Wakuu
Kiukweli I had a plan kuacha kunywa pombe this year ila nashindwa kabisa.mfano toka Wednesday ya week hii sijagusa kabisa pombe ila leo nimeamka na kiu ya hatari,nikaona nikajiboost kidogo.i feel sorry for me ,na natamani kuachana na hii addiction but nashindwa.
Nyie wenzangu...
Salamu wakuu.
Kwanza namshukuru Mungu mmoja kwa imani yangu kunijalia afya na pia kunifanya niwe mbali na pombe yaani kunywa pombe.
Kimaisha nashukuru hapa nilipofika lakini bado safari ni ndefu japo kuwa umri wangu bado kijana sana.
Mimi nilikuwa mnywaji wa pombe mzuri sana nilianza na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Magufuli amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 61
Taarifa rasmi iliyotolewa kwa umma na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kupitia Televisheni ya Taifa (TBC) leo usiku Machi 17, 2021 saa 5 usiku imeeleza kuwa Rais Magufuli amefariki...
Habari za muda huu ndugu zangu.
Katika hali ya kawaida ni vigumu kunielewa kama hayajakukuta.
Pombe imeniharibia vingi sana kwenye maisha yangu zaidi ya kunipa faida.
- Pombe imemaliza fedha nyingi mno kiasi ambacho speed ya maendeleo yangu ni madogo ukilinganisha na kipato changu.
- Pombe...
Wakuu poleni na majukumu ya kulijenga taifa letu pendwa la Tanzania. Pia poleni sana na mfumko wa bei uliopo nchini na dunia ni kwa ujumla.
Ndugu zangu wana JF, mimi ni mtumiaji wa masanga(pombe) japo mara chache chache. Na siku ambayo hutumia kinywaji hiki huwa ni Jumamosi kwa maana ya kwamba...
Bunaza Doto Manyanda (34) anadaiwa kumuua mpenzi wake, Happiness Mzalile Zakaria (23) kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali tumboni kisha naye kujiua, marehemu wote wakiwa ni Wakazi wa Charambe kwa Mbiku Wilayani Temeke, Dar es Salaam.
Tukio hilo limetokea jana Jumatano Juni 8, 2022 ambapo...
Pombe inafaida sana kwenye afya ya mtu. Lakini kama kitu kingine chochote, ukizidisha ina madhara sana. Sayansi iligundua zamani kwamba wanaokunywa pombe kiasi wana afya kuliko wasiokunywa.
Mimi kama Mtanzania mwenye nia nzuri na malengo na hii nchi japo nimetamani kuikimbia na nimepata nafasi kadhaa ila nikaamua kubaki naomba kupendekeza ofisi za serikali na bunge zianze kupima pombe na madawa ya kulevya.
Hii itasaidia kuondoa wafanyakazi na wabunge ambao wanafanya maamuzi ya...
Walevi wengi wana nguvu za giza pombe wanazokunywa zimeandikwa store in cool dark place
Kuwa zinatakiwa zihifadhiwe eneo lenye giza ili wapate nguvu za giza
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Queen Sendiga ametangaza kuwasaka wale wote wanaojihusisha na vitendo vya ukatili ndani ya mkoa huo.
Pamoja na msako huo amedai ukatili wa baadhi ya wanaume hasa wanaolewa kupindukia kunyonya maziwa ya wake zao wanaonyonyesha kwa imani ya kukata pombe unaendelea kupungua...
Two weeks ago nilikuwa Chuo cha Mwalimu Nyerere kulikuwa na Event ya vipaji na ndipo nilikutana na Daz Baba Aisee huyu Jamaa amechoka Sana nadhani Pombe ndo zimemmaliza.
Kiufupi wasanii Kama hawa Kina Daz-Baba Walioimba nyimbo nzuri za kuhelimisha jamii wanabidi wakumbukwe na kusaidiwa.
Daz...
Wakuu mimi hapa nimekaa Mtaani Almost Two years lakin that time nilikuwa Chuo naongeza Maarifa ya kitu flan. Sasa Mimi hapa Kama kijana nimeamua kumtanguliza Mungu na kujituma katika Maisha yangu. Maaajabu nimeanza kuchukiwa na Familiya yangu .
Lakini yote hayo Ni kwasababu nimeanza kumjali...
Kama ulishawahi kusoma nyuzi zangu mbili tatu hapa JamiiForum utagundua kabisa mimi ni cha pombe. Nikwambie tu mada zote nlizowahi kuzileta hapa ni za ukweli isipokuwa huwa nabadili kidogo maudhui ili kuepuka wazee wa kuunga dots, bado sijawa tayari kujiweka wazi mimi ni nani maana mengi ni ya...
eid mubarak!!
Hii kitu nimeiona kwenye miji kadhaa niliyowahi kuishi hapa nchini.....
Ukitembelea sehemu zinazopatikana pombe za kienyeji (gongo, wanzuki, chimpumu, mnazi n.k) basi burudani yao kubwa ni hz nyimbo za zamani.....
Ddc mlimani park
Sikinde
Msondo ngoma n.k
Hizi ni nyimbo zenye...
Kwema Wakuu!
Hakuna atakayemsema Hayatti Magufuli akapata Faida yoyote Ile, zaidi nawaona wanaomkosoa hasa viongozi wakipata uharibifu mkubwa na kujenga chuki mioyoni mwa wananchi wa chini.
Nimemsikia Mhe. Zito Kabwe akimshambulia JPM Kwa namna mbalimbali, nataka kumhakikishia Zitto kuwa...
Can Roman Catholic Church initiate process of Beatification and Canonization of Dr. John Pombe Joseph Magufuli for he made High-most GOD (Monotheistic) bold in his governance, prioritizing worship and pro downtrodden. He wrestled down Covid by unique way of adoration that left the planet...
Mwaka jana, wakati kama huu (siku kuu mfululizo), nilimpoteza rafiki yangu kipenzi.
Alipenda sana pombe kali, bia alikuwa hataki.
Kula chakula alikuwa mvivu.
Sasa alianza na pombe Kali, Alhamisi jioni, (hapo ni mpaka masaa marefu), Ijumaa, Jumamosi, Jumapili, Jumatatu!
Sasa Jumanne tumefika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.