pombe

  1. Smart Contract

    Naomba ushauri: Niliacha pombe, kwa sasa nimerudi kwa kasi

    Nilifanikiwa kuacha pombe for few months ila nimerudi kwa kasi ya ajabu mimi sio wa hivi nakataa nakataa tena. Mnishauri ndugu zangu ninapoendea ntaona maisha hayana maana, pesa haikai. Au kama kuna anaejua dawa anisaidie i am finished, sitaki ushauri wa kwenda nyumba za ibada.
  2. Jugado

    Challenge: Kuacha pombe kwa miezi sita

    Nataka kuacha pombe kwa miezi sita, mwili wangu umeanza kuchoka lakini pia nataka kufanya saving kidogo, nataka ninywe Christmas 2023. Nipeni mbinu nifanikiwe. Hili ni tangazo la kuacha pombe kwa miezi sita, ila watu wa karibu/walevi wenzangu siwaambii, ni kukwepana tu mpaka December. Sign -...
  3. Kamanda Asiyechoka

    Kunywa Pombe kali na kucheza kamari za Kichina hazisaidii, nchi inaibiwa. Watanzania mnatakiwa kuamka

    Naona mnakomaa kulewa Pombe kali huku mkishinda mnacheza kamari. Hii ni dalili kuwa Watanzania mmekata tamaa na mmeacha wanaoiba mali zenu wawaibie wanavyotaka Hivi mnadhani hii ndio suluhu. Mbona Ndugai aliwapa angalizo kuwa nchi itapigwa mnada mkapuuza au sio nyie?
  4. Mr Why

    Pombe huwa haina majina mabaya

    Wanywaji hili mnalifahamu vizuri kuwa pombe hainaga majina mabaya, majina yake ni mazuri mfano; Common, Washington, Kiboko, Mamba. Sasa na wewe kama unafahamu majina mazuri yanayosumbua huko baa share hapa tuzidi kudumisha utamaduni wa Mwaafrika ndugu zangu.
  5. Mwizukulu mgikuru

    Wazazi acheni kuwatuma watoto pombe na sigara

    Nimekuwa nikishuhudia watoto wadogo wenye umri kati ya miaka 7 mpaka 15 wakitumwa hizi pombe viroba vilivyochangamka zinauzwa kwenye vichupa kama vile smart gin, kitoko, ambiance na robort watoto wanatumwa dukani kuwapelekea wazazi wao. Kwangu mimi naona huu ni ushenzi mtoto mdogo utamtuma...
  6. Inside10

    Mmoja Afariki, Wanne Walazwa Wakishindana Kunywa Pombe Moshi

    Mtu mmoja amefariki dunia, huku wengine wanne wakinusurika kifo wakati wakishindana kunywa pombe kali aina ya 'Smart Gin', baada ya kuahidiwa kupewa mkate, sukari na Sh50,000 kwa atakayeshinda. Tukio hilo limetokea Juni 8, 2023 katika kata ya Sanya Juu, wilayani Siha Mkoa wa Kilimanjaro, baada...
  7. Pang Fung Mi

    Ushuhuda: Ama kweli pombe sio sigara yamenikuta

    Wasalaam, Jana nimepita starpark Morogoro nikiwa natoka DSM kurudi Dodoma nimempigia demu wangu mmoja bahati mbaya yupo kilosa, sasa bhana si nikaingia starpark kula vyombo nikawa natupia Hanson choice baadae nikahamia kunywa bia Serengeti larger kubwa. Sasa kuna demu mmoja alikuwa anacheza...
  8. BARD AI

    Waziri Mwigulu Nchemba: Tumepokea ushauri wa kuongeza Kodi kwenye Pombe

    Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa wizara imepokea wazo la Mbunge wa Momba, Condester Sichalwe la kuongeza kodi kwenye pombe zinazoingizwa nchini. Akitoa majibu bungeni jijini Dodoma Waziri Mwigulu amesema kuwa wizara imepokea pendekezo hilo, italiafanyia kazi na kutoa...
  9. Stephano Mgendanyi

    Pombe za Kienyeji Kuanza Kutengenezwa kwa Teknolojia ya Kisasa ili Kukidhi Viwango vya Ubora kwa Watumiaji

    SERIKALI INA MKAKATI WA KUWAWEZESHA WAZALISHAJI WA POMBE ZA KIENYEJI KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA KISASA "Hadi kufikia mwezi Oktoba 2022 jumla ya leseni 43 za ubora zimetolewa kwa bidhaa mbalimbali za Pombe za kienyeji zilizokidhi viwango na maombi mengine mapya 22 yapo kwenye hatua mbalimbali za...
  10. Superbug

    Papa Pius wa XI na Benito Mussolini kardinali Pengo na John Pombe Magufuli

    Mimi ni mkatoliki kindakindaki ila huu umoja wa kanisa na viongozi wa aina hii unalitesa sana kanisa takatifu la Yesu. Kuna ushahidi mkubwa wa papa Piusi wa XI kuwa na mahusiano ya karibu na Benito Mussolini fashisti wa italia mpaka Mussolini akampa papa eneo la Vatican city ilipo leo. Kupitia...
  11. De Professor

    Vioja vya pombe kukolea kichwani, ngono zembe na ujasiri fake

    Wakuu, bila kupoteza wakati kuna haka ka kitu kanaitwa Mtungi, ama wanasema Bia tamu, Japo kiukweli mimi sijawah onja, ukiachilia mbali imani ya dini, ila kuna vioja ambavyo vinafanya Pombe niingalie tu. Kama unakumbuka kioja chochote kilichotokea kwako au kwa jamaa aliekua tungi emu kishushe...
  12. R

    Pombe sio chai. Nililala mwenyewe nimeamka na Mama mwenye nyumba, tunashangaana!

    Nianzie mbali kidogo. Moja ya maazimio yangu kufikia January 1 mwaka huu ilikuwa ni kuacha kabisa pombe na kampani ya walevi. Pombe imenisababishia madhila kibao katika maisha ikiwamo kushusha heshima yangu kazini na jamii inayonizunguka huko mtaani, kunitenga na Mungu wangu kiroho, kunirudisha...
  13. Ndenji five

    Pombe iliponikutanisha na falme za kijini

    Niende moja kwa moja kwenye mada..... Basi miezi mitatu iliyopita nilikuwa nimechelewa kurudi nyumbani, yote sababu nilipitia sehemu kwaajili ya kupata moja baridi, nilivyofika bar nikaagiza kinywaji, nikakipiga Na kuanza kurudi home hapo ni kama saa tatu, hivi usiku nikiwa zangu kwa miguu sina...
  14. L

    Kuna athari gani, pombe ikizidi kwenye damu?

    Kuna athari gani, pombe ikizidi kwenye damu? Naomba madaktari mnijibu tafadhali, nimepimwa hospital nimeambiwa,nipunguze pombe otherwise nitatembea. Wajuzi wa Mambo naomba majibu,am confused
  15. Annie X6

    Grants ni pombe ambayo inapendwa sana. Kuna nini nyuma ya pazia?

    Hii drink Ikiwa unatafuta scotch ambayo itavutia hamu yako, Grant inaweza kuwa maarufu sana. Hata hivyo, ikiwa unahitaji tu whisky ili kufanya usiku wako wa majira ya baridi kufurahisha zaidi, Grant's ni nafuu, ni rahisi kunywa, na ni tamu isiyopingika.
  16. KING MIDAS

    Wapenzi wa nyama, pombe na ngono tukutane hapa

    Pombe kiasi, utamu wa wife na nyama choma ni tiba tosha. Kitimoto na konyagi, huku natomaswa na mama watoto huku naye akiwa na glass yake ya Amarula, aiseee, usiku unakuwa mfupi sana, tunasahau shida zote na paradise inakuwa ni mali yetu halali. Kama tuna share the same interest hebu tujumuike...
  17. NetMaster

    Napata mashaka juu ya ahadi ya Mito ya pombe mbinguni. Kama Pombe ni chukizo kwa Allah, ni kwanini Pombe iwepo mahali patakatifu?

    Sijaja kwa kebehi wala maudhi ila nahitaji upembuzi juu ya hili la mito ya pombe mbinguni, Quran 47:15 - Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya pombe yenye ladha kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa...
  18. B

    Gachagua: Transfoma za Wanaume Mlima Kenya zimezima kwa sababu ya pombe

    Nyeri, Kenya Naibu Rais ameachilia kombora la utani kwa wanaume wa eneo la Kati, akidai wameshindwa na majukumu muhimu ya ndoa kwa sababu ya kutekwa na ulevi. Bw Gachagua alisema wanaume wa Mlima Kenya wamekuwa mateka wa pombe, hasa ile haramu. Alisema athari za pombe zimewalemea kiasi cha...
  19. John Haramba

    Watu 300-350 wanafika hospitali kila siku kwa matatizo ya Moyo, soma jinsi Pombe, Sigara na Mafuta zinavyochangia

    Kutokana na changamoto ya magonjwa ya Moyo ambayo yamekuwa yakisumbua watu wengi hasa miaka ya hivi karibuni, nimezungumza na Dkt. Pedro Pallangyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ya Dar es Salaam ambaye anafafanua kitaalam na katika lugha nyepesi changamoto mbalimbali kuhudu...
  20. NetMaster

    Tupeane makavu: Kama pombe ni dawa ya kulevya yenye madhara makubwa kuzidi bangi ni kwanini bangi isiruhusiwe?

    Madhara ya sigara: Ocean road pale hospitali ya cancer wapo wagonjwa wengi wenye kansa ya mapafu, fizi, koo, n.k. kwasababu ya matumizi ya muda mrefu ya sigara. Cancer inaharibu koo kiasi kwamba wengine wamechomolewa makoo wanaongea kwa kuwekewa mashine, sauti inatoka kwenye spika Watu zaidi...
Back
Top Bottom