Kwema wandugu....! Mbele yenu ni kijana wa miaka 24 na form six leaver miaka minne nyuma natumia jukwaa hili la jf kuomba msada jinsi ya kupata pikipiki ya mkataba kwani Niko katika jiji la Amoc makala na nikiwa nimekata tamaa na mafanikio na kazi nayoifanya...Incase ya dhamana sina chochote...
Habari wana JF, Naomba kujulishwa mambo yafuatayo kwa wanaofahamu.
1. Chuo kinachotoa mafunzo ya udereva wa pikipiki Dar es salaam (Specifically wilaya ya Temeke).
2. Jinsi ya Kupata Leseni ya Kuendesha Pikipiki na Gharama zake.
3. Jinsi ya Kubadili Plate number kutoka Nyeupe kuwa njano...
Tatizo kubwa la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki(boda) katika jiji la Dar es Salaam
Andiko langu linahusu tatizo sugu la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki (boda) katika jiji la Dar es salaam linavyoleta madhala makubwa kwa jamii.
Dar es Salaam ni jiji kubwa linaloongoza kwa...
Kamanda wa Polisi Mkoa, Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Justine Masejo amethibitisha tukio hilo leo Septemba 11, 2022 na kueleza kuwa wanamshikilia Allen Wilbard Kasamu, dereva wa Lori la mafuta lililotumika kusafirisha Mirungi
Kamanda Masejo amesema wamewakamata pia watuhumiwa wengine 38...
Habarini wakuu.
Husika na kichwa cha habari hapo juu naomba kufahamishwa kuhusu pikipiki hii;
1. Uimara wa chasis yake na body kwa ujumla
2. Upatikanaji wa spare zake
Mahitaji ya ‘brake shoe’ za pikipiki ni kubwa mno, tunaweza kuokoa mabilioni yanayotumika kuziagiza toka nje ya nchi na kutatuabtatizo la ajira kwa kuwapa vijana mazingira mazuri ya kufanya ‘start ups’, tozo ni kikwazo kikubwa kwa wajasiriamiali.
Tuone kama tuna la kujifunza kwa huyu mtoto...
Soko la ‘Sprocket’ za pikipiki ni kubwa sana Tanzania, na uzalishaji wake ni rahisi na unawezekanika kwa teknolojia rahisi sana.
Je, ni lini SIDO wataanza kuunda na kusambaza mashine na ujuzi huu kwa maendeleo ya taifa letu? Sehemu ya tozo itumike kwenye R & D badala ya kujenga Ikulu hadi...
Hebu tuacheni kusingizia Mungu kwa ajali tunazo jitakia!
Hivi mjini kati magari yamejaa, mtu unapanda pikipiki haina Vioo vya pembeni maarufu kama said Mira (Side Mirrow) unategemea nini?
Vile vioo kazi yake nikuonesha gari Linalokuja nyuma hivyo bila hivyo vioo, Pikipiki huweza kuingia...
Abraar Education Centre tunahitaji fundi pikipiki mzoefu ambae ana uwezo wa kutatua matatizo yote ya kiufundi kwa pikipiki zilizozoeleka Tanzania.
Tunaanzisha kituo kipya cha mafunzo ya ufundi pikipiki kwa vitendo.
Fundi awe na uzoefu wa kutosha kufanya kazi zake bila kusimamiwa.
Kutatolewa...
Wanajamii forum naomba kuuliza maximum speed ya boxer x125. Na je ni sahihi kuwa na speed ya mwisho 75km/h au kuna vitu natakiwa nirekebishe , pikipiki ni zile za zaman za gia 4.
Habari. Kama unaitaji pikipiki used za aina yoyote na kwa Bei unayoitaka tutakupatia tunapikipiki za aina zote. Tembelea Instagram @saantz_pikipiki_used
Tupigie simu namba 0684998047 tukuhudumie mikoani pia tunatuma
Kunle Adeyanju (44) aliondoka London mnamo Aprili 19 na aliwasili jijini Lagos Mei 29 baada ya kupita zaidi ya kilomita 13,000 (maili 8,000) katika nchi 13 zikiwemo Ufaransa, Hispania, Morocco, Mauritania, Senegal, Mali, Burkina Faso, Ivory Coast, Ghana na Benin
Lengo la safari hiyo lilikuwa...
Pikipiki inauzwa 1,200,000 Tshs..
mawasiliano: 0713096076
Eneo: igoma mwanza
Aina ya Pikipiki: SAN LG
ENGINE SIZE: CC 150, 5 GEARS
HALI YA ENGINE: SAFI, HAINA TATIZO.
USAJILI: MC 324 CBT
INAPIGA BODA BODA, IGOMA MWANZA
Document zote zipo.
Rais Samia Suluhu na Mbunge Faustine Ndugulile wamevunja kikwazo kigumu kabisa Cha maendeleo ya kigamboni.
Sasa tozo zimeshuka na zitalipwa kwa siku badala Kila mtu anapovuka
Hiki kilikuwa kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya kigamboni. Kigamboni ikianza kujengwa itakuwa mji mzuri sana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.