Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema limefuatilia kwa kina taarifa zilizosambazwa leo July 22, 2024 kwenye mitandao ya kijamii na kuzua taharuki na hofu kwa Wananchi eneo la Mburahati zinazodai kuwa Watoto wawili wa Shule ya Msingi Brayson iliyopo Mburahati Wilaya ya Ubungo...
Jeshi la Polisi Tanzania Nchini limesema kuwa Kila mwaka huadhimisha Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani huku likipiga marufuku kwa mtu yoyote kupokea ama kutoa fedha taslim wakati wa Ukaguzi wa vyombo vya moto.
Akitoa taarifa hiyo leo Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna wa Polisi...
Ndugu zangu Watanzania,
Moyo wangu unaumia sana,unasononeka sana ,una uchungu sana ,una vuja machozi ya hasira kuona,kutizama,kusoma Mdude Nyagali akitumia lugha chafu kumdhalilisha Rais wetu.Kwanini jeshi la polisi Mnamuacha na kumtizama Mtu huyu akiendelea kumdhalilisha Rais wetu kiasi hiki...
Polisi kama huyu anaonyesha uwajibikaji wake kulinda amani na kusaidia pale jambo linapo wezekana.
kumsaidia kusomesha mtoto ni jambo zuri
https://www.youtube.com/watch?v=jyoBjJv64fs
Mwanahabari wa kampuni ya MediaMax inayomiliki K24 na Milele FM, Catherine Wanjeri Kariuki, ameruhusiwa kuondoka hospitali leo baada ya kufanyiwa upasuaji kwenye mguu wake uliopigwa risasi kwenye maandamano ya #RutoMustGo jijini Nakuru.
Catherine ambaye alikuwa kazini akiripoti mubashara...
Jeshi la Polisi limemepiga marufuku maandamano yanayotarajiwa kufanywa na Gen Z leo katikati ya jiji la Nairobi.
Kipeperushi kilichosambazwa na vijana wameonesha kunuia kufanya maandamano makubwa zaidi leo na wakiwa wamepania kuelekea Ikulu.
Polisi imetoa onyo kali na huenda nguvu kubwa...
Maafisa wa Polisi nchini Kenya wameingia katika mitaa mbalimbali ili kukabiliana na mamia ya waandamanaji katikati mwa jiji la Nairobi.
Waandamanaji hao wamedai lengo la maandamano hayo ni kutaka mageuzi yafanyike katika mfumo wa usimamizi wa rasilimali za umma, na haki kwa wenzao waliouawa...
Kaimu mkuu wa polisi nchini Kenya Douglas Kanja amewahamisha maafisa wote wa kituo cha Kuare kiliko mita chache kutoka machimbo ya mawe ambako maiti zi;likutwa zimetupwa, ili kuruhusu uchunguzi huru kufanyika.
"Ili kuhakikisha uchunguzi wa haki na usio na upendeleo, nimewahamisha maafisa hao...
"Nawapongeza jeshi la , polisi wanatekeleza mapendekezo ya tume, lakini wanatekeleza maelekezo yangu na kama mnavyoona pilikapilika za kisiasa zinaendelea, nchi imetulia kabisa. Polisi hongereni san sana sana... by Rais Samia
Maelekezo gani?
My take: Polisi wanashukiwa kutekeleza utekaji...
HABARI PICHA:
Matukio mbalimbali wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Jengo la Ofisi la Jeshi la Polisi Mkoani Katavi.
Jengo hilo litakuwa linatumiwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi pamoja watendaji wake wote walio chini yake ndani ya Mkoa...
azindua
jengo
jeshi
jeshi la polisi
katavi
kisasa
mkoa
mkoa wa katavi
ofisi
polisi
rais
rais samia
rais samia suluhu
rais samia suluhu hassan
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na mamlaka zingine za kisheria tunaendelea kufuatilia kwa karibu matukio ya ubakaji na kulawiti kwa watoto wadogo ambapo tangu mwezi Machi mpaka Julai Jeshi la Polisi limepokea taarifa nne kutoka kwa wazazi wa Mbagala na Temeke...
Mwaka 1998 nakumbuka nilikuwa nipo maeneo ya Kijitonyama mida ya saa 4 asubuhi hivi siku ya Ijumaa kama nitakuwa nakosea na ndio mara yangu ya kwanza kusikia bomu likilindima mpaka kutingisha ardhi.
Tuja kaa vizuri redio na tv zinaanza kutangazia umma kuwa kuna shambulio limetokea ubalozini mwa...
Nisikuchoshe usinichoshe..! Wasalaam.
Mimi ni mkazi wa maeneo ya Buza ambaye katika harakati zangu kila siku usafiri wangu ni daladala kutoka Buza kwenda mjini kujitafutia mkate wa kila siku
Kero zetu kubwa huku ni usafiri na inayotunyemelea ni ya barabara kuharibika pasipo marekebisho tangu...
Mtakumbuka Mei 30,2024, Jeshi la Polisi lilitoa taarifa ya kushikiliwa Askari Polisi wanne (4) kwa ajili ya uchunguzi. Askari hao walikuwa wanafanya kazi kitengo cha usalama barabarani Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro.
Baada ya uchunguzi kukamilika ilibainika kuwa, askari hao walikuwa...
“Tumeosha magari ya Polisi leo kwa maana wamekuja kuzuia vurugu bila kutumia nguvu yaani hakuna hata aliempiga mtu kofi kwahiyo tunalipongeza Jeshi la Polisi kwa kutuliza ghasia bila kutumia nguvu yeyote”
Victor Jushua, Mfanyabiashara Simu 2000 akiongea baada ya sakata la wamachinga kugoma leo...
Kituo cha polisi cha Oysterbay tofauti na vituo vingine mara chache sana kimekuwa kikitoa kesi za vibaka , uhalifu nk.
Lakini kila aliyetekwa na kupotezwa amepita kituoni hapo either kwa siri au kwa uwazi.
Sio story ya Sativa tu kuna story nyingine nyingi za watu kutekwa na kuonekana nje ya...
Kamishna wa Operesheni na mafunzo wa Jeshi la Polisi Nchini CP Awadhi Juma Haji amewakabidhi askari wa kike wa Jeshi la Polisi Bendera ya Taifa kwa ajili ya kuondoka nchini kwenda Nigeria kushiriki mafunzo ya askari wa kike Ukanda wa Afrika yanatarajiwa kufanyika Abuja Nchini humo kuanzia Julai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.