindua maabara ya kwanza barani Afrika kwa ajili ya kupima ubora wa kofia za waendesha pikipiki ili kuhakikisha usalama wao. Juhudi hii, ambayo ni sehemu ya Mradi wa ‘Tuwurinde’, inalenga kupima kofia dhidi ya viwango vya kitaifa vya usalama na kupunguza hatari ya majeraha ya kichwa...
  19. mlinzi mlalafofofo

    Kwanini matrafiki wanazikomalia sana gari za mizigo na pikipiki (toyo) za mizigo?

    Wakuu apa naomba kuelimishwa kwa hili la trafiki kusimamisha gari za mizigo na pikipiki (toyo) za mizigo maana nimeliona sana uko barabarani, yani trafiki akiona gari za mizigo au toyo za mizigo iwe imebeba mizigo au haina mzigo wowote ni lazima gari hiyo au toyo hiyo ipigwe mkono. sasa je...
  20. Shooter Again

    Hivi mtu anaenunua pikipiki kwa ajili ya kutoa mkataba au hesabu anakuwa na mahesabu gani?

    Kuna watu duniani utajiri watausikia Kwa wengine tu huwa nashindwa kuelewa akili zao unakuta mtu ananunua pikipiki 3.5M halafu anampa mjinga mmoja mnyoa kiduku amletee elfu 10 Kwa siku ambayo unakuta mwingine ndio akiletewa anaila na familia yake hivi hii ni akili gani yaani unajua Kuna watu...
Back
Top Bottom