Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma lingependa kutoa taarifa ya mwendelezo wa uchunguzi wa kifo cha Suezi Dani Maradufu kilichotokea Julai 1, 2026 katika nyumba ya kulala wageni Ntahamba mkoani Kigoma.
Leo Julai 3, 2026 mwili wa marehemu umefanyiwa uchunguzi wa kisayansi na madaktari bingwa kutoka...
Leo Julai 1, 2026 majira ya saa 10:00 asubuhi, Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limepokea taarifa kutoka kwa Ndugu Mrimi Zabron Mwita, mkazi wa Sirari na Katibu wa Mheshimiwa John Heche, kuwa walikwenda kwenye nyumba ya kulala wageni inayojulikana kwa jina la Ntahamba kwa lengo la kumwamsha...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limethibitisha linafanya uchunguzi juu ya tuhuma zinazowahusisha baadhi ya viongozi wa kisiasa wanaodaiwa kupita mitaani katika Jimbo la Kigoma Kaskazini na kuwalaghai wananchi kukusanya na kuandika namba za vitambulisho vya kupigia kura katika maeneo mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.