Wakuu Habari za majukumu?
Nimekuwa nikiongea na fundi mmoja ni rafiki yangu sana yupo kwenye garage moja ya pikipiki maeneo ya Gongo la Mboto.
Akawa ananiambia mdogo wangu (sababu kanizidi kiumri) hii biashara ya spare za pikipiki ni nzuri, nikamuuliza kwanini? Halafu nikamuuliza mbona nasikia...
Experience yangu binafsi sio mara moja bali ni mara mbili niliazima gari kwa marafiki wawili tofauti, wa kwanza aligongesha bampa wa pili aligongesha karibu na mlango lakini hakuna alienijulisha kilichotokea pindi wanaponirudishia funguo za gari.
Nikiazima gari na ikirudi huwa lazima niikague...
Wakuu salama?
Naomba kujua chimbo gani zuri naweza kupata pikipiki aina ya YAMAHA mkoa wa Mwanza. Nijue pia bei ya Pikipiki mpya na used.
Nikipata mawasiliano ya muuzaji nitashukuru zaidi.
Karibuni wakuu
Kuna vitu vinatafakarisha. Viongozi wa kisiasa wanatumia magari ya mamilioni na hakuna aliye tayari baada ya kupewa ofisi atumie bajaji wala pikipiki.
Leo kuna mtu anaacha V8 na kupanda bajaji kuingia ofisini. Je, haya ndiyo maisha yake?
Kama siyo maisha yake anafanya kwa manufaa ya nani...
Sijajua ni nani lakini hili jambo limeniumiza sana yaani mtu kaja na kiwembe sehemu niliyokuwa nimepaki pikipiki yangu kachana cover la pikipiki yangu.
Sijui nimwachie mungu au nifanye ubayaubaya yaani hapa sielewi kinachoniuma sio kuharibu cover langu ila nachowaza huyu mtu ana lengo gani?
Pikipiki imenyooka kama rula, mkoa wowote ulipo inakufikia kwa kuendeshwa sio kusafirishwa.
Cc 125 powerfull boxer haijawahi fanya boda boda hata siku 1, ina mwaka katika matumizi na Km 10,000 imemwagwa oil mara 10 tu tangu inunuliwe.
Bei iko fixed, mahali ilipo GOBA
CONTACT :
0695697796...
Habari wadau
Ni tabia inayo shamiri kwa hapa Shinyanga wanao endesha bodaboda baadhi yao japo ni wengi
Wamekuwa na tabia ya kutoboa exsoze za pikipiki na kupelekea vyombo ivyo kutoa sauti zinazo leta kelele , Serikali ngazi ya mkoa tabia hii imekuwa ni kero
Niwaombe viongoz wetu mjaribu...
Ndugu wanajamvi nategemea kwenda Shinyanga nikitokea Dar es salaam kwa Piki piki boxer cc125 mwenye uzoefu itakuwa vyema ukanisaidia.
Nataka kujua mafuta naweza kutumia kiasi gani. Je, nijiandae kwa changamoto gani barabarani pikipiki hii ninayotaka kuitumia ni mpya. na nina tegea kwenda na...
Habari,
Poleni na majukumu Nina pikipiki yangu aina ya TVS 125 hivi ni mchongo gani wa pesa naweza kuufanya kupitia pikipiki hii ukiachana na Bodaboda
Wataalam nipeni michongo mdogo wenu
Leo nimepotelewa na funguo za pikipiki na nilikuwa nao mmoja tu sasa naomba wana JF mnisaidie mbinu mnazozitumia ili kuendelea kutumia chombo hicho cha usafiri
TANZIA -JIMBO KATOLIKI LA BUKOBA
Askofu Method Kilaini, anawatangazia kifo cha padre Asterius Mutegeki, kilichotokea tarehe 18 Agosti 2023 kwa jali ya pikipiki. Padre Asterius ni kijana aliyepadrishwa mwaka jana Julai 2022. Ni mzaliwa wa visiwa vya Bumbile na Padre wa kwanza kutoka visiwa...
Habari zenu wadau na wapenda bike, aisee niende moja kwa moja kwenye mada.
Kampuni ya Bajaj wamekuja na toleo jipya la pikipiki aina ya Boxer 125hd isiyokuwa na paper oil filter.
Tuone kama muendelezo wa uboreshaji huu utaweza kuboresha engine za boxer maana toleo hili jipya jamaa wameondoa...
Ujumbe huu ni kwa wewe askari uliyezimikiwa bodaboda yako mchana maeneo ya 88 Gloness Morogoro leo mchana, ulijua kabisa chombo chako hakina mafuta ya kutosha still ukaingia nacho barabarani, kimekatikiwa mafuta ukagandisha nacho barabarani ati hata wenye magari wakupishe, baada ya honi kuzidi...
Pikipiki Boxer or TVS inahitajika iwe katika condition nzuri
Location: Mwanza
NB: Isiwe mbovu, na pia kama una brand nyingine kama Honda na bei reasonable nicheki.
Kudondoka kwa nguzo za umeme za zege imekuwa kawaida kabisa. Mimi mwenyewe nimeshuhudia nguzo mbili Moja ikijeruhi mtu akiwa ndani ya gari.
Wahusika wawataarifu wananchi wasisogelee hizi nguzo. Ni hatari hazina vyuma ndani yake. ikipata unyevunyevu tu inaanguka.
Mimi nilishangaa engineers...
VIGEZO
1. Uzeofu wa miaka 1-5, Ajue aina zote za pikipiki.
2. Cheti cha ujuzi.
3. Leseni ya udereva. muhimu kuzingatia
4. Awe mwepesi kwenye mawasiliano.
5. Umri usiopungua miaka 25 -35
6. Wadhamini wanatakiwa watatu.
ZINGATIA
Tafadhali wasilisha barua ya maombi ya kazi na nyaraka ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.