Leo nataka niwape kisa cha anko wangu moja hivi wa mtaani ambae kwa sasa ni marehemu, ubaya pia sikubahatika kwenda kumzika.
Wakati wa makuzi yangu nilibahatika kulelewa katika mtaa ambao umezungukwa na watu wenye dini. Mtaa ambao nilikuwa naishi ulikuwa na misikiti miwili, madrasa tatu na...
Jana jioni nilikuwa napitia makabrasha yangu, nikakutana fomu moja ya mahudhurio ambayo ilinikumbusha na kunirudisha nyuma kidogo mwaka 2018. Baada ya kuvuta kumbukumbu nikaishia kutabasamu tu kulingana na kisa cha siku hiyo.
Ulikuwa mwaka 2018 mwishoni katika NGO ambayo nilikuwa napiga...
Ninajuiliza na kuwauliza wakuu
Watu wa singinda hasa warangi yani hawaendani na pombe kabisa yani hata akanywa basi pombe itampeleka katika kuanzisha ugomvi
Wengi nimewaona hawaziwezi pombe hata kidogo, pia ukiwauliza wanakwambia haramu,ila huyo huyo anaekwambia pombe haramu anakula mirungi...
Mtandao wa Wadau wanaopambana na unywaji wa pombe kupita kiasi nchini Tanzania {TAAnet} umeishauri serikali kuchukuwa hatua kali ili kudhibiti matumizi ya pombe kupita kiasi kwa kuridhia uwepo wa sera ya afya yenye kuweka katazo la matumizi mabaya ya pombe ikiwa ni pamoja na kuwepo kwa muongozo...
Weekend inaanza Ijumaa na watu wanakuwa na stress za kutosha.
Mitundi ya kutosha ndo suluhu ya karaha za maisha haya ya kibongo. Leo hii Kg 1 ya mchele imefikia 3500, kodi za nyumba ndio kero maana miezi inakatika kama barafu inayeyuka.
Unakula mabia ya kutosha na uzuri unapiga Mackotail ya...
Tanzania tunahitaji expatriate wa ki Zambia kuwa Mkurugenzi Mtendaji Yanga ?
Kama ambavyo alinyimwa Visa yule Mama wa Kikenya mwenye degree ya cookery kuja kuongoza VODACOM ndivyo hivyo ilibidi huyu Mzambia apigwe chini.
Haya, kaja kwenye mkutano wa utambulisho hajui Kiswahili, Maulidi...
Wahudumu wa afya nchini Scotland wamepewa mwongozo mpya unaoangazia uhusiano kati ya pombe na saratani.
Mwongozo huo uliochapishwa na Scottish Health Action on Alcohol Problems (SHAAP), unabainisha kuwa unywaji pombe ni sababu ya hatari kwa saratani kadhaa.
Inapendekeza wataalamu wanaweza...
Bei ya nishati ya makaa na ukosefu wa kaboni dioksidi inaripotiwa kutishia uzalishaji wa bia.
Watengenezaji bia wa Uingereza wanakabiliwa na ongezeko la bei mara kumi kwa CO2 wanayotumia kutengenezea kaboni na kufunga bia.
=========
Soaring energy prices and lack of carbon dioxide reportedly...
Wafanyabiashara wanaojihusisha na uuzaji wa vileo wameitaka Mamlaka ya Kodi (KRA) kusitisha marekebisho ya kodi yaliyopangwa kwaajili ya bidhaa ili kupisha mfumuko wa bei.
Wafanyabiashara hao, ambao ni pamoja na Chama cha Vinywaji vya Pombe nchini (ABAK) na Baa, Burudani na Migahawa ya Kenya...
Bukheri ndugu na wanamemba wa jamii forum,..!leo umefanyika utafiti usio rasmi na kugundua kwamba mtu yeyote akinywa pombe akalewa huwa anaonyesha tabia zake halisi yaani zile zilizojificha...mfano kama mtu ni muongeaji sana lakini hujificha kwenye kichaka cha upole....basi mtu huyo akilewa...
Maisha ya mwanadamu yanahitaji vitu vikuu vinne:-
Chakula
Sehemu ya kulala
Afya njema
Mavazi
Chakula
Mwanadamu lazima ahakikishe, miaka yote anapata chakula stahiki, iwe bei imepanda au kushuka, na hii ataitimiza kwa kujiwekea miradi mbali mbali ya kibiashara, kilimo, na ufugaji. Ili...
Ili kuongeza wigo wa mapato yatupasa kama taifa kuthamini na kuzalisha vya kwetu. Tusiwe mabingwa wa kukopi na kupesti tu.
Mfano Usafiri wa bodaboda ulianzishwa miaka mingi nchini Nigeria kabla yetu. Kwa Afrika mashariki nchi ya kwanza kuruhusu bodaboda kuwa chombo cha kubeba abiria ni...
Hata kwa nchi zilizoruhusu bangi hesabu zinaonesha ndoa zenye wavuta bangi ni nadra sana kuwa na matatizo tofauti na ndoa za walevi wa pombe ambazo zimejaa kesi kibao za kuvunjika kwa ndoa, kupigana, kutukanana hadharani, watoto kupigwa hovyo, n.k.
Tukija hata hapa bongo tushazoea kuona pombe...
Ripoti ya Uchunguzi wa Sumu kuhusu chanzo cha vifo vya vijana 21 waliofariki dunia wakati wakinywa pombe eneo la #Tavern mwezi Juni, 2022 imeonesha kuwa walikosa hewa kutokana na msongamano wa watu.
Mmiliki wa eneo lilipotokea tukio hilo anakabiliwa na mashtaka ya kukiuka sheria za Pombe za...
Mwambieni waziri wa fedha pamoja na TCRA kwamba internet ni biashara sio anasa kama wao wanavyoweza kudhani vijana wengi wamejiajiri kwenye biashara nyingi za mitandaoni zinazotegemea zaidi internet na bando.
Wapo YouTube, wapo Instagram, wapo kila mahali wanajiingizia kipato na kodi wanalipa...
Habar zenu wadau,
Katika utafiti wangu mdogo nilioufanya nimegundua wanyaji wengi wa pombe ukiwaita walevi wanakasirika japo sio wote, ila % kubwa wapo ivo.
Kwanini wakasirike wakat ni walevi kweli, hii imekaaje wadau?
Angalia alivyovaa na kujiachia! Lakini ni huyu huyu Zuchu aliyekataa kufanya tangazo la pombe (siyo kunywa pombe) kwa madai kuwa ni kinyume cha matakwa ya dini yake.
Kungwi Sexless hajafurahishwa na undumila kuwili huu.
Watu 14 wamefariki Dunia katika Mji wa Arua Nchini Uganda baada ya kudaiwa kunywa pombe inayodhaniwa kuwa na sumu.
Baadhi ya watu wengine wapo hospitalini wakiwa na hali mbaya, Polisi wameeleza vifo saba vilitokea maeneo ya Mvara na Oluko na vingine saba vimetokea Madi Okollo, yote yakiw ani...
Bila kupoteza muda,hii ndio habari ya Mjini huko Japan..
Hata hapa Tanzania TBL wameripoti kuongezeka kwa faida ya Mauzo ya pombe..
Hongera sana Walevi kwa kukuza Uchumi,wale wengine na soda zao sijui wataficha wapi sura zao.👇
--
Takwimu za hivi majuzi kutoka kwa wakala wa ushuru zinaonyesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.