Unapoweka Lengo au unapolielekea Lengo Ulilojiwekea na Ukaona Kuna Vikwazo Vingi Katika Kulifikia au Kulielekea Lengo Hilo Kamwe Usibadili Lengo Lako.
Jambo Muhimu Ni Kubadili Njia , Mkakati au Mbinu za Kulifikia Au Kulielekea Lengo Hilo .
NUNUA VIWANJA NA TRUST SOLUTION COMPANY LTD.
TRUST...
Wakuu,
Niliandika hapa Novemba 2020 (ref Natafuta Kiwanja cha kujenga jijini Dar. Nina Sh. Milioni 40 ) nikitafuta kiwanja na wakati huo nilikuwa na 40m tu. Viwanja vingi nilivyopelekwa ilibidi nirudi kujipinda nitafute pesa zaidi ili nipate kiwanja ninachotaka hasa. Kwa sasa bajeti yangu ni...
Kiwanja kinauzwa haraka Singida kipo maeneo ya uwanja wa ndege. Ni flat hakihitaji levelling. Bei rahisi 4m tu. Vile vile, kuna viwanja vya size mbalimbali vinauzwa eneo la Mwaja, SIngida. Kwa mawasiliano zaidi piga 0787-851
Beach plot inauzwa Nunge Beach Bagamoyo Mjini. Nunge Beach ni maeneo ya ilipokuwa Paradise Hotel and Resort. Ni eneo linalofaa kujenga Hotel za kitalii. Size ya kiwanja ni 11 acres. Bei ni $2M. Serious customers wawasiliane nami kupitia 0687320462.
Wakuu,
Natafuta eneno ambalo ni mita chache toka ufukweni. Sehemu ambayo nitaweza kujenga nyumba ya makazi.
Budget yangu ni kati ya Milioni 12 mpaka milioni 30. Hii itategemea na sehemu.
Unaweza nicheki inbox kama una eneno na upo serious kuuza.
Nitalipa pesa kwa mkupuo pindi tutapo fanya...
Mbwewe barabara ya Tanga kabla ya kufika mkata
Mashamba kilomita
Kilomita 1 Kutoka barabara kuu ya lami : 250,000 kwa heka
Kilomita 3 Kutoka barabara kuu ya lami : 200,000 kwa heka
Kilomita 10 Kutoka barabara kuu ya lami : 100,000 kwa heka
MUHIMU : Unaweza kupata Kuanzia acre 10
Mpaka acre 500...
Kiwanja chenye nyumba na frem za maduka kinauzwa Igoma Jijini Mwanza
Details
Size: hatua 60 kwa 40 (hatua za miguu za mtu mzima)
Huduma zote za kijamii zipo wakuu wangu.
Eneo lilishaendelea zamani tu ndio maana bei imechangamka.!!
Bei: 75 million.
Piga simu 0683011003
JINSI YA KUFIKA...
apartment
bagamoyo
bei
biashara
eneo
fuso
gari
heka
inauzwa
ist
kawawa
kibamba
kibiashara
kilimanjaro
kinauzwa
kiwanja
kiwanja kinauzwa
kuagiza
kuagiza gari
madale
magari
mbezi
mbezi beach
mkopo
n.k
nauza
nyumba
nyumba kali
nyumba ya kupangisha
plot
shamba
subaru
toyota
uwekezaji
viwanja
yanauzwa
zinauzwa
Hello there....👋👋
Hua napenda nikikutana na series au muvi nzuri nishee nanyi “wakulungwa” wapenda motion pictures maana sharing is caring, I scare because I care.
Hua napenda series na muvi ambazo ukitazama unakua unakuna kichwa kuielewa, muvi zenye plot twisting na brain storming. Baadhi ya...
Beach plot for sale Bagamoyo
Viwanja vipo eka 3 na lina hati miliki kila eka moja bei yake 120million maongezi yapo.
[emoji1428] eka moja tsh: 120million maongezi yapo
[emoji3591]viwanja vinagusa maji kabisa
[emoji3513]0712943877=0789076089 kalibuni sana
Beach Plot No 1 kina Sqm 1,808 kinauzwa Tshs 100,000,000/ ila Hati bado inabidi kilipiwe kiasi na Hati ikitoka zinamaliziwa.
Beach Plot No 2 kina 1,323 sqm kinauzwa Tshs 95'000'000/ kina Hati.
contacts 0787069996 and 0717454455
Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga.
Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje.
Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji.
Nauza 1,000,000 Kwa Heka 1.
DIRECTION YA SHAMBA LILIPO
Ukiwa...
bagamoyo
beach
bei
eneo
hasara
hoteli
inauzwa
karibu
kigamboni
kinauzwa
kiwanja
kubwa
kununua
mafuta
makazi
miti
mji
nauza
nyumba
pesa
plot
shamba
ujenzi
umri
uwekezaji
viwanja
wekeza
Kiwanja kizuri kinauzwa Mwongozo, Kigamboni karibu na nyumba za NSSF na NHC.
PLOT DETAILS
Plot no: 336, kinayo hati ya miaka 99 (attached)
Location: Mwongozo, Kigamboni; Karibu na nymba za NSSF na NHC; Kiwanja kimezungukwa na barabara pande zote, kinafaa kwa matumizi ya biashara kama ujenzi...
KIWANJA SAFI KABISA NAUZA
.
PRICE MILION NANE (8)
.
LOCATION KIVULE CCM ILALA (DSM)
.
UKUBWA sqm 500
.
MAWASILIANO 0764519006
.
HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO KARIBU NA KIWANJA,
.KIWANJA KIPO KARIBU NA SHULE YA SEKONDARY KIVULE,KANANURA HIGH SCHOOL,ABOOD JUMAA SECONDARY,KITUO CHA POLISI...
#KWA UKWELI HUU,WAKAZI WA DUNIA LAZIMA TUUNGANE KUPINGA CHANJO YA COVID-19 KWA NGUVU ZETU ZOTE.
Here’s the main reason why the NWO
globalist cabal is dead set on mandating
a universal COVID-19 vaccination program:
No, it has nothing to do with vaccine-induced immunity
being the only way to...
GOBA-KULANGWA
Plots zinauzwa zipo kwenye good location ndani ya Goba Kulangwa.
size of plots A
1.sqm 400- 26m (negotiable)
2.sqm 400 again ikiwa na nyumba ndogo-27m (negotiable)
3.sqm 700_30m (negotiable)
-Hati inatolewa kwa jina lako ila vyote vimepimwa
-MAJI yapo
-UMEME upo
size of plots...
Kimepimwa (surveyed)
400 meters kutoka baharini
3 kilometers kutoka Dege Eco Village
Barabara nzuri inapitika muda wote
Kumeendelea (kumejengeka)
Kiwanja square meters 574
Bei ni Tshs 9,000,000 (9 millions Tsh mazungumzo yapo)
Mawasiliano: +255714908121
KIWANJA KINAUZWA
KINANYUMBA NDOGO PEMBENI VYUMBA VIWILI
MAHALI
SOWETO MOSHI
UKUBWA
SQM10" 000
KINA DOCS ZOTE HALALI ZA WIZARA
BEI
MILIONI 65
CONT 0713458722/ 0688552275
BEI 55 MIL
PLOT 23*20
+Unfinished house
Ina VYUMBA VINNE
KIMOJA N MASTER BED ROOM
DINING NA SITING ROOM KUBWA
CHOO NA STORE NA JIKO KUBWA
MBWENI MASITE
HAKINA UDALALI
MADALALI.MNAKARIBISHWA WASILIANA NA HUYU SOJA
+255713458722/0688502275
Eneo liko Msalato almaarufu kwa mwinyi (Arusha Road) kunakojengwa Dodoma International Airport. Eneo liko barabarani linapakana na hotel ya kitalii ya FANTANCY.....lina ukubwa wa ekari 3.77, Eneo limepimwa na limeingizwa kama lilivyo kwenye master plan ya jiji la Dodoma kama ilivyo onekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.