Naomba kufahamu kiwango sahihi cha pombe kinachokubalika kwa siku iwe bia, konyagi, wine, whisky nk.
Mimi huwa napenda sana konyagi na nakunywa kila siku kiwango changu ni konyagi ndogo 200mls napata na club soda mbili nakunywa kwa masaa matatu baada ya kazi kuanzia saa moja mpaka saa nne...
Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, Hassan Ngoma amesema Watu watano wamefariki katika Kijiji cha Nambilanje Wilayani Ruangwa, Lindi baada ya kunywa dawa waliyopewa na Mganga wa tiba asili, Shigela Malehe(39), ili iwasaidie kuacha pombe.
Akiongea...
Wenyewe husema Ukiinywa kwa taadhari kubwa haina Shida. Tatizo Ni kwamba huwezi kunywa kiasi kidogo kila siku, lazima uongeze gradually kadiri siku zinavyoenda hadi ikuharibu magoti.
Kuna fundi ujenzi nilimwomba anifanyie kazi fulani, eti akaogopa kusimama juu ya pipa kisa maungo ya mifupa...
Moya kwa moya, waungwana nauliza hivi grand malt ni pombe? Au ina asilimia walau kidogo za pombe?
Naomba mnijibu kwa uzoefu wako na nitafurahi nikipata analysis ya viungo kitaalam.
Hotuba ya Mbowe M/kiti wa Chama chetu, niliifuatilia mwanzo mwisho
Mbowe, hana tabia ya kuongea vile isipokuwa juzi katika kuwahutubia wananchi wa Mwanza na wanachama wa Chadema, sauti iliyotumika kuhutubia si ile tumeizoea,
Kwanza hotuba yake haikuwa na mpangilio, na mwenyewe pindi...
Madawa ya kulevya ni nini, kitaalam, na je, pombe inaangukia katika kundi hilo la madawa ya kulevya? If not, why?! Ukizingatia ongezeko la ‘GABA’ mwilini?
Nchi ya Qatar imenivutia sana kwa kuwa na msimamo mzuri dhidi ya uozo wa kimagharibi wa pombe, ngono, ushoga etc
Zanzibar ni nchi nzuri ya kistaarabu sana lakini naona kuna uozo unaongezeka kwa kasi kubwa.
Nyimbo na video za uchi, unywaji pombe, kuvaa vivazi vya nusu uchi hadharani n.k.
Ni...
Asalaam alyeikum ndugu wana jamii ya jamiiforum..?
Awali ya yote poleni kwa maswahibu mnayopata sehemu mbalimbali na wale mnaokula raha shikilieni hapohapo.
Mwenzenu juzi kati nimeyakanyaga!,mwisho wa mwaka huu nikaamua niende zangu kijijini kusalimu ndugu na jamaa pamoja na majirani.. siku ya...
Ukweli utabaki hivyo,tuna tatizo kubwa kwenye vipaumbele vya taifa,hatujui nini tunataka na wakati gani tunahitaji hicho tunachokitaka.
Madhara yake ni nchi kuendesha kama biashara ya daladala, kondakta ana nguvu kuliko dereva kwa kuwa tu ndiye mshika fedha.
Kipau mbele cha serikali hakikidhi...
Takriban watu 22 wamefariki na wengine kadhaa wamelazwa hospitali nchini India baada ya kunywa pombe yenye sumu.
Vifo hivyo vimetokea katika vijiji viwili kwenye jimbo la Bihar, ambapo uuzaji na unywaji wa vileo umepigwa marufuku.
Katika tukio hilo wanaume katika wilaya ya Saran walianza...
Tanzania ukiifuatilia sana utaona watu wengi wanaangalia mambo kinyumenyume sana. Sijui huwa sababu ni nini?
Pombe(Ethanol) ni sukari iliyogeuzwa kwa fermentation. Pombe ina nguvu kama tu chakula chenye wanga.
Inasemwa kuwa mtu anapokunywa pombe, mwili unaacha kutumia mafuta na wanga kama...
-Kutukana Matusi ovyo
-Ngono zembe - kufumaniwa kirahisi, magonjwa, n.k.
-Kuendesha gari bila umakini - ajali
-Hasira za haraka - kutembezewa kipigo, kujeruhi ama kuua.
-haja kubwa na ndogo bila kwenda chooni.
-kuzima - wahuni wanaweza kukusajili kwenye upinde bila kujijua
Leseni zinasema bar ifunguliwe saa 10 jioni mpaka saa 5 usiku kwa siku za J3-Ijumaa na Jumamosi na Jumapili saa 8 mchana mpaka saa 6 usiku.
Nashauri leseni ziruhusu kunywa pombe masaa yote Isipokuwa kwa staha maalumu, namaanisha kwa masaa kabla ya saa kumi pombe zinywewe ndani ya bar au mahala...
Habari wakuu...Katika hali ambayo kwa upande wangu nimeiona siyo ya kawaida Askofu mstaafu wa kanisa la Tanzania assemblies of God(TAG) Mch.Glorious shoo ameiomba serikali kuwazuia wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro kutoendelea na uzalishaji wa pombe za asili na badala yake mazao yanayotumika...
Gari la sigara ni rahisi kuporwa mzigo wote maana mabox ya sigara ni mepesi, mwizi anaweza akabeba box 1 tu akaenda kuuza bei ya hasara milioni 1 na nusu tofauti na kreti ya bia ni nzito halafu inaweza kuwa elf 40 tu
pakiti ya sigara = sigara 20
bunda moja lina pakiti 10 = sigara 200
box moja...
Tanzania ni miongoni mwa nchi za Afrika zenye kundi la watu wenye umri mdogo wanaotumia pombe kwa kiwango kikubwa, wakiwamo wanafunzi.
Hivyo, Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) imezindua programu ya kupambana na unywaji pombe kwa watu wenye umri mdogo, ikilenga kudhibiti tabia hiyo.
Utafiti...
Ripoti ya ‘Tanzania in figures 2021’ inayotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inaonyesha uzalishaji wa bia nchini umeshuka kutoka lita milioni 386 mwaka 2020, hadi lita milioni 380, ikiwa ni sawa na anguko la asilimia 1.5.
Kwa upande wa pombe aina ya konyagi nayo uzalishaji wake...
Ni Oktoba 29, 1959 siku ambayo Mwenyezi Mungu alitupa Watanzania zawadi ya Mtoto John Pombe Magufuli ambaye Leo hii tunamkumbuka kama Mkombozi, Shujaa, Mtetezi, Mlezi, Mjenzi wa Watanzania,leo hii kwa Afrika ukilitaja jina la John Pombe Magufuli ni nembo ya uongozi wa mfano Afrika na Duniani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.