polisi

  1. JanguKamaJangu

    Askari wanne wafukuzwa kazi kwa kufuta picha za kwenye kamera ya mwendokasi

    Mtakumbuka Mei 30,2024, Jeshi la Polisi lilitoa taarifa ya kushikiliwa Askari Polisi wanne (4) kwa ajili ya uchunguzi. Askari hao walikuwa wanafanya kazi kitengo cha usalama barabarani Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro. Baada ya uchunguzi kukamilika ilibainika kuwa, askari hao walikuwa...
  2. Replica

    Mmachinga: Polisi leo hawajatupiga pamoja na watu kufanya maandamano

    “Tumeosha magari ya Polisi leo kwa maana wamekuja kuzuia vurugu bila kutumia nguvu yaani hakuna hata aliempiga mtu kofi kwahiyo tunalipongeza Jeshi la Polisi kwa kutuliza ghasia bila kutumia nguvu yeyote” Victor Jushua, Mfanyabiashara Simu 2000 akiongea baada ya sakata la wamachinga kugoma leo...
  3. hermanthegreat

    Kwanini kituo cha polisi cha Oysterbay? Natilia shaka matumizi ya kituo hicho

    Kituo cha polisi cha Oysterbay tofauti na vituo vingine mara chache sana kimekuwa kikitoa kesi za vibaka , uhalifu nk. Lakini kila aliyetekwa na kupotezwa amepita kituoni hapo either kwa siri au kwa uwazi. Sio story ya Sativa tu kuna story nyingine nyingi za watu kutekwa na kuonekana nje ya...
  4. Roving Journalist

    CP Awadhi awakabidhi Askari wa Kike bendera kwenda Abuja Nigeria

    Kamishna wa Operesheni na mafunzo wa Jeshi la Polisi Nchini CP Awadhi Juma Haji amewakabidhi askari wa kike wa Jeshi la Polisi Bendera ya Taifa kwa ajili ya kuondoka nchini kwenda Nigeria kushiriki mafunzo ya askari wa kike Ukanda wa Afrika yanatarajiwa kufanyika Abuja Nchini humo kuanzia Julai...
  5. B

    Hivi kwa hali ilivyo Kenya bado wana mpango wa kuwapeleka Polisi wa Haiti?

    Eti wadau, kama ndani tu moto wa vurugu umewaka na wanapata shida kuuzima, watauweza ule moto wa wale wahuni wa Haiti kweli?!
  6. Roving Journalist

    CP Suzan Kaganda: Wasimamieni Askari wasitumie lugha zisizofaa, Jamii inalalamika

    Kamishna wa Utawala na Rasilimali Watu Jeshi la Polisi, CP, Suzan Kaganda amewataka Makamanda wa Polisi wa Usalama Barabarani wa Wilaya nchini (DTOs) kusimamia majukumu yao ipasavyo wakati wa kujaza fomu ya taarifa ya ajali za barabarani. CP. Kaganda ametoa maelekezo hayo Jijini Arusha Juni 21...
  7. Rocky City

    KERO Askari wa kituo cha Dumila Morogoro wamulikwe.

    Mkuu wa police Tanzania,hawa askari wako wa kituo cha police Dumila,Morogoro weredi wa kazi umekuwa jiwe kwao. Kwanza Dumila ni sehemu ambayo askari wake rushwa imetawala sana,dumila ni mji wenye wizi usio na mfano,bangi inavutwa hadharani tu. Achilia mbali matukio hayo,sehemu ya njia tatu...
Back
Top Bottom