Gharama za ununuzi na usajili - 2,800,000
Mkataba – miezi 13 (siku 365 za mwaka + 30 za mwezi moja)
Hesabu ya siku – elf 10
Hesabu ya miezi 13 – elf 10 x siku 395 = 3,950,000
Faida miezi 13 = 3,950,000 – 2,800,000 = 1,150,000
Faida ya kila siku = 1,150,000 / siku 395 = 2,911.. (elf 3...
Nimepita vijiwe kadhaa hapa nimechunguza kisha nikaona pikipiki nyingi ni boxer ikabidi niulize wadau hapa majibu yao ni kua TVS humpakii mtu haya maeneo TVS nenda mbeya au dsm. Lakini hakunitajia sababu kwa nini wateja wanapenda BOXER.
Wale wazoefu naomba msaada jinsi ya kuweza kuepuka kuletewa hesabu finyu. Nimewza niwe najaza oil full tank then yy anipe hesabu yote kisha nimlipe mwisho wa mwezi. Naomba ushauri, pia maeneo gani yana kua na wateja wa kutosha ili dogo atege hayo maeneo. Nipo iringa.
KARIBUNI WATEJA AGIZA PIKIPIKI BOXER 125 KWA 2200000 TU
PIKIPIKI NI MPYA UTAPATA NDANI YA SIKU 15
UNALIPIA MILIONI 1850000 PIKIPIKI YAKO IKIFIKA UTALIPIA PESA ILIYOBAKI KAMA USAFIRI NA KODI
UKIFIKA UTAPEWA MKATABA NA RISITI TUPO MBEZI MSIGANI KARIBU NA KIWANDA CHA MABATI UNALIPIA OFISINI...
Wakuu mambo vp
Kweli nimeamini kifo tunatembea nacho kama siyo uwepo wa Mungu kwenye hii Dunia sijui kama ningepata hata huu wasaa wa kutype hapa JF.
Majira ya saa 3 usiku
Nikiwa natembea kwa miguu pembezoni mwa barabara( Service Road) kunakitu kilikuja kikatua kwenye Bega langu la kushoto...
Habar wakuu,Nina pikipiki aina ya boxer bm 150 inatatizo moja La kuchelewa hasa ikiwa nimeipaki kwa nusu saa hivi,nimejaribu kwenda kwa mafundi ila wamekuwa wanatoa maoni tofauti tofauti.
Nawasha kwa kutumia kick ila kuna mda nafikiria ninunulie motor starter itakuwa suluhisho LA tatizo au...
habari wakuu,
nahitaji mwenye kumfahamu fundi pikipiki anayetafuta ajira, mwenye uzoefu na pikipiki za boxer na tvs. location dar es salaam, karibu na mjini sio nje ya mji.
ofisi ni mpya na ni kubwa kiasi kuhusu chakula na kulala kama anatoka nje ya mji juu yangu. aliye na interest tufanye maongezi.
Dar es Salaam, 18 Julai, 2024
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) iliona taarifa zilizosambaa kupitia mtandao wa Jamii Forums tarehe 17 Julai, 2024 kuwa, "Afisa anayejulikana kwa jina la Fadhili anawalazimisha Madereva wampe fedha awalipie Faini na Stika za LATRA kwa madai mfumo...
Msaada jamani, HIVi pikipiki Kwa matumizi ya kawaida mtu anatakiwa afanyie service vitu gani na Kwa mda gani?
Pia boxer 150 mazuri yake na mabaya yake ni yapi
Kuna madhara ya kubana mafuta kwenye pikipiki
Unawezaje kutambua kifaa ulichofungiwa kama ni og kwenye pikipiki Hasa hizi za...
Leo nimepita Sabasaba nikaona kuna Kampuni fulani (Jina Kapuni) inatoa mikopo ya Pikipiki na Tukutuku.
Mjanja M1 nikajisogeza taratibu kuokota Dodo la mkopo wa Bajaji.
Lahaullah Walakuwata! nilishtuka sana kuambiwa marejesho ni zaidi ya ulichokopa, yani kama umekopa 10 Million wanakutaka...
CCM inaendelea kudharau kila kitu na ni dalili wazi kwamba viongozi ndani ya CCM na serikali yake hawana usikivu tena. Ni dharau zilizopitiliza kushindwa kuwalipa watumishi wastaafu pensheni zao na stahiki za watumishi wa serikali huku wakitaabika na kuteseka ilhali fedha za kununua pikipiki na...
Unakuta picha ziko vizuri kabisa kiasi kwamba mtu hadi unajiuliza mbona kama muonekano na Bei haviendani. Unakuta chombo inauzwa 800,000, arafu muuzaji anasema chombo Ina documents zote. Na unakuta ni ofisi kabisa ya kuuza pikipiki used. Binafs mashaka yangu ni Bei zao.
Kwa wajuzi naomba kujua...
Tunauza pikipiki zote za tvs kwa bei nafuu sana.
Tvs 125 4 gear utaipata kwetu kwa bei ya shilling Million 2 na laki tisa tu.
Tvs 125 gear 5 utaipata kwetu kwa bei ya shilling Million 3 na laki moja tu.
Tvs King ya mafuta utaipata kwetu kwa bei ya shilling Million 9 na laki 9 tu, Tvs king ya...
Kwanza wakuu inachukua muda gani mtu kujifunza kuendesha gari? Anatakiwa kupractice kwa muda gani ili awe ameiva?
Naomba kufundishwa kuendesha gari na pikipiki. Elimu basic, hasa hasa alama za barabarani, mataa na sheria za barabarani. Natanguliza shukrani.
Fedha nyingi zimetumika kununua pikipiki zaidi ya 18,000 zitakazosambazwa nchi nzima!
Mtu unajiuliza hizo fedha takriban 54 billion si zingetumika kuwasaidia watu maskini katika mambo mangapi?
Watanzania tuamke nchi sio ya viongozi ni yetu na yanapofanyika matumizi mabovu kama haya wanaoumia...
Wakuu niambieni
Ajira ya kwanza nimeajiriwa 2017 mshahara 780,000 bila makato
Kazi ya pili 2018
Mshahara 1.5M ukitoa makato 1M net mfukoni, bado safari laki 6 kila wiki mbili
Kazi ya tatu 2020
Mshahara m2.3
Ukitoa makato 1.6 M marupu rupu 70k kwa wiki
KAZI IMEISHA SASA
LAKIN HAYA YOTE SINA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.