polisi kigoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Polisi Kigoma: Kifo cha Dereva wa Heche Suezi Maradufu, sampuli zimechukuliwa kwa ajili ya uchunguzi zaidi wa kisayansi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma lingependa kutoa taarifa ya mwendelezo wa uchunguzi wa kifo cha Suezi Dani Maradufu kilichotokea Julai 1, 2026 katika nyumba ya kulala wageni Ntahamba mkoani Kigoma. Leo Julai 3, 2026 mwili wa marehemu umefanyiwa uchunguzi wa kisayansi na madaktari bingwa kutoka...
  2. JamiiForums Tanzania Polisi Kigoma: Tumekuta vidonge kwenye chumba cha dereva wa John Heche.Uchunguzi unaendelea zaidi

    Leo Julai 1, 2026 majira ya saa 10:00 asubuhi, Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limepokea taarifa kutoka kwa Ndugu Mrimi Zabron Mwita, mkazi wa Sirari na Katibu wa Mheshimiwa John Heche, kuwa walikwenda kwenye nyumba ya kulala wageni inayojulikana kwa jina la Ntahamba kwa lengo la kumwamsha...
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi Kigoma kufanya uchunguzi tuhuma za vitambulisho vya kupiga kura kukusanywa na baadhi ya viongozi wa siasa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limethibitisha linafanya uchunguzi juu ya tuhuma zinazowahusisha baadhi ya viongozi wa kisiasa wanaodaiwa kupita mitaani katika Jimbo la Kigoma Kaskazini na kuwalaghai wananchi kukusanya na kuandika namba za vitambulisho vya kupigia kura katika maeneo mbalimbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…