Nakumbuka Kwenye ule mwaka wa mwanzoni ya 2000, aliyekuwa IGP wa wakati ule, Omari Mahita, alijitokeza mbele ya waandishi wa habari na kudai kuwa wamekamata "container" lenye visu vya chama Cha CUF, ambavyo vimepakwa rangi za bendera ya Chama Chao, ambazo alidai kuwa chama hicho Cha CUF...
Salaam, shalom!!
Hali ya USALAMA wa raia imekuwa Tete, na mamlaka husika hazitoi ushirikiano wa kutosha juu ya suala hili.
Na Kwa kuwa wananchi ambao ndio Hasa waajiri wa vyombo vyote vya ulinzi wa USALAMA, tunao uwezo wa kujilinda na kurekebisha utata huu.
Ushauri: Gari zote ziondolewe...
Polisi wamekuja na mkakati mpya wa ajabu na wa kujivua nguo kuonesha kushindwa kwao kufanya jukumu lao la kikatiba na kisheria la KULINDA USALAMA WA RAIA NA MALI ZAO.
Sasa wanatafuta namna ya kutoka ktk aibu na fedheha waliyojibebesha wao wenyewe kwa kukubali kurubuniwa kwa kununuliwa na...
Wanasheria wa CHADEMA wafungue kesi ya madai (defamation case) mahakamani.
1. Wahoji huo mkutano uliofanyika kwa njia ya mtandao (zoom) ulifanyika lini.
2. Polisi waonyeshe video clip ya mkutano huo.
3. Ni viongozi gani wa CHADEMA walihusika.
4. Hao Vijana 20 wanaoandaliwa kuvamia vituo vya...
TAARIFA KWA UMMA
Agosti 28, 2024 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ilitoa maamuzi yakekuhusiana na_ shauri lililowasilishwa mbele yake ambapo miongoni mwamaamuzi iliyotoa ni pamoja na kutoa amri kwa Jeshi la Polisi kufanya upelelezi kujua mahali walipo Viongozi wa Baraza la Vijana la CHADEMA...
Jeshi la Polisi nchini limezuia mikutano ya hadhara ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyopangwa kufanyika wilaya ya Ngorongoro, mkoani Arusha kuanzia Agosti 29.2024 hadi Septemba 15.2024, mikutano iliyotarajiwa kuongozwa na Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Gabriel Makala...
Bungeni umesikia kauli ya spika kuhusu hafahamu lolote wala hakuna utekaji kuwa hupo tanzania. hii kauli yake nayo inakuwa sawa na raisi kusema ni drama. huku jeshi la polisi matukio mengi ya utekaji wamekuwa wakikanusha au kupuuzia linapotokea.
Sasa matumbo joto huko wizara ya mambo ya ndani...
Kuna tatizo kubwa la weledi ndani ya Jeshi la Polisi.
POlisi wa nchi hii, bila shaka hawana weledi wa kutosha, na wala hawajishughulishi kujua sheria ili wafanye kazi zao kwa weledi. Lakini pia yawezekana wanajua sheria inataka nini ila kwa kiburi na kwa makusudi wanaamua kuikanyaga sheria kwa...
Katiba ya mafyatu inatoa haki na uhuru kwa kila fyatu kukutana na fyatu yeyote unayemtaka kutembea au kuandamana na unayemtaka, kwenda unakotaka, kusema unalotaka imradi usivunje sheria ya kaya ambayo nayo siyo maagizo au mapenzi ya ndata na wanaowatumia tena vibaya.
Unapozuiwa kufanya hayo...
Maamuzi ya Jaji Wilson Nyansobera yanasubiriwa kutolewa muda sio mrefu kutoka hapa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar Es Salaam juu ya shauri lililoletwa mahakamani na Deusdedith Soka, Jackob Godwin Mlay na Frank Mbise wakiwakilishwa na mawakili Peter Madeleka, Paul Kisabo na Deogratius...
It is unbelievable ngoma imechezeshwa na TRA na POLISI kuokoa jina la Mbunge Koka anaefanya biashara ya binadamu ambae yuko Chama Tawala.
Haya mambo CCM inayakumbatia sana kwa kufikiri wananchi hatuyajui na hatujui wahusika. Funny enough mpaka chombo chetu cha kodi nacho kinashiriki sasa...
Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Klabu Bingwa kwa Nchi za Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), Simba Queens wameshindwa kufua dafu mbele ya Kenya Police Bullets wakikubali kichapo cha mabao 3-2.
Pambano hilo la nusu fainali lililopigwa kwenye Uwanja wa Abebe Bikila nchini Ethiopia...
Jeshi la Polisi linawashikilia watu wawili waliosikika wakimhoji mtoto aliyejitambulisha kwa jina la Evaristo katika moja ya picha jongefu zilizosambaa katika mitandao ya kijamii.
Pia, Jeshi hilo limesema linamshikilia mtoto huyo na kuendelea na uchunguzi wa maelezo yaliyozungumzwa naye katika...
Gerald Ibrahim maarufu kama SERIKALI ni mkulima na mfanyabiashara pia ni mkazi wa Kijiji cha Mpeta, Wilaya ya Uvinza, Mkoani Kigoma.
Mwaka 2018 yalitokea mapigano baina ya wananchi na Jeshi la polisi wakati kuwaondoa wananchi katika ardhi ya Kijiji cha Mwanduhubandu, Mpeta Magharibi kiasi cha...
Mh. IGP shkamoo popote ulipo. Naomba nikujuze tu, kuna watu wamekufa ndani ya wiki hii na haijaandikwa kwa magazeti.
Wapo waliokatwa mapanga nayo haijaandikwa popote. Mh. IGP kutokea Rainbow mpaka Tanki Bovu hali si sawa baba yetu, watu wanauawa, wanakatwa mapanga sana.
Mbaya zaidi ni mita 30...
Salaam, shalom!!
Zamani tuliaminishwa kuwa wajeda ni wazalendo, wenye Maadili, wapenda Nchi, Na haikuwa Rahisi mjeda kuhongwa Ili kupotoa HAKI.
Sasa tukio la uswahilini hapo Nchi Jirani ,limerudi kutufikirisha upya kuwa, iweje mkuu wa police kukaa meza Moja na mjeda Kisha kumtuma KAZI chafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.