pili

The arrector pili muscles, also knows as hair erector muscles, are small muscles attached to hair follicles in mammals. Contraction of these muscles causes the hairs to stand on end, known colloquially as goose bumps (piloerection).

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi wa Mwaka 2022 unasomwa kwa mara ya pili Bungeni

    Muswada huu unasomwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye Lengo la kutunga sheria hii ni kuweka kiwango cha chini cha masharti ya matakwa ya ukusanyaji na uchakataji wa taarifa binafsi, kuanzishwa tume ya ulinzi wa taarifa binafsi, kuimarisha ulinzi wa...
  2. The bump

    INAUZWA BOXER CC 125 (ina mwezi unaenda mwezi wa Pili) BM X

    Hii pikipiki nilininunua TAR 5 mwezi wa 9 nita attach risiti ya Manunuzi. Pikipiki sina namna naweza ielezea, "ni mpya" Naiuza sio kwa shida hivyo mteja apatikane asipatikane yote kheri. Sababu ya Kuiuza ni kutokana na ngekewa ambayo imenitokea bila kutarajia, sikua nimetarajia kabisa kupata...
  3. T

    Mkopo awamu ya pili tayari au bado

    Wakuu kwema Aise naandika huku naogopa. Nina wadogo watatu wanaanza first year mwaka huu na walishaaply mkopo cha kishangaza awamu ya kwanza hola hakuna hata mmoja aliepata na waliandikiwa kwenye akaunti zao wasubiri mpaka leo tarehe 21 ila naona siku inaisha hakuna mabadiliko yoyote na hawa...
  4. Mohamed Said

    Nyerere Day 2022: Kevin Lameck Bongo TV na Mohamed Said Sehemu ya Pili

  5. Vawulence

    Press conference ya Yanga 18. 10. 2022

    Yanga kesho wameitisha press conference ikiwa ni siku ya pili tu baada ya kuvurumishwa kwa mwaka wa 24 mfululizo katika hatua ya mtoano. Tutarajie kusikia yafuatayo: 1. Makubaliano ya pande mbili yamefikiwa 2. Malalamiko ya kutosha kwa muamuzi wa jana kwani wanaamini Arajiga ndio angefaa...
  6. maroon7

    Mwaka wa pili sasa barabara ya Mbezi-Kimara haijakamilika

    Wazee wa kuupiga mwingi naombeni muwakumbushe wahusika kuwa barabara ya Mbezi hadi Kimara ambayo ilijengwa kwa kasi sana awamu iliyopita haijakamilika hadi leo. Inasikitisha mno mno mno mno kuona hata street lights tu hawajaweka ni giza mwanzo mwisho. Tunaomba muwakumbushe wanaoupiga mwingi...
  7. Sildenafil Citrate

    Tanzania ya pili Afrika kwa imani za kishirikina

    Tanzania imetajwa kuwa nchi ya pili Afrika katika kuamini ushirikina ikitanguliwa na Cameroon kutokana na ukubwa wa matukio yanayohusishwa na imani za kishirikina ikiwemo mauaji ya wazee 117 katika kipindi cha Julai 2017 hadi Mei 2018. Mauaji hayo ambayo yalihusisha wanaume 91 na wanawake 26...
  8. Artifact Collector

    Mungu aliumba ozone layer siku ya pili

    "Mungu akasema, Na liwe anga katikati ya maji, likayatenge maji na maji. Mungu akalifanya anga, akayatenga yale maji yaliyo juu ya anga na yale maji yaliyo chini ya anga; ikawa hivyo. Mungu akaliita lile anga Mbingu. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya pili." Mbingu anayoongelewa ni ozone layer...
  9. S

    Utabiri: Yanga watashinda mbili kwa moja nyumbani, na kutoa sare ugenini, hivyo kufuzu kwa hatua ya makundi

    Huu ndio utabiri wangu kwa Yanga watapocheza na Al Hilal ya Sudan nyumbani na ugenini. Kwa upande wa sare, uwezekano mkubwa ni sare ya moja moja au mbili mbili na si zaidi ya hapo Tofauti na hapo, ni ushindi wa tatu kwa mbili nyumbani na sare ya mbili mbili ugenini. Msisime sikuwaambia.
  10. Jackbauer

    Yanga inapoingia kipindi cha pili ni hatari mno!!!!!

    Miaka nenda miaka rudi Yanga ni timu hatari imapoingia kipindi cha pili.
  11. N

    Tanzania ni nchi ya pili kwa kuuza mafuta bei Rahisi

    Tanzania ni ya pili kwa unafuu wa bei ya mafuta Afrika Mashariki, ahueni iliyotokana na ruzuku, TZS bilioni 100, inayotolewa kila mwezi Na Mhe. Rais Samia Suluhu. Kushuka kwa bei ya mafuta kunapelekea kushuka kwa gharama nyingine za maisha. Rais Samia Suluhu alisema lengo lake sio kuwadidimiza...
  12. Roving Journalist

    Bunge la 12: Mkutano wa 8 kikao cha pili, Septemba 14, 2022

    TUME YA KUCHUNGUZA MAUAJI YAKAMILISHA KAZI YAKABIDHI MAJIBU SERIKALINI Tume iliyoundwa kuchunguza ongezeko la mauaji Nchini na kutoa mapendekezo imekamilisha kazi na imewasilisha majibu Serikalini. Imeelezwa majibu yanafanyiwa kazi na kukiwa na umuhimu wa kufikisha kwa Wananchi Serikali...
  13. KakaKiiza

    Watanzania tumeshuhudia kwa mara ya pili Urais ukipingwa Mahakani kwa majirani zetu Kenya. Je, ni mfumo unaotufaa?

    Watanzania tumeshuhudia kwa mara ya pili Urais ukipingwa Mahakani kwa majirani zetu Kenya. je ni mfumo unaotufaa Tanzania? Je ,Tanzania inatupasa kuwa na mfumo kama wa majirani zetu? au sisi twende mbele kabisa,kuwepo na chombo kingine zaidi ya Suprime court,?ambacho kinaweza kutoa maamzi...
  14. adriz

    Wiki ya pili sasa siipati huduma ya Freebasic imeondolewa au?

    Moja kwa moja.. Nilizoea bando likikata kuingia Freebasic kupitia line yangu ya Halotel kucheki habari BBC na kuperuzi Jf lakini halo umebadilika sasa sio kwa kutumia app wala browser inagoma shida ni nini wakuu hii huduma bado ipo kweli ? #UziTayari
  15. 6 Pack

    Ndugu zangu huu ni ugonjwa au madhara tu ya pilipili?

    Vipi hali zenu wakuu, kuna tatizo limemtokea brother, so nimeona nije hapa nitafute ufumbuzi wa tatizo kwa wale wanaofahamu aina hii ya tatizo. Ipo hivi, brother wangu ni mlaji wa pili pili, japo sio ile ya ukali wa sana maana huwa anaogopa usipate huko baadae. Juzi aliporudi nyumban alikuta...
  16. Fund man

    Hatua gani za kufuata ili kuongeza mke(mke wa pili)?

    Habarini wana JF. Naomba msaada je, ni hatua gani za kufuata ili kuongeza mke(kuoa mke wa pili)? Hapa nazungumzia wale wasio waislam. Karibuni.
  17. JanguKamaJangu

    Man United yaipiga Southampton goli 1-0, ni ushindi wa pili mfululizo

    Manchester United imefanikiwa kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Southampton katika mchezo wa Premier League, leo Agosti 27, 2022 ukiwa ni ushindi wa pili mfululizo. Bruno Fernandez ndiye aliyefunga goli la Man United katika dakika ya 55. United ilipoteza mechi mbili za kwanza msimu huu kabla...
  18. Mystery

    Sakata la Tozo: Watawala wakisisitiza lazima zilipwe, wasikilize wananchi pia wanataka nini

    Naweza kuliita hili sakata la tozo kama kaa la moto! Wakati watawala wakijaribu kwa kila namna kutetea tozo hizo zilizoidhinishwa na waheshimiwa wabunge wetu, upande wa pili wa wananchi wanazipinga vikali tozo hizo na hata kudiriki kuziita kuwa ni "day robbery". Wakati huo huo wale...
  19. Gordian Anduru

    Aliyesema SIMBA inaanzia raundi ya pili akamatwa

  20. T

    Naomba kujuzwa Mshahara wa Mhandisi daraja la pili (engineer II) Wizara ya Ujenzi

    Anaefahamu Mshahara wa mhandisi daraja la pili (engineer ii) wizara ya ujenzi
Back
Top Bottom