polisi

  1. Kikwava

    Leo akifufuka Ndugu Ally Mohammed Kibao, atakihama CHADEMA: Mnyika amechagua kikao badala aende akatoe maelezo Polisi ya kiuchunguzi

    Ni hali ambayo si yakawaida kwa hawa ndugu zetu chadema, Juzi hapa walikuwa wakiomba uchunguzi wa kifo Cha ndugu yetu Ally Mohammed Kibao uende haraka na Serikali yetu ikatekeleza Hilo. Cha ajabu leo hii Mnyika anaitwa Polisi ili akatoe maelezo ya kiuchunguzi Polisi anashindwa kwenda kutoa...
  2. Roving Journalist

    Mahakama yawarudisha Askari Polisi waliotimuliwa kazi

    Mahakama Kuu Tanzania imewarudisha kazini askari polisi watatu waliokuwa wakifanya kazi uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Kesi hiyo namba 9432 ya mwaka 2024 iliyokuwa mbele ya Jaji Mtembwa, Mahakama Kuu Tanzania masijala ndogo ya Dar es Salaam ambayo inahusisha maaskari...
  3. G

    Mwenye nguvu mpishe: Watu wa makundi haya hawagusiki kirahisi, wana nguvu kubwa sio wa kugombana nao utazama kwenye kina kirefu

    Wateule wa Rais - Wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa halmashauri, n.k. Watumishi wa vyombo vya ulinzi - Polisi, Jw, Usalama. Wahindi na Waarabu - $$$ (top 20 ya matajiri wanapokezana namba), Connections nzito, Exposure, umoja. Watu wao wa karibu - watoto, ndugu, wazazi, marafiki...
  4. Miss Natafuta

    Jaivah afungiwe na BASATA kwa kuimba matusi mengi

    Kuna huyu mwanamuziki anaitwa Jaivah. Nashauri BASATA wafungie kabisa nyimbo zake kwa sababu anaimba matusi mengi sana. Hii nchi sidhani kama tuko huru kiasi hicho, kwani tunapaswa kulinda maadili ya jamii.
  5. Roving Journalist

    Polisi Geita wachangia damu, kuadhimisha miaka 60

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo, wamechangia damu kwa ajili ya kuwasaidia wananchi pindi wanapopata Changamoto za uhitaji wa damu katika Wilaya ya Mbogwe Mkoa wa Geita. Kamishna Msaidizi wa Polisi ACPMagai Chassa amesema Jeshi la...
  6. Roving Journalist

    Polisi Arusha wachangia damu, wafanya matembezi kuadhimisha miaka 60 Jeshi hilo

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo, leo Septemba 13, 2024 wamechangia damu kwa wagonjwa wenye uhitaji na kufanya mazoezi ya kutembea katika Jiji la Arusha. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Debora...
  7. Tlaatlaah

    Mivutano na migawanyiko ndani ya Chadema, viongozi watofautiana kuhusu maandamano yao yaliyopigwa marufuku na Polisi

    Baadhi wanaona kwamba dhima na malengo ya maandamano hayo ni kinyume na katiba ya nchi, lakini ni kunajisi katiba yao na misingi ya chama cha demokrasia na Maendeleo Chadema, kwasababu Chadema haijaundwa kuwaondoa viongozi walioko madarakani kidemokrasia.. Hata namna maandamano hayo...
  8. Mystery

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete, alishawaonya CCM kuwa wasilitegemee Jeshi la Polisi kuwafanya wao waendelee kukaa madarakani

    Nakumbuka katika kikao Cha mkutano Mkuu wa CCM, iliofanyika jijini Dodoma mwaka 2012, Jakaya Kikwete, akiwa ni Mwenyekiti wa CCM wa Taifa na wakati huo huo akiwa ni Rais wa Tanzania wa awamu ya 4 aliwaonya vikali CCM kuwa wasilitegemee Jeshi la Polisi, kuwafanyia siasa na badala yake wapambane...
  9. GoldDhahabu

    Kuingia Polisi ni bure ila kutoka ni hela

    Huo usemi una ukweli kiasi gani kwa Jeshi letu la Polisi?
  10. Msanii

    DOKEZO Kilio cha askari kadhaa wa Jeshi la Polisi waliohamishwa hivi karibuni bila kupewa fedha ya uhamisho

    Dear Mama Samia, Pole na majukumu ya kulitumikia taifa letu. Kwa heshima na taadhima, naomba kukufikishia kilio cha askari kadhaa wa Jeshi la Polisi ambao wamehamishwa hivi karibuni lakini bila kupewa senti tano ya uhamisho. Kwa upande mmoja, uhamisho huo wa ghafla na usio na posho za uhamisho...
  11. milele amina

    CCM: Kamati ya siasa ya CCM mkoa wa Kilimanjaro kagueni ujenzi wa geti jipya la Chuo cha Polisi Moshi, kabla Rais hajalifungua tar 17.9.2024

    Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Kilimanjaro inapaswa kukagua mradi wa ujenzi wa geti jipya la kuingia chuo cha polisi Moshi, na kujiridhisha kabla ya Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa hawajafika kuufungua. Hadi sasa, vyombo vya ndani vimefanya uchambuzi wa eneo hilo, lakini mradi huo haujakamilika...
  12. Mystery

    Pre GE2025 Maandamano ya CHADEMA: Mbona Jeshi la Polisi halijajibu maswali ya msingi waliiyoulizwa na CHADEMA, badala yake wanaendeleza vitisho vyao?

    Nimeisikia taarifa iliyotolewa na msemaji wa Jeshi la Polisi, afande ACP Misime, ambayo alidai kuwa maandamano ya CHADEMAni ni haramu, Kwa hivyo wameyapiga marufuku. Lakini katika taarifa hiyo ya Afande Misime, hajaongelea kabisa, madai ya CHADEMA waliyoyatoa katika taarifa yao ya kuitisha...
  13. Dr Matola PhD

    CHADEMA isitishe maandamano, isiingie kwenye mtego wa Polisi. Umma una maswali mengi kwa Polisi tunataka majibu

    Kwa watu wanaoujua mchezo wa chase huu mchezo uchezwa na watu wenye akili tu. CHADEMA isikubali kufungwa chase na watu wenye akili ndogo kama hawa, iko hivi; umma wa Tanzania tuna maswali lukuki kwa jeshi lililofeli la Polisi na tunataka majibu ya kueleweka akiwemo huyo muuaji wao killing...
  14. Abdul Said Naumanga

    Bado nawaza ni kwanini Polisi wamezuia maandamano ya CHADEMA?

    Wanajamvi za muda huu?, https://youtu.be/JYA8O-5Apeg?si=QkR1Ts42tJqTZrct Bila kupoteza muda, ninatumaini kuwa wengi wetu tayari tuna ufahamu kuhusu suala linaloendelea la “Maandamano ya CHADEMA” yaliyotarajiwa kufanyika tarehe 23 Septemba 2024. Kwa wale ambao huenda hawajajua, sababu kuu ya...
  15. Sildenafil Citrate

    Godlisten Malisa: Nimetajwa kwenye orodha ya wanaotakiwa kuuawa, naishi kwa hofu, sijui hatma ya watoto wangu

    Mwenyekiti wangu Mhe.Freeman Mbowe, sometimes unakua muungwana sana hata kwenye mambo yasiyohitaji uungwana. Huyu Masauni ungemuacha apewe haki yake ya kikatiba. Hatuwezi kuruhusu mtu aliyesema watu wanaotekwa wanatafuta kiki ahudhurie msiba huu. Mtu aliyefanya press na kusema Tanzania ni...
  16. Full charge

    Je, tunaweza kukabiliana na hawa polisi nje ya utaratibu wa sheria?

    Habari wakuu. Kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa sheria kwa upande wa Polisi ambapo tumeshuhudia na kuskia matukio mengi yanayofanywa na polisi kama vile kumpiga mtu risasi badala ya kumkamata na kumfikisha kwenye sheria. Kuteka watu na kuwapoteza au kuwaua,kupokea rushwa na kukwepa uwajibiakaji...
  17. P

    Sheria ikoje pale Polisi anapoua pasipo kukusudia?

    Leo nimeona niulize hapa JF inapotokea risasi iliyopigwa na polisi imeua bila kukusudia. Sheria ikoje? Kwa hali inavyokuwa mara nyingi hapa nchini, polisi anakuwa amekusudia kuua ila inatokea siyo mlengwa moja kwa moja. Kozi risasi inayopigwa kwa lengo la kuwatawanya watu inapigwa juu na...
  18. J

    Hali ilivyo kituo cha Polisi Lulembela kilichovamiwa na wananchi

    Picha za hali ya kituo cha Polisi Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita baada ya jana Jumatano Septemba 11, 2024 kuvamiwa na wananchi huku wakifanya uharibifu wa baadhi ya mali ikiwamo gari. Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime katika taarifa yake jana Jumatano kuhusu tukio hilo, alisema...
  19. J

    Wafanyabiashara wahofia kukamatwa na Polisi walipouawa wananchi wawili Geita

    Hali ilivyo eneo la Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita asubuhi ya leo Alhamisi Septemba 12, 2024 ambapo hadi sasa wafanyabiashara hawajafungua maduka yao wakidai kuhofia kukamatwa na polisi. Mzizi wa hofu hiyo ni vurugu zilitokea jana baina ya wananchi na polisi na kusababisha watu wawili...
  20. Black Butterfly

    Tundu Lissu: Vyombo vya Usalama haviwezi kujichunguza, Tume ya Kijaji inaripoti kwa Rais, njia halali ni kuleta Wachunguzi wa Kimataifa

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amesema haiwezekani Vyombo vya Usalama nchini kuchunguza Matukio ya Uhalifu ikiwemo Utekaji na Mauaji yanayoripotiwa nchini kwasababu vinatuhumiwa kuhusika na matukio hayo. Akizungumza na JamboTV, Lissu amesema "Lini Jeshi la Polisi liliwahi kuchunguza...
Back
Top Bottom