https://www.youtube.com/live/Lw1Orezvek4
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), John Mrema amedai kuwa mchakato wa kuwakamata Wanachana na Viongozi wa Chama hicho unaendelea.
Akizungumza na JamiiForums amesema “Hadi kufikia leo Asubuhi...
Jeshi la Polisi limekuwa likilaumiwa kuendesha baadhi ya oparasheni zake "kitekaji". Unakuta mtuhumiwa kakamatwa eneo fulani na kutokujulikana aliko kwa siku kadhaa.
Kama hiyo haitoshi, hata Polisi wanapoulizwa hukana kumshikilia mwathirika.
Mpaka sasa kuna tuhuma dhidi ya Jeshi la Polisi...
Baada ya Viongozi na wanachama wa CHADEMA kukamatwa na Jeshi la Polisi Agosti 11, 2024 walipokuwa wakielekea Jijini Mbeya kwenye kongamano la Vijana Duniani na kisha kuanza kuachiwa kuanzia 12 Agosti 2024 kwa kile polisi walichodai kuwa walitaka kuharibu amani ya nchi...
Naamini hawa Viongozi wa CHADEMA ni waumini, tena asilimia kubwa ni wakristo kwa nini Viongozi wa Dini wamekaa kimya au wanaona walichofanyiwa walistairi?
Mmoja wa maafisa wa ngazi za juu katika Jeshi la Polisi la Tanzania sasa yupo katika spotlight kwa madai ya kuongoza ukatili wa Polisi dhidi ya Wanachama wa upinzani.
Kamishna wa Polisi Awadhi Juma Haji, ambaye anasimamia operesheni na mafunzo, amepata umaarufu wa umma kufuatia tuhuma za...
Viongozi wa CHADEMA ifkike mahala mkubali kuwa hawa watu so rafiki kwenui kwa vitendo wanaowafanyia, hivyo ni busara kuacha kabisa kwasemea ikiwemo kutetea masilahi ya Polisi wa nchi hii kama ambavyo mmekuwa mkifanya Bungeni na kwenye mikutano ya hadhara.
Acheni kabisa kuongelea hali za makazi...
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limethibitisha kuwashikilia na kuwahoji viongozi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wapatao 520 na kuwaachia huru baadhi yao kwa dhamana.
Pia limesema ambao hawakuachiwa ni wale walioshindwa kukidhi masharti ya dhamana au kuwa na makosa zaidi...
act wazalendo
ccm
chadema
freedom of speech
freeman mbowe
jeshi
jeshi la polisi
kuelekea 2025
mbowe aachiwa
polisi
salama
siasa tanzania
uhuru wa kuandamana
uhuru wa maoni
wanachadema
Jeshi la Polisi linapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusiana na kuwepo kwa mipango ya viongozi wa chama cha siasa nchini [CHADEMA] kuhamasisha vijana kote nchini kukusanyika Mkoa wa Mbeya Agosti 12, 2024 kwa lengo la kufanya maandamano na mikusanyiko kwa mwamvuli wa maadhimisho ya siku ya vijana...
bavicha
bavicha mbeya
ccm
chadema
hii
jeshi
jeshi la polisi
kongamano
kongamano la vijana
maagizo
majukumu
marufuku
nchi
police
polisi
sheria
siku ya vijana
uongozi
uongozi wa juu
vijana
Serikali imesema itaupatia Mji mdogo wa Katoro Mkoa wa Geita Wilaya ya Kipolisi na kuujengea Kituo kipya cha Polisi chenye hadhi ya Wilaya ili kuimarisha Ulinzi na Usalama wa raia na mali zao.
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo wakati wa ziara ya Katibu...
Wale wale waliokuwa wanashangilia mapendekezo ya tume ndiyo hao hao hawajatekelezi na wengine kuagiza kuvunjwa kwa sheria hizo hizo. Yaani Polisi ya sasa inavunja sheria kuliko hata Polisi ya kabla ya tume. Sasa faida ya hizi tume ni nini! Au Tuwe na tume maalumu kwa vyama na makundi na sio kwa...
Jeshi la polisi limesema baadhi ya wanachama wa Chadema wanashikiliwa kwa makosa ya jinai! Watanzania tujiulize hivi wizi, mauaji na ukabaji ni vitendo vinavyofanywa na wanachama wa Chadema tu? Ni wazi mtindo huu umeanzishwa na jeshi hilo kuwatisha wananchi wasijiunge na Chadema kwa kuhofia...
Kuna vitu vinafikirisha na kuzaa maswali yaliyokosa majibu kwa haya yanayoendelea hapa nchini kwa sasa yakihusisha kupotea ovyo kwa watu, kamata kamata ya wapinzani, wanaharakati na waandishi wa habari.
Taifa linalazimishwa kwa nguvu kubwa mnoo kuingizwa kwenye taharuki isiyo ya lazima. Vyombo...
Hata sina haja ya kujieleza, Dr Nchimbi ametufumbua macho kwamba Intelijensia ya Chama chake ndiyo iliyoelekeza kwamba Mbeya hapakaliki na kusababisha kukamatwa viongozi wa CHADEMA kinyume cha sheria.
Mfano mzuri nini kilichosababisha Mbowe akamatwe uwanja wa Ndege kama watangulizi wake...
Nimenukuu barua ya Polisi ya tarehe 11/ 08/ 2024
Hata mbuyu ulianza kama mchicha. Twaha Mwaipaya anataka GEN Z ya Tanzania iigize yaliyotokea Kenya. Kongole Tanpol kwa hatua mliyochukua.
Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa, halijapiga marufuku kufanya mikutano ya nje ya hadhara na ile ya ndani ili mradi inafuata matakwa ya sheria za nchi.
Pia soma: Uzi Maalum wa Matukio ya Kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kilicho pigwa marufuku ni mkusanyiko uliokuwa umeitishwa...
Soma Pia:
Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege Songwe
Barua inajieleza, niliwaambia ACT-WAZALENDO msione mpo salama sana sasa kazi imeanza. Lengo msusie uchaguzi wa Serikali za mitaa na polisi ndiyo wameanza kazi rasmi, kilichotokea 2020 sahivi kitakua zaidi na Polisi ndiyo watatumika.
hongera sana Jeshi letu imara sana la polisi. mmefanya kazi nzuri sana iliyotukuka kwa niaba ya wananchi, na waTanzania wote kwa ujumla.
teknologia, intelijensia na weledi mliotumia kuyabaini, kuyashughulikia na kuyadhibiti magenge ya kihalifu yanayo panga na kukusudia kuvuruga amani na utulivu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.