Wadau Mimi nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye maada.
Nimekuwa nikipata tabu Sana kupata usafiri wa pikipiki kwa ajili ya mtu wañgu wa kike ili imrahisishie kufika kazini kwa wakati, nimetembelea mitandaoni nimekuta hiz zinaitwa click za kuchaj pamoja na za petrol nikawa sijasuuzika nafsi...
Kwa mahitaji ya spea za pikipiki aina zote, brand ya winner kwa Bei ya jumla wasiliana nasi kupitia 0747333320 tunapatikana kariakoo mtaa wa mafia na swahili.
Kwa mikoani TUNATUMA nchi nzima na nchi jiran
Habari Wana forum,
Kwa muda mrefu nimekuwa thoughts na desire ya kuanzisha biashara ya vipuri vya magari na pikipiki ila changamoto yangu ni bado sijakudanya data zenye uwakika zaidi, hivo naleta kwenu msaada juu ya kiwango cha mtaji , location, faida na hasara katika biashara hii ya vipuri...
MODEL: Boxer
MODEL NUMBER: BM 125
LOCATION: Tegeta, DSM
Iko vizuri kabisa na ENGINE haijawahi kuguswa
Ina registration card
BEI: 1,100,000/= maongezi yapo
NICHEKI PM KWA MAWASILIANO ZAIDI
Kinachofanywa na maafisa bima wilaya ya Mbogwe kinatia mashaka sana kwa wamiliki wa pikipiki na kwa waendeshaji wengine wa pikipiki kwa jina maarufu bodaboda katika wilaya ya Mbogwe. Niliwahi kutoa malalamiko ya aina hii lakini Kwa Sasa naona ni kama historia inajirudia.
Ukusanyaji wa hela za...
Habari wanna jamii forums, katika harakati zangu za utafutaji nami nikaona sio mbaya kuanzisha kikampuni changu kidogo Cha usafirishaji.
Lengo ni kuendelea kujikomboa na circle ya umasikini, na hivyo nimeamua kuzitoa bajaji na bodaboda kwa kijana ataye weza kuendana na taratibu na sheria zetu...
Habari Wakuu,
Nataka nivute Pikipiki kwaajili ya misele yangu hapa Town.
Tatizo Nikiinunua itakuwa Pikipiki ya Washikaji tu. Muda wote naazimwa, Siwezi kupata muda mzuri wa kuinjoy nayo.
Msaada, nifanyeje kuepuka Washikaji kuniazima Pikipiki mara kwa mara?
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa (wa pili kushoto) akiwa katika pikipiki zilizokabidhiwa na Benki ya CRDB kwa Kituo cha Polisi cha Utalii na Diplomasia jijini Arusha kwa ajili ya kusaidia katika doria na kuimarisha ulinzi na usalama kwa watalii. Wengine pichani ni Mkurugenzi...
Habari za majukumu waheshimiwa👋
naamini mko salama...
Ndugu yenu hapa, kwenye moja na mbili za utafutaji nimekusanya Tsh. 5,000,000/=
Kilichonileta hapa ni kupata ushauri kwa wenye uzoefu kidogo kwenye uchaguzi wa biashara ya kuingia kati ya hizi.
1. Spea za pikipiki (coz nina uzoefu kwenye...
Nakubali biashara ni hatua, ila hatua alizopiga huyu muha ni uchawi kabisa. Alikuwa akitembeza sambusa.
Ukihesabu kwenye ile pot yake ni kama sambusa 50-100 kwa siku. Hapo hupata 25k-50k kwa siku, ukiondoa gharama za kuandaa, muda na chakula, lets say kwa siku anapata faida ya 10-20k. Kuumwa...
Jipatie pikipiki aina ya HONLG, hii kwa lugha nyingine unaweza kusema ni chopa,ikitembea imetembea mf. Cc 250 ukiondoka na basi toka Dar kwenda Kwanza,basi litakukuta ulishasinzia kabisa.
HONLG Cc 150 bei maelekezo Tshs 3.15M
Honlg Cc 200 bei Kitonga Tshs 3.5M, HONLG Cc 250 bei mtelemko Tshs...
Sijui ni kwanini Serikali kwenye suala la manunuzi ya mali zake huwa haipo makini kila manunuzi ya Serikali yanapofanyika kuna pesa ya wizi inapita huko na kuna njia mbalimbali zinazotumika hapa ili kuiibia Serikali
1. Kuagiza vitu kwa idadi kubwa tofauti na mahitaji halisi ya Serikali sasa...
Wadau Nataka kununua pikipiki Aina ya Honda Ace 125 individual made in South Africa.
Bei yake ya ofa 2,600,000/= mpya.
Je, kuna pikipiki nzuri zaidi ya hii ambayo bajeti take haivuki milioni 3.2.
Ni ya kutembelea tu sio Kwa biashara ya bodaboda
Tubadilishane au nipe hela
Chuma hiki hapa 0743257669 lete mil 1 ipo Banana, mikoani tunakutumia.
Hakuna utapeli hapa mali halali doc zote zipo, hakuna haja ya service hapa unapiga stata unasepa hata mkoa.
GPS TRACKING SYSTEM NI NINI
Ni mfumo ambao unawezesha chombo cha moto ambacho kimefungwa kifaa hicho kuweza kutoa taharifa mbalimbali kwa muhusika.
Mfano
---- Sehemu chombo kilipo
---- Mwendokasi wake
---- Kupata ripoti mbalimbali za mwenendo wa chombo husika
---- Chombo kuwashwa na kuzimwa...
MHANDISI FATMA REMBO ACHANGIA MILIONI 2 UWT MUFINDI NA KUAHIDI KUTOA PIKIPIKI KWA UWT WILAYA ZOTE MKOA IRINGA.
Mjumbe wa Baraza Kuu la UWT Taifa Ndugu Fatma Rembo mnamo tarehe 11 Machi, 2023 amefanya Ziara Wilaya ya Mufindi ambako aliambatana na Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Iringa ndugu Zainab...
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amekabidhi jumla ya pikipiki 61 kwa Maafisa Ugani katika Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe ikiwa ni hatua muhimu ya kuboresha na kuongeza tija katika sekta ya kilimo.
Akikabidhi pikipiki hizo, leo Machi 7, 2023, Haniu amewagiza wataalamu hao wa kilimo kwenda...
Februari 24, 2023 Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva akiambatana na uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa ameshiriki zoezi la ugawaji wa pikipiki kwa Maafisa Watendaji wa Kata nane ambazo zimetolewa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Wakati wa zoezi hilo Mkuu wa Wilaya amemshukuru Rais...
Alhamisi jimboni Chalinze. Nimegawa pikipiki kwa watendaji wa kata 6 za Halmashauri yetu ya Chalinze, kutembelea kiwanda cha Uzalishaji wa marumaru cha Keda, na kupokea vifaa tiba kwa ajili ya Vituo vya Afya viwili Kata za Kibindu na Msata na Zahanati vijiji 11.
Wakati tunakwbidhi pikipiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.