Wakuu wanasheria natumaini mko poa.
Nilinunua pikipiki juma tano na niliambiwa kuwa kadi haijafika tukapewa chases number tukarudi. Jumamosi nikiwa safarini nikaambiwa dogo amegonga mtu na huyu dogo hana lesen. Kachukuliwa yeye na pikipiki yeye aliwekwa mahabusu then kuna mtu kaenda kumuwekea...
Kwenye hili la boda boda naomba tutoe pongezi nyingi kwa aliyeleta hili wazo zitumike kama usafiri wa abiria.
Ameacha alama kubwa kwakweli maana kila kona now kuna kijana ana pikipiki yaaani zimeajiri mamilioni kwa mamilioni ya watu kuna watu wanafaa kuchongewa sanamu aiseepo
pongezi nyingi...
Wadau za jioni,
Mimi ni kijana mwenye miaka 32, niko Kijijini. Nimemake kiasi cha Tsh. milioni 1 nataka kufungua duka la vifaa vya pikipiki huku huku kijijini ila sijui kama fedha hizo zitatosha kama mtaji wa kuanzia
Nataka nianze na duka dogo tu
Naombeni ushauri na wazoefu naombeni mwongozo
Yamaha 4gl 90cc ni mfano tu wa mashine za kijapani ambazo wajapani walijitengenezea wenyewe kwa matumizi yao, pikipiki hizi ni sawa na Honda md90 ambazo zilitengenezwa maalumu kwa ajili ya shughuli za posta huko japan.
Leo huyu mnyama ana miaka 24, production ya 1997, mpaka leo sijui kapita...
Tunashukuru sana kwamba hivi sasa bodaboda zimetengeneza ajira kwa vijana wetu wengi.
Lakini jamani, tuwe makini sana sana na sehemu tunazolaza bodaboda hizo au pikipiki zetu baada ya shughuli zetu za kila siku. Moto wake ni hatari sana. Ni kama bomu!
Ilitokea sehemu (singependa kuitaja)...
Inakula mafuta kiduchu sana.Unaenda nayo popote kuanzia sokoni,kazini,kanisani hadi kwenye kula kitimoto. Inapita popote katika majira yote ya mwaka.
Changamoto: Haina siti/kiti cha kuwapa watu lifti😁😁😁
Huyu jamaa nimemsikia BBC ana pikipiki ya kuchaji. Zinapatikana madukani au ni ya kujiundia?
=====
Anthony Kapinga
Pikipiki ya Bw. Kapinga
Ifahamu pikipiki inayotumia umeme ambayo wengi wameiona kama rafiki mkubwa wa Mazingira kutokana na ukweli kwamba pikipiki hii haina mlio na haitoi...
Wakuu tuje kila mtu na Tafiti zake ili tupate mwanga na kumsaidia ambaye anaweza akahitaji kufanya biashara ya boda boda.
Ni Mkoa gani, Wilaya, Kata, Kijiji au sehem gani mtu unaweza ukawekeza kwa biasahra ya pikipiki ya Mkataba na ukapata pesa zako bila wasiwasi na usiwe na hofu ya kuibiwa...
BASHE AKABIDHI ZAHANATI, GARI YA KISASA YA WAGONJWA NA PIKIPIKI KATIKA KIJIJI CHA IDUDUMO
Nzega Mjini, TABORA.
Mbunge wa jimbo la Nzega Mjini na Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amefanikiwa kukabidhi zahanati, Gari ya kisasa ya wagonjwa (ambulance) pamoja na usafiri aina ya pikipiki...
pikipiki chapa Gsm.
Full Docs.
cc 150, 5 gears.
Haina changamoto zozote ni kuwasha na kuamsha
Spea zake zinaingiliana na fekon, KiNGLION, San lg
ipo Dar. Mbagala Zakhem
Ndugu zangu,Mimi Ni kijana natafuta pikipiki ya hesabu ambapo nitakuwa naitumia kufanyia biashara ya boda boda na kumlipa mwenye Mali kutokana na makubaliano ya kiasi tutakachokubaliana...naomba ndugu zangu nisaidiwe kwa Hilo nitafanya kazi kwa uaminifu mkubwa mnoo na nitahakikisha naleta hesabu...
Kuna waendesha pikipiki wengi ikifika jioni/usiku huendesha pikipiki wakati wamesha taa kali sana. Wengine hubadilisha taa halisi na kuweka mwanga mkali sana kwa watumiaji wengine wa barabara
Huwa najiuliza:
Hivi hizi pikipiki hazina sehemu ya kupunguza mwanga wa taa?
Kimsingi ni hatari sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.