pili

The arrector pili muscles, also knows as hair erector muscles, are small muscles attached to hair follicles in mammals. Contraction of these muscles causes the hairs to stand on end, known colloquially as goose bumps (piloerection).

View More On Wikipedia.org
  1. 6 Pack

    Mzee Omary Muhando Shangali, miaka 102, Shujaa aliepigana vita ya pili ya dunia na bado anadunda mtaani

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Kwa wale mliofatilia kipindi cha mashujaa wetu huko Dodoma, bila shaka mmemuona mzee huyu mwenye umri wa miaka 102, akiwa anadunda kwa ukakamavu wa hali ya juu tena kwa kujiamini. Mzee huyu...
  2. U

    Taarifa: Angel Kagame Binti wa Rais Kagame apata Mtoto wa pili

    Hongera sana kwa Rais Paul Kagame wa Rwanda Kupata Mjukuu wa pili Nimeambatanisha picha ya Mjukuu mkubwa wa Rais Kagame akimbeba kwa furaha mdogowe Angel ndiye Binti pekee wa Rais Kagame President Paul Kagame on Wednesday announced the birth of his second grandchild, born to Ange I. Kagame...
  3. T

    Mshahara wa mhandisi II (civil daraja la pili) wizara ya ujenzi na uchukuzi ni shillingi ngapi kwa anae fahamu

    Kwa anaefahamu mshahara wa mhandisi II civil wizara ya ujenzi na uchukuzi anisaidie hapa. Nashukuru
  4. MK254

    Rwanda kuwa ya pili EAC kurusha satellite baada ya Kenya

    Afrika panazidi kukucha, Rwanda imeamua kuondoa upweke ambao huikumba Kenya kwenye kilele cha haya mavitu ya kutumia ubongo. Rwanda will join the list of African countries that have successfully orbited satellites, including Algeria, Ethiopia, Kenya, Zimbabwe, South Africa, Morocco, Egypt...
  5. S

    Hivi ni kweli sikukuu za wenzetu Waislamu siku karibu zote huangukia siku ya pili ya matarajio au huwa kuna namna?

    Habari Wakuu! Kwa muda mrefu sasa, nime-observe hii trend ambapo sikukuu za hawa wenzetu mara nyingi(kama sio karibu mara zote) zimekuwa zikiangukia siku ya pili ya matarajio. Swali ni je, hii trend imekuwa ni hivi hivi hata kwa siku za nyuma au ni siku hizi tu? Je, BAKWATA huwa wako sahihi...
  6. B

    Siku ya pili ya ziara ya Mwenezi Shaka Hamdu Shaka katika vyombo vya habari

    SIKU YA PILI YA ZIARA YA MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KATIKA VYOMBO VYA HABARI. Leo Jumanne Julai 05, 2022, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka atatembelea katika Vyombo vya Habari mbalimbali kwa Kuanzia TBC, Raia Mwema na Mwanahalisi Online...
  7. JanguKamaJangu

    Sheikh Mkuu amuombea dua Waziri Mkuu aoe mke wa pili

    Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amemuombea dua Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aoe mke wa pili ilia pate utulivu zaidi katika mizunguko yake. Ameyasema hayo wakati Waziri Mkuu alipokuwa mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za...
  8. E

    Msaada wa eneo la kufanyia field kuanzia Oktoba - Machi

    Msaada wa eneo la kufanyia field nipo mwaka wa pili Mzumbe course ya ujasiliamali kuanzia kuanzia Oktoba - Machi.
  9. Satisfy

    Siri ya kupendelea kula pili pili kwa wingi

    Bila shaka pili pili ni moja wapo ya kiungo kwenye chakula. Siku moja nilipata mualiko wa familia kwenda kubadikishana mawazo. Sasa adi kuandika huu uzi, yaliyo nikuta ni kwenye upande wa chakula yaan kilikuwa kimeshamili pili pili kupita maelezo adi nilishidwa kula . Lakin familila nzima adi...
  10. Bwana Mkubwa9

    Hiroo Onoda: Askari wa Kijapan aliyeendelea kupigana WW2 kwa miaka 29 baada ya vita kuisha

    Wakati mwaka 1944 ukiwa unaelekea tamati, hii ni baada ya miaka zaidi ya saba ya vita, mambo yalikuwa yanaiendea kombo Japan.⁣⁣⁣ Uchumi wake ulikuwa umeharibika vibaya, jeshi lake lilikuwa limetapakaa karibia kila kona ya Asia bila kuwa na mfumo thabiti wa kimawasiliano na mipaka iliyokuwa...
  11. Vsanja

    Naombeni kujuzwa taarifa za wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha 5 au chuo Awamu ya pili 2022/2023

    Habari zenu wakuu,, naombeni mnisaidie kama ipo tayari PDF ya wanafunzi waliochaguliwa kidato cha 5 au chuo kwa awamu ya pili
  12. GENTAMYCINE

    Acheni Kutudanganya ukweli ni kwamba Beki Inonga kasema mkimuacha Mkongo Mwenzake huyo nae anasepa zake upande wa Pili

    SIMBA SC KUMBAKIZA MUGALU Habari kutoka ndani ya Simba zinasema Majeraha aliyoyapata msimu huu Chris Mugaluni moja ya sababu inayopelekea uongozi wa klabu hiyo kutomuacha. Msimu huu hakuonyesha makali tofauti msimu uliopita Mugalu alimaliza na mabao 15 katika mechi 19 Chanzo: SportsArenaTz...
  13. BigTall

    Sabaya afikishwa Mahakamani, Mawakili wake wasema Sabaya ni mgonjwa, yaahirishwa hadi Juni 20, 2022

    KESI ya uhujumu uchumi na rushwa inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne, itatajwa kwa mara ya pili leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi. Ole Sabaya na wenzake, ambao ni Sylvester Nyegu, John Aweyo, Nathan Msuya na Antoro Assey...
  14. dirtyboy

    Je inawezekana mtu aliye ishia kidato cha pili na kufaulu kujiunga na QT

    Habari za wakati huu wana JF. Kuna bwana mdogo mmoja alifanikiwa kusomo hadi form four lakini kabla ya kusajiliwa kufanya mtihani wa mwisho akapatikana na kesi iliyo mpelekea kufukuzwa shule 2019. Kwa sasa anatamani kufanya mtihan wa form four ili aweze kufata ndoto zake. Swali ni je, anaweza...
  15. Sky Eclat

    Mnaonunua viwanja kama uwezo upo nunua kiwanja kinachotosha nyumba ya pili ndogo

    Ramani hii ni kwa nyumba ya pili ndogo. Nyumba ya pili ndogo ni msaada mkubwa, unaweza kuweka wapangaji wakakupa hela ya mboga, au watoto wakikutembelea na familia zao unaweza kuwaacha wapate sehemu ya kujinafasi. Hii ramani ni nzuri kwa nyumba ya shamba pia. Usijali kuhusu maji, unaweza...
  16. Suley2019

    Ghana: Timu ya AshantiGold FC imeshushwa mpaka ligi daraja la pili kwa kuhusika na upangaji wa matokeo

    Timu ya Ashantigold SC imepigwa faini na kushuka hadi Ligi Daraja la Pili baada ya kupatikana na hatia ya kupanga matokeo katika mechi ya Ligi Kuu ya Ghana 2020-21 dhidi ya Inter Allies FC. Klabu hiyo imekutwa na hatia kutoka kwa kamati ya nidhamu inayoongozwa na mwenyekiti Osei Kwadwo Adow...
  17. Exorcist

    Kweli penye nia pana njia, ni wiki ya pili sasa sijanunua kahaba

    Kwakweli siamini kama wiki ya pili hii inakatika eti sijanunua malaya kabisa, si mtandaoni wala sio Sinza, naona kwangu ni mafanikio makubwa sana katika safari yangu ya kuushinda huu Uraibu. Kwa sasa najitajihidi kujiburudisha kwa muziki au bia au vyote kwa pamoja, ila malaya hapana, huo ndio...
  18. Suzy Elias

    Napendekeza Kisukuma iwe lugha ya pili ya Taifa la Tanzania

    Mhola sana waungwana! Kiasili,kabila la Wasukuma ni wenyeji wa huko Kanda ya Ziwa namaanisha Shinyanga,Mwanza,Geita,Simiyu na Tabora. Lakini, kwa sasa Wasukuma wameenea hata Mikoa mingine ya Tanzania hasa Mkoa wa Morogoro, Mara,Kagera,Kigoma,Lindi,Singida,Dodoma,Mbeya na Pwani. Baadhi ya...
  19. britanicca

    Meli ya pili ya Urusi inaungua moto, Admiral Grigorovich (Navy) wanaendelea kuokoa

    Meli ya Urusi maarufu Kama Admiral Grigorovich ya Wanamaji inaungua karibu na kisiwa cha Zmiiny katika Black sea , ndege za uokoaji za Urusi zinaendelea na juhudi za kuzima moto The Admiral Grigorovich class, ambayo pia ujulikana Kama Krivak IV class, Russian designation Project 11356R/М...
  20. M

    Wakristo tukubalini tu kibao kimetugeukia tulikuwa tunawacheka sana ndugu zetu upande wa pili.

    Mzuka wanajamvi! Wagalatia wenzangu kibao kimetugeukia. Wakati baadhi ya waumini wa madhehebu ya Shia na suni walivyokuwa wanachinjana tuliwadhihaki sana ndugu zetu Kobaaz humu jamvin. Licha ya wao kujaribu kutuelimisha imani yao hairuhusu umwagaji damu ugaidi na kadhalika hatukusikia. Sasa ni...
Back
Top Bottom