Najikumbusha tu namna viongozi wa umma walivyoishi kwa maadili yasiyotia shaka enzi za awamu ya kwanza ya JK Nyerere.
Waziri kununua pikipiki 25 kwa fedha taslimu wakati wa kuelekea uchaguzi lazima angeitwa na tume ya maadili pale jirani na Avalon cinema kujieleza.
Yote kwa yote namuunga mkono...
Juzi Kati Kwenye akaunti ya twitter Kigwangalla alionekana akiwanadi ng'ombe wake
Kabla ya hapo alionekana jimboni kwake akigawa pikipiki kitu ambacho hajawahi kufanya kwa miaka ya nyuma kabla ya mwaka wa uchaguzi.
Leo kabwatuka kuhusu uteuzi uliofanywa na klabu ya Simba akidai taratibu...
Cecilia Mwanga, Mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia Makini amechukua fomu za uteuzi wa kugombea nafasi hiyo leo Agosti 8, 2020 katika ofisi Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini Dodoma. Bi. Mwanga ameambatana na Mgombea Mwenza, Tabu Juma pamoja na viongozi wa chama.
Taarifa ya rushwa kwenye kura za maoni kwenye ubunge wa CCM Kyela kila mwananchi wa Kyela nikiwemo mimi anajua
Yuko mgombea mmoja ambaye alimwaga pikipiki kwa kila katibu wa kata kwenye jimbo hilo, kwa kadri ya ufahamu wangu kuhusu rushwa za uchaguzi wa ccm kyela, hii ni funga kazi, katika...
Wakuu kwa mara nyingine tena:
Pikipiki zimeenea sana sasa hasa katika jiji letu la Dar es salaam.Hii inanifanya nione biashara ya spea za pikipiki itakuwa inalipa sana?
Sijajua upande mwingine wa shillingi. Hebu nipate mawazo yenu wakubwa.
Mna maoni gani katika hili?
Asanteni sana wakuu...
Wakuu wasalaam.
Kama mada ilivo, naomba waendesha pikipiki za abiria tukutane hapa, tupeane uzoefu, tufahamu jinsi ya kupata wateja, tuzijue changamoto za hii biashara na jinsi ya kuzitatua, n.k.
Binafsi mm ni mwajiriwa sekta binafsi, nimeamua kununua pikipiki ili nikiwa nipo off niweze...
Siwezi kusema kauli ya Father of The Nation Mwl. JKN kuwa mpinzani wa kweli atatoka ndani ya CCM, maana hata wakati wa Edo kauli hii ilitamkwa sana na kuaminisha umma kuwa sasa siasa ya Tanzania imepata uhalisia.
CCM ni chama chenye mizizi iliyosambaa sana kiasi ukichimba juu juu huwezi kuiona...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU WA JF
Twende pamoja kwa waliotumia na wanaotumia pikipiki tuu.
Kati ya hizi pikipiki unaipenda sana ipi na kwanini(based katika matumizi binafsi)?
1. Boxer
2. SANLG
3. Feckon
4. TVS King
5. Hero
6. King Lion
7. Houjo
---
---
---
BAADHI YA MAONI...
Salaam wanajukwaa,
Pole na mitikasi na mihangaiko ya kila siku, natumai sote ni wazima wa afya njema. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, katika uhangaikaji nimefanikiwa kufikisha kiasi cha milioni ishirini (20,000,000), nahitaji kufanya biashara ya spare za pikipiki kwa jumla na reja reja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.