pombe

  1. Boxing Day 2021: Kumbe Mwanamke akishalewa, usaliti ni nje nje!

    Ya Christmas: MWANAMKE Akilewa NI HATARI SANA KWENYE MAHUSIANO. Heri ya klisi-masi mabibi na mabwana[emoji4] Klisimasi ilikua na hekaheka nyingi Sana hasa hasa sisi wapenzi wa kuhama kiwanja hiki na kuhamia kiwanja kile. Jana ilkua sikU ya boxing day, Kama kawaida kujirusha hapa na pale...
  2. Ijue pombe na Hangover kitaalamu

    By: Pharm Michael Y. Bajile Kwa lugha za kikemikali pombe ni organic compound iliyo na mchanganyiko wa kemikali za Carbon, hydrogen na oxygen (ROH). Pia ipo kwenye familia moja kikemikali na mafuta (Cholestrol) na wanga (Carbohydrates). NINI HUTOKEA MWILINI MTU ANAPOKUNYWA POMBE? Asilimia 10...
  3. Sugu ashauri watu waache pombe ili kuikomoa Serikali. Unakubaliana naye?

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Mbeya kupitia CHADEMA, Joseph Mbilinyi ameshauri watu kuacha kunywa pombe ili waikomoe Serikali ikubali kukaa mezani kujadili Katiba. Sugu amesema kwa mawazo yao wao CHADEMA ni vyema Serikali ikakosa kipato (Ishindwe kuhudumia wananchi na watu wakose ajira), na hilo...
  4. Haya ndiyo maslahi ya nchi na haki za wananchi alizosimamia Hayati Rais John Pombe Magufuli

    HAYA NDIYO MASLAHI YA NCHI NA HAKI ZA WANANCHI ALIZOSIMAMIA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI Leo 15:15hrs 06/12/2021 Rais John Magufuli katika Awamu ya tano,kwa kutekeleza usimamizi wa maslahi ya nchi na haki za Wananchi ni kama aliingia vitani,tuliona maadui mbali katika sura ya "Kigogo" "Chahali" na...
  5. L

    Wanairaimba: Dkt. Mwigulu hatununuliagi hata pombe

    Baada ya kuwa Mwanza kwa takriban miezi mitatu, juma lililopita nikarejea na kuamua kukusanya ndengu Jimbo la Iramba na hivyo kunilazimu kutembelea vijiji ambavyo wanalima ndengu. Ndengu ni mojawapo ya zao tunalolima sana Iramba, ukiacha alzeti na zamani vitunguu. Katika pitapita zangu huko...
  6. J

    #COVID19 Usinywe pombe kupindukia baada ya kupata chanjo ya COVID-19

    Watu wamekuwa wakijiuliza endapo kama kuna madhara pale ambapo mtu atakunywa pombe siku au saa chache baada ya kupata chanjo ya COVID19 Shirika la Afya Duniani (WHO) linasema unywaji wa pombe baada ya Chanjo ya COVID-19 hauna madhara lakini ulevi wa kupindukia unaweza kupunguza ufanisi wa...
  7. Serikali imesitisha uzalishaji wa pombe ya Banana kwa kutokidhi viwango vya ubora

    Siku chache zilizopita, mdau wa JF aligusia juu ya Pombe hii kuwa hatarishi kwa wananchi. Serikali imechukua hatua mapema ili kuwalinda wananchi. Hoja ya mdau inapatikana hapa Unywaji wa pombe aina ya Banana inaathiri nguvu kubwa sana ya vijana ========== Serikali imesitisha uzalishaji wa...
  8. Kilimanjaro: Pombe ya Simba yatajwa kusababisha vijana kuvimba mashavu

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai amekifungia kiwanda kinachozalisha pombe aina ya simba kampuni ya Turn Bus Investment, kutokana na kuzalisha pombe zenye kiwango kikubwa cha asidi na kwamba hakifai kwa matumizi ya binanadamu. Mbali na kufungia kiwanda hicho ameliagiza Shirika la...
  9. J

    Dunia imesimama na Rais Samia Suluhu Hassan hoja ya Teenage Mothers

    Kila mwaka zaidi ya wasichana 6,500 wa Kitanzania waliachishwa|walifukuzwa shule kwasababu ya kupata ujauzito wakiwa shuleni, Mwaka 2017 aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli kwa kutumia nguvu ya Rais alikataa watoto hawa kuendelea na masomo. Benki ya Dunia...
  10. Niliacha pombe baada ya kukutana na mwanamke mwenye kalio nusu

    Ilikuwa siku ya ijumaa mida ya saa tano nikaingia kiwanja nikapate local beers mbili tatu akili ikawe sawa.Ghafla akaja mdada na jamaa yake wakakaa meza ile niliyotulia mimi,wakaanza vinywaji wakawa wanakunywa!!Kama mnavyojua mambo ya kunywa lazima kuwe na story mbili tatu plus makelele ya...
  11. Madaktari mnapotuandikia dawa semeni kama inaendana au haendani na vitu vingine mfano pombe

    Kuna pisi moja ya ukweli sana imepotea. Naskia ilichanganya pombe na dawa. Kwa nini hamsemi? Mnafurahi mtu akifa? Haya ninyi madaktari mliomo humu hebu tusaidieni orodha ya dawa ambazo haziendani na pombe. Msisubiri watu wafe ndo mjifanye kusikitika. Ahsante.
  12. Hivi kuna uhusiano gani kati ya Pombe na Maumivu ya Mwili kupungua?

    Heshima kwenu wakuu.. Aisee, jino lilikuwa linauma jioni hii kupita maelezo, nikarudi zangu home kuna K Vanga kubwa ilibaki jana kwenye mwanamke nyonga nikasema ngoja niikate taratiiiiibu, baada ya kugonga K Vanga nashangaa maumivu ya jino yameisha kabisa wakuu. Hivi, Kuna Uhusiano Gani Kati...
  13. Unywaji wa pombe aina ya Banana inaathiri nguvu kubwa sana ya vijana

    Pombe hii ina kiwango cha kilevi asilimia kumi(10%)tu lakini wanywaji wa pombe hii ukiwaona hata kwa macho utajua tu huyu ni wa banana. Pombe hii imekuwa ikiuzwa kwa bei rahisi tu ya sh 500 ndo mana vijana wengi wanaweza kumudu kuinunua,lakini ulevi wake sio wa kawaida kwani vijana wengi...
  14. F

    Tanzania yaongoza Africa kwa unywaji wa pombe nyuma ya mataifa tajiri ya Ulaya

    Top Consuming Country by Alcohol Type Consumption/Capita Czech Republic Beer 6.77L France Wine 6.44L Cook Islands Spirits 7.07L Tanzania Others 6.60L The importance of local crops couldn’t be overstated. Regions like Africa and Asia that struggle with the right conditions for grapes or...
  15. H

    Hayati Dkt. Magufuli ndiye Rais aliyefaa kuiongoza Tanzania

    Habari wanaJamiiForums Natumaini ni wazima wa afya binafsi nilikuwa naumwa Sana angalau sasa hiv nina unafuu nilikuwa nina Malaria tuombeane nipone kabisa.Tuje kwenye mada husika hapo juu unajua nimekuwa mfuatiaji kiasi fulani wa jukwaa Hili nimegundua kuwa members wa jukwaa hili hawana tofauti...
  16. Andaa bajeti ya duka la milioni moja kwenye mtaa wa walalahoi unaotazamana na kilabu cha pombe kilichoko mjini

    Imagine unaishi mjini halafu unataka kuanzisha duka ambalo Lina frem tayari Ila duka Hilo linatazamana na kilabu cha pombe za kienyeji japo cha kisasa Ila wewe una mtaji wa milioni moja hebu sema utanunua vitu gani? Ambavyo unadhani piga ua hapo lazima vinunuliwe Ila pia kuna kijiwe kikubwa cha...
  17. Anayejua Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli alimaanisha nini aliposema haya atusaidie

    Amani iwe nanyi wanaJf, === Nilikuwa napitia hotuba na machapisho mbalimbali ya Rais wetu kipenzi Hayati Dk Johnb John Joseph Pombe Magufuli kunajambo naomba wenye ufahamu watusaidie japo na mimi nitachagiza kidogo kwa uelewa nilionao|| === Kwenye hotuba zake karibu zote Katika kila...
  18. M

    Rais Samia aendelea kumuenzi Hayati Dk. John Joseph Pombe Magufuli

    Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaenzi wazee wetu Dk Jakaya Mrisho Kikwete na Hayari Dk John Pombe Magufuli tayari amefanikisha ujenzi wa daraja la Tanzanite|daraja la Salenda walioliasisi wao lenye urefu wa kilometa 1.03 lililogharimu Jumla ya TZS 243.7BL. Masaa machache tu Rais Samia...
  19. Tofauti ya unywaji wa pombe na ulevi

    Pombe ni kinywaji kinacho burudisha na kumfanya mnywaji kupumzisha akili baada ya kazi ngumu. Beer/Bia ni kinywaji kinachotafsiriwa kama a social drink. Mara nyingi hunywewa kwenye public house au pub. Inategemea ukubwa wa kijiji lakini kila kijiji huwa na pub ambapo wanaume hukutana baada...
  20. Nimeshindwa kuacha pombe

    Pombe haina faida zaidi ya hasara , vishawishi na kuharibu ratiba. Ila sasa nimejitahidi sana kuiacha nashindwa. Marafiki zangu 90% ni watumiaji wa pombe. Sasa kila unakokwenda unawakuta au wanakukuta, nashindwa kuacha kabisa. Naomba mbinu za kuacha tungi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…