Mkuu wa wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi Hashim Komba ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU wilayani humo kufanya uchunguzi wa matumizi mabaya ya fedha kiasi cha shilingi milioni 18 zilizotumika kwenye mradi wa Usafi na Mazingira (WASH) wilayani humo ambapo ni Ununuzi wa...
Wakuu kuna hizi pikipiki ambazo zinapiga kelele kiasi kwamba kama mnaongea inawabidi msimame kama dk moja hivi. Mi binafsi zinanikera sana. Bahati mbaya sehemu ninayokaa ni karibu na barabara, hizi zimekuwa kero kubwa sana.
Wengine nao wana hutu tusport car, wanapiga nato kelele balaa.
Hivi...
GPS TRACKING SYSTEM NI NINI
Ni mfumo ambao unawezesha chombo cha moto ambacho kimefungwa kifaa hicho kuweza kutoa taharifa mbalimbali kwa muhusika.
Mfano ---- Sehemu chombo kilipo
---- Mwendokasi wake
---- Kupata ripoti mbalimbali za mwenendo wa chombo husika
---- Chombo kuwashwa na kuzimwa...
HIYO HAPO PIKIPIKI TOYO TOLEO LA KWANZA KABISA...
BADO MBICHI KABISA...ILIKUWA YATUMIKA KWA MATUMIZI YA NYUMBANI...YAWEZA PIA KUWA BODABODA...
NI NGUMU ASIKWAMBIE MTU...NISHASEMA NI TOLEO YA KWANZA WAKATI ZINAINGIA TU...
Documents za msingi na Original zipo kabisa unapewa pikipiki yako...
Habari Jf.
Nimeamua kusimama na hii biashara ya kuuza pikipiki used.
Pikipiki zote ziko na document kamili. Unaweza fuatilia Police kwa kujiridhisha zaidi kuepuka usumbufu kwa baadae.
Kuna san lg, fekon, boxer tvs
Napatikana Dar es salaam.
Mawasiliano yangu ni 0744033555 nitafute any time...
Pikipiki aina ya fekon namba B inauzwa. Tsh laki 8 na nusu
Fekon namba A laki 7 na nusu.
Document zote halali za umiliki zipo.
Dar, Mbagala
Tuma sms ya kawaida tufanye biashara 0744033555
Habarini, naomba mwenye kufahamu bei ya Pikipiki za SanLG ikiwa mpya anifahamishe.
Nahitaji bei kwa Kahama au Mwanza ili iwe rahisi kwangu kufika huko kutokea kijijini kwetu
Wakuu leo nimezunguka kutafuta pikipiki tajwa hapo juu katika Joni hili la karaha na maraha nimeshindwa kupata wenyeji wananiambia kuwa hazipatikani kwa Sasa, swali je mchina ameshindwa kuzalisha au kuna tatizo mahala.
Hapa Nchini kumekuwepo na wimbi kubwa la wizi wa pikipiki hasa pikipiki aina ya Boxer.
Tena baada ya uzuka kwa ugonjwa wa Kirona, ndo hali imekuwa mbaya. Watu (bodaboda) wengi wamekuwa wakilizwa mara kwa mara.
Kwa nini pikipiki aina za boxer ndo zimekuwa zikishambuliwa sana kuibiwa? Wengi...
Naomba tusaidiane kimawazo hii kodi ya kibali cha kuingia mjini kwa wenye pikipiki imewekwa kwa ajili ya kuleta maandeleo kwa Dar es Salaam au imewekwa kwa ajili ya matumbo ya watu binafsi au kumkandamiza Mwananchi?
Inawezekana vipi mtu ananunua usafiri wake kisha analipia bima, sumatra, nenda...
Lissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi.
- Bima ya afya kwa Watanzania wote.
- Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka.
- Hakuna tena kukatwa asilimia 15 kisa mkopo. Tutakatwa asilimia tatu tu.
- Elimu ya maarifa, kubadili...
afya
barabara
barua
bima
ccm
chadema
elimu
fedha
haki
heslb
kampeni
kesi
kilimo
lissu
lisu
maendeleo
magufuli
mahakama
mpya
mshahara
mzalendo
pikipiki
rais
serikali
sheria
siasa
tanzania
tundu lissu
uchaguzi
uchumi
urais
usalama
ushauri
viwanda
wafanyakazi
wananchi
watanzania
watumishi wa umma
Mambo vipi wakuu,
Jamaa yenu hapa ninayo shauku kubwa ya kujifunza kutengeneza magari pamoja na pikipiki kwani maisha niliyo nayo mara baada ya kutoka chuo hayasomeki hivo nimeona ni vema zaidi nikapata japo ufundi stadi ambao utaniwezesha kupata riziki ya kuishi wakuu.
Lengo langu ni kupata...
Polisi Bagamoyo tusaidieni jamani pikipiki zinaibiwa kila siku, madereva wanaumizwa tunawaomba mchukue hatua stahiki kwa wahusika uhalifu unazidi siku hadi siku siku.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.