polisi

  1. DON YRN

    Daisle Ulomi aliwahi kuwa askari, jeshi la polisi linapaswa kuwa na majibu

    Hili nina uhakika nalo kuwa Daisle Ulomi alikuwa askari wa Jeshi la Polisi Tanzania ila sina uhakika kama aliachana na hiyo kazi(Hapa ndipo swali lilipo kuhusu kifo chake, Ulomi kauawa) maana ni siku nyingi sijaonana naye ila ufahamu wangu na hata kiapo naweza thibitisha kuwa Daisle ulomi...
  2. tpaul

    Polisi wamefanikiwa kuingia ndani ya CCM, sasa wanataka kujiingiza kwenye mpira kwa nguvu

    Leo nimekaa zangu nimetulia sitaki kuandika chochote, ghafla nakutana na kipeperushi cha polisi kwenye mitandao ya jamii. Nikadhani labda kina taarifa ya muhimu, kumbe ni upumbavu tu umejaa humo na kuparamia mambo wasiyoyajua na yasiyowahusu. Nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu hiki...
  3. Mkalukungone mwamba

    Jeshi la Polisi Mkoani Iringa limewakamata Watuhumiwa watatu kufuatia mauaji ya aliyekuwa Katibu wa CCM Wilaya ya Kilolo

    Naona Polisi lipo na kasi ya 5G kuwakamata watuhumiwa waliofanya makosa kwa viongozi wa CCM ila upande wa vyama vingine uchunguzi unachukua muda mrefu sana. Kwani kuna siri gani kwenye chunguzi zao? ================ Jeshi la Polisi Mkoani Iringa Limesema limewakamata Watuhumiwa watatu kufuatia...
  4. Waufukweni

    Mkanganyiko wa matamko (Wizara na Polisi) kuhusu kung’olewa viti na fujo za Uwanja wa Mkapa

    Wakuu, Fujo zilizoibuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mechi ya Kombe la Shirikisho kati ya Simba SC na CS Sfaxien zimeibua mkanganyiko kuhusu uwajibikaji. Jeshi la Polisi lilibainisha kuwa mashabiki wa CS Sfaxien walihusika moja kwa moja kung’oa viti 256 na kuanzisha vurugu baada...
  5. Waufukweni

    Jeshi la Polisi latoa tamko baada ya mashabiki wa Simba kuvunja viti Uwanja wa Taifa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limeripoti fujo zilizotokea tarehe 15 Desemba, 2024, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na CS Sfaxien. Mashabiki wa CS Sfaxien walikasirishwa na mwamuzi kuongeza dakika saba, hali iliyopelekea...
  6. ChoiceVariable

    Jeshi la Polisi: Aliyedaiwa Kutekwa aliuza gari alilokodi Ili kulipa madeni ya harusi.Uchunguzi unaendelea kubaini Alikopotelea

    Jeshi la Polisi limetoa ushahidi wa awali kuhusu kupitea Kwa bwana harasi mara baada ya kumaliza harusi. Polisi wanadai ushahidi wa awali unaonesha bwana Masawe aliyepotea Aliuza gari aliyokodi Ili Kulipa Madeni na kwamba Polisi wanaendelea kukusanya taarifa Ili Kubaini kama bwana Masawe...
  7. Waufukweni

    Askari Polisi asakwa kwa mauaji ya mtuhumiwa wa Wizi wa Simu

    Jeshi la polisi mkoani Iringa linamsaka Askari wa Jeshi hilo aliyefahamika kwa jina la Sajenti Rogers wa Kituo cha Polisi Ipogolo na Askari wa jeshi la Akiba aitwaye Thomas Mkembela kwa tuhuma za kumuua Nashon Kiyeyeu mwenye umri wa miaka 23, Mkazi wa Nyamuhanga, Manispaa ya Iringa aliyekuwa...
  8. Inside10

    Polisi Dar waanza kumtafuta mfanyabiashara anayedaiwa kupotea.

  9. Poppy Hatonn

    DOKEZO Polisi Pemba atuhumiwa kumbaka msichana wa miaka saba

    Hizi habari za jana, Mama mmoja Pemba analalamika kwamba mtoto wake, Hamida, anayesoma darasa la kwanza amebakwa na Askari Polisi, Godfrey huko Pemba Anasema yeye anakaa Police Quarter huko Pemba na huyo Askari ni jirani yake na usiku alikuwa anamfuata yule mtoto na kumbaka kwa sababu mtoto...
  10. snipa

    Jinsi vyombo vya usalama vinavyoweza soma email zako kwa kutumia Namba ya simu kama security uliyoweka kwenye email yako

    Imezoeleka Kwa wengi kutumia Namba ya simu kama 2FA. Sasa tukija kuangalia usalama kawaida Huwa ni ndogo kwasabu zifuatazo. Email inbox na outbox hazijifuti kama ilivyo kwenye WhatsApp. Vyombo vya usalama vinaweza kupewa access ya jumbe fupi au calls unazotumiwa kwenye namba Yako ya simu...
  11. Mindyou

    LGE2024 Mwenyekiti wa CHADEMA Dodoma aliyekimbia na daftari wakati wa Uchaguzi aripoti Polisi

    Wakuu, Mnakumbuka yule Mwenyekiti wa CHADEMA mkoani Dodoma ambaye siku ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa alikimbia na daftari la wapiga kura akidai kuwa kuna hujuma zimefanyika? Inaonekana sasa "watu wa system wameanza ku-deal nae. ========================================================...
  12. Waufukweni

    Sam Sasali: Tusihukumu Jeshi lote la Polisi kwa makosa ya mtu mmoja

    Wakuu, Mtangazaji mkongwe wa Clouds Media Group, Sam Sasali ana neno kwa wote wenye tabia ya kulaumu Jeshi lote la Polisi kwa makosa ya mtu mmoja == "Watu wanahukumu jeshi lote la Polisi inapotokea shida lakini shida sio kwa Jeshi ni mtu mmoja mmoja. Ukisema traffic wanakula rushwa sio kweli...
  13. M

    POTOSHI Picha: Mkuu wa Kituo cha Polisi Kabwe Wilayani Nkasi ajeruhiwa na Wananchi

    Nimekutana na hii taarifa kwenye mitandao ya kijamii ikidai kuwa mkuu wa kituo cha polisi huko Nkasi mkoani Rukwa amejeruhiwa na wananchi ambapo mpaka sasa wananchi takriban 76 wanashikiliwa na jeshi la Polisi kwa tukio hilo pamoja na kuharibu mali wakati wa tukio hilo.
  14. Mchochezi

    Kamishna wa Polisi Tatu Rashid Jumbe anaweza kujaa kuwa IGP mzuri siku za usoni

    Kutoka kwenye korido za makumbusho naambiwa kamishna wa Polisi Tatu Jumbe ni moja ya askari polisi wachapakazi, waadalifu na wenye utumishi mzuri ndani ya jeshi hilo. Hivyo msishangae siku moja nyota yake iking’aa vizuri akawa IGP wetu.
  15. Mindyou

    Video: Vurugu zazuka Kinondoni baada ya raia kugoma mwenzao kuchukuliwa na Polisi wakihofia Polisi huyo kuwa mtekaji

    Wakuu, Huko Kinondoni kumetokea zogo na vurugu mtaani baada ya raia kugoma mwenzao kuondoka na mtu aliyejitambulisha kama afisa wa Jeshi La Polisi Ukonga. Katika video hiyo, mwanaume mmoja alijitambulisha kama Polisi alikuwa akitaka kumchukua kijana mmoja kinyemela. Wananchi baada ya kuona...
  16. Msanii

    Kamanda Muliro please trade carefully na wananchi. Polisi waishi ndani ya Katiba, Sheria na PGO imani irudi

    Kamanda Muliro nafahamu unasoma hapa jukwaani. Inawezekana mmejiundia ama kujijengea kasumba kwamba wanasiasa wanafurahia kazi yenu ya kutumia nguvu bila mizania. Mmekuwa mkiwakandamiza na kuwadharau sana wananchi wanapoonewa na askari wa chini yenu. Mmejipa majukumu ya kisiasa kinyume na...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Mara yangu ya Kwanza kupigana na mwanamke. Kumbe alikuwa Mchumba Polisi

    Habari za jumapili Wakuu! Miaka hiyo bhana! Niko zako mwaka wa Kwanza nikiwa Likizo. Nimerudi zangu Moshi. Sasa mtaa tuliokuwa tunakaa ni karibu na Kota za Polisi pale Moshi Mjini. Kwa wanaojua Moshi Mjini Basi karibu na Club kubwa inayoitwa HUGO Club. Kutoka Hugo Club na uwanja wa mashujaa sio...
  18. Determinantor

    Polisi na Magereza watunishiana Msuli Iringa

    Naaaaaam naona kila MTU atafikiwa Tu. Ni suala la Muda Tu. Hapa ni Tanzania Prisons wakiwa wamezuiliwa Iringa kwa kosa la Overspeeding, normal speed ilitakiwa iwe 80km/HR yeye kaendesha kwa 85km/HR. Wakamdaka kuanzia saa tano asubuhi Hadi jioni. Jamaa wa Prison anapiga mkwara kuwa very soon...
  19. ACT Wazalendo

    Polisi Wanaendelea Kuwatesa na Kuwasumbua Wanachama wa ACT Wazalendo

    MUENDELEZO WA VITISHO NA MATENDO YA UKIUKWAJI NA UVUNJWAJI WA HAKI ZA BINADAMU YANAYOFANYWA NA JESHI LA POLISI NCHINI. Idara ya Haki za Binaadamu na Vyombo vya Uwakilishi wa Wananchi ya ACT Wazalendo Taifa imepokea taarifa mbalimbali kutoka kila pembe ya nchi juu ya Muendelezo wa Vitisho na...
  20. Waufukweni

    Muliro: Jeshi la Polisi kushugulikia wanaojifanya Askari kwa nia ya Kihalifu

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam Muliro Jumanne Muliro amesema Jeshi la Polisi litaendelea kushughulika na wanaojifanya kuwa askari au watumishi wa umma huku wakitumia kigezo hicho kutishia wananchi na kufanya matukio mengine ya kihalifu. Pia, Soma: News Alert: Jeshi la Polisi...
Back
Top Bottom