Naombeni ushauri nataka kuacha kazi ya kuajiriwa maana naona wanazingua now nataka niingie kwenye biashara ya kuosha pikipiki na magari.
Jetwasher nzuri na original zinauzwaje iwe used au mpya
Ni sehemu gani nzuri za kukaa ili kufanya biashara hii
Je, ina mabaya gani au shida yake
Mtaji wake...
Habari zenu ndugu wananchi,
Leo naomba kuwauliza swali wakaz wa Dar mliopo humu JF
Nimejiunga na ma group kadhaa yanaouza vitu used kutoka mikoa mbali mbali
Kuna jambo moja linanipa utata, pikipiki nyingi zinazowekwa mtandaoni kwa ajili ya biashara ni moya na bei yake ni ya chini sana
Nyingi...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI
JESHI LA POLISI TANZ TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KUKAMATWA KWA WATUHUMIWA 161 WANAOJIHUSISHA NA WIZI WA VIFAA VYA MAGARI, PIKIPIKI NA UVUNJAJI.
Ndugu Wana habari, Mnamo tarehe 20.04.2021 na 24.04.2021 nilitoa taarifa kwa umma za...
PIkipiki yaweza pakia watu wengi na mizigo mingi unachotakiwa ni kutengeneza sehemu ya kubebea mizigo kushoto na kulia chini kwenye pikipiki halafu abiria wakaa juu hadi 10.
Ninataka kutafuta pikipiki kwa ajili ya bodaboda na kutembelea pia.Ninataka kufahamu je ni pikipiki gani ya kichina ambayo angalau ina ubora kiasi kati ya hizi
Fekon
SanLG
King Lion
T better
Taarifa kutoka kaskazini magharibi mwa Nigeria zinasema kuwa majambazi waliokuwa wakiendesha pikipiki wamewauwa zaidi ya watu hamsini katika msururu wa uvamizi uliodumu kwa saa kadhaa katika vijiji vya mbali.
Wakazi wa Magami waliiambia BBC kwamba watu wenye silaha kwanza walishambulia kijiji...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KUKAMATWA KWA WATUHUMIWA 56 KWA WIZI WA MAGARI NA PIKIPIKI, MAGARI 12 YA WIZI NA PIKIPIKI 28.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam katika kipindi cha kuanzia Mwezi Machi hadi Aprili 2021 limefanya oparesheni ya kupambana na wahalifu vinara wanaojihusisha...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu na kutokana na swala la ajira lilivyogumu kuna pikipiki hapa inahitaji kijana mmoja mwenye kujielewa nimpe pikipiki kwa mkataba..
Aliye tayari tafadhari tuwasiliane kwa namba 0622723082 wahi pikipiki ipo moja.
NB: Awe kijana mkazi wa Dodoma.
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu na kutokana na swala la ajira lilivyogumu kuna pikipiki hapa inahitaji kijana mmoja mwenye kujielewa nimpe pikipiki kwa mkataba..
Aliye tayari tafadhari tuwasiliane kwa namba 0622723082 wahi pikipiki ipo moja.
NB: Awe kijana mkazi wa Dodoma.
Wataalamu wa pikipiki ninaomba kujuzwa je ni service gani ambazo natakiwa kuzifanya mara kwa mara kwenye pikipiki ili kuhakikisha chombo kinakuwa salama muda wote.
Moja ya mambo unayohitaji kujua ni kwa mfano oil inatakiwa ibadilishwe baada ya muda gani.Naomba kuelimishwa vitu vyote vya muhimu...
Dunia inazidi kusonga mbele kwa kasi. Japo wanadamu wa kiafrika tupo kama tumesimama huku tu kutazama mwendo wa dunia.
Sina shaka kwamba ajali za pikipikiHii ndio zinaongoza kwa kusababisha vifo vingi Afrika. Kuna teknolojia inakuja itaweza kupunguza vifo teknolojia hii ndio itaweza kuzuia...
Habari wanajukwaa naomba kufaham pikipiki nzuri mpya kwa matumizi binafsi ya kwenda ofisini na mizunguko ya kawaida weekend. Hasa pkpk za kijapan ambazo nadhani ni durable bajeti yangu ni 3.2-3.5 million.
Karibuni kwa mani yenu.
Habari za leo?
Nnahitaji pikipiki ya kufanyia kazi kwa mkataba, mimi ni mwanaume, umri wangu ni miaka 33, nina familia ya watoto 3, nipo Dar es Salaam, Tandika Magorofani.
Ikiwa pikipiki itakuwa mpya basi mkataba utakuwa wa mwaka mzima, na ikiwa Pikipiki itakuwa si mpya tutajadili muda wa...
Ilikuwa siku ya Ijumaa 19.2.2021, ni siku nyingine ya kukumbukwa, katika Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Dar-Es-Salaam, lililoko Barabara ya Sam Nujoma; pale ambapo jumla ya wahusika 84 waliposhiriki katika kufungwa kwa Ndoa 21, zilizofungwa kwa pamoja katika Ibada ya Ndoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.