pombe

  1. R

    A.Lusekelo( Mzee wa Upako, Pombe Si DHAMBI, ni kosa.

    Salaam, Shalom!! Baada ya Pope wa Katoliki kuwadissapoint waumini, Mzee wa Upako,kama anavyojiita, Tingatinga, ametoka hadharani na kuhalalisha pombe Kwa waumini wake. Ameongea hayo madhabahuni kuwa, BIBLIA haijakataza POMBE,Wala KULEWA, Bali Biblia imekataza ULEVI.😳😳 Amejiumaumaaa...
  2. Smart Contract

    Tuwe makini na pombe, zinaua

    Wasaalam, mnamo mwaka jana X Mass nilikunywa sana mpaka ikanipelekea kupata ulcers hivyo 25/12 na 1/1 ziinikuta kitandani naugumia maumivu nikajiapiza naachana na mipombe kali. Lakini nilivyopata nafuuu nikarudi tena. Mwaka huu juzi 25/12 na 1/1 nazenyewe nimezilia kitandani the same case kama...
  3. blogger

    Video: Hizi pombe za kwenye vichupa vya plastiki zipigwe marufuku haraka, vijana wataisha

    Hali hii
  4. BARD AI

    Wanne wakamatwa kwa kutengeneza Pombe Kali 'Feki' Morogoro

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata Watu wanne ambao ni Ramadhani Mdoe (30) Mkazi wa Msamvu akiwa na wenzake watatu wakiwa wanatengeneza na kusambaza pombe kali feki katika kiwanda kisichosajiliwa (kiwanda bubu) kilichopo Mtaa wa Tushikamane Kata ya Lukobe Manispaa ya Morogoro...
  5. azithromycim

    Baba mwenye nyumba hataki nifanye biashara ya pombe kali

    Wanajamvi habari za muda huu, poleni na majukumu ya kutafuta ridhiki. Niende kwenye mada moja kwa moja. Nimepangisha fremu kwenye NYUMBA moja mjini kwa lengo la kufungua biashara ya pombe Kali yaani liquor store. Nikaingia mkataba na mwenye nyumba wa miezi kumi wakati huo yeye hajui nataka...
  6. Jugado

    Tangazo maalum kutoka bar, 2024 pombe basiiiii!

    Enough is enough.
  7. Artifact Collector

    Kukithiri kwa wingi kwa pombe fake, Mamlaka imeshindwa kudhibiti?

    Kumekuwepo kwa kukithiri kwa wingi kwa pombe fake hapa Tanzania ni kama mamlaka imeshindwa kudhibiti hali imekuwa mbaya sana serikali ionee huruma wananchi wake huko mbeleni hali itakuwa mbaya sana. Ukiwa bar kuanzia saa sita usiku na kuendelea bia zinazouzwa mida hii nyingi ni fake. Pia soma...
  8. Jaji Mfawidhi

    Dalili za kuonesha tayari una ugonjwa wa Figo: Wanywa Pombe Kali Mnasalimiwa!

    Profesa Janabi kwenye uzinduzi wa Professor Jay Foundation ametaja dalili za mtu ambaye tayari anaugonjwa wa figo. "Ukiwa na hizi dalili sio za mwanzo tena, tayari wewe umeingia kwenye ugonjwa wa Figo Katika kutaja dalili hizo, salamu hizo amelekeza kwa wale Wazee wa bapa, k-vant...
  9. Mhaya

    Mkanganyiko wa Kiimani

    Pichani, Jamaa mwenye nguo nyeupe 🤍 anadai kuambiwa na MUNGU kuwa anywe pombe lakini asioe. Vilevile jamaa mwenye nguo nyeusi 🖤 nae anadai kuambiwa na MUNGU kuwa asinywe pombe lakini aoe wanawake wengi. Je ni Upande hupi ni Sahihi, 🤍 au 🖤?
  10. King Jody

    Mlevi hawezi kukusaidia zaidi ya kukununulia pombe

    Unampigia kuwa una shida fulani, anakwambia njoo sehemu fulani, ukifika anakwambia agiza bia, kunywa tani yako usahau shida zako, Lakini kukupa pesa mkononi ni mwiko, sijui kwanini walaevi huwa hawapendi kutoa pesa taslimu, pombe utakunywa ya kutosha lakini wakati mwingi hata chakula tu hawezi...
  11. O

    Adaiwa kumuua mkewe kisha kuzunguka na mwili huo baa akinywa pombe

    Polisi wa kaunti ya Kericho nchini Kenya wako katika uchunguzi wa tukio la mwanaume mmoja kutoka eneo hilo aliyedaiwa kumuua mkewe, kisha kuzunguka na mwili huo baa akinywa pombe. Tovuti ya NTV ya nchini humo imesema mwanaume huyo mwenye umri wa miaka 46 anadaiwa kutekeleza mauaji hayo kwa...
  12. UMUGHAKA

    Je,Watu wanaowadharau wanywaji wa pombe za asili,ni uelewa Mdogo,Ulimbukeni au kufuata Mkumbo?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Ni kwanini vinywaji au pombe za kienyeji ambazo madhara yake ni madogo hazina wanywaji wengi ukilinganisha na pombe za kisasa? Tena ukionekana unakunywa pombe za kienyeji unaonekana wewe ni mlala hoi,hoe hae na utadharaurika miongoni mwa watu kwenye...
  13. Lycaon pictus

    Aina kuu tatu za ulevi wa pombe

    Ulevi wa pombe haupo wa aina moja. Kuna aina kuu tatu. 1. Hamu kali ya pombe. Ulevi wa aina hii ni ule ambao mtu anakuwa na hamu kali sana ya pombe kiasi kwamba hawezi kufanya wala kuwaza jambo lingine mpaka aipate. 2. Kushindwa kujizuia kutoendelea kunywa. Mlevi wa aina hii akianza kunywa...
  14. Tlaatlaah

    Matumizi ya pombe safarini ni hatari kwa uhai wako mwenyewe

    Maisha ni zawadi kutoka kwa Mungu, lazima tutuinze na kuithamini zawadi hii muhimu kwetu sote. Tufurahie uhai na mema mengi ya Mungu alieyoyajaza katika ulimwengu huu. Imeibuka kasumba kwa wanywaji pombe hasa vijana, mathalani, anasafiri kutoka mkoa moja kuelekea mkoa mwingine, kutumia vilevi...
  15. KING MIDAS

    Je, Kanda ya Ziwa kutumika kama daraja la kuwavusha wanasiasa 2025 waliodiriki kumkejeli Hayati Magufuli?

    JE, KANDA YA ZIWA KUTUMIKA KAMA DARAJA LA KUWAVUSHA WANASIASA 2025 WALIODIRIKI KUMKEJELI DR JOHN POMBE MAGUFULI? Baada ya kifo cha marehemu Dr John Pombe Magufuli tuliona wanasiasa waliokuwa karibu yake na wengine ambao Leo hii wapo madarakani Kwa sababu yake walianza kumnanga na kumkejeli...
  16. King Jody

    Pombe hunywi, sigara huvuti, club huendi; starehe yako ni ipi?

    Unakutana na mtu anakuuliza, unakunywa pombe? Unavuta sigara nk ukimjibu hapana situmii vyote anakwambia lazima starehe yako itakuwa kusex. Je, kuna ukweli wowote katika hili? We starehe U Hobby yako ni ipi? Tiririka, ikifanana na ya mwenzio ruksa kufahamiana zaidi Binafsi napenda- Kusikiliza...
  17. Bushmamy

    Arusha na Kilimanjaro kuna ongezeko kubwa la pombe za makopo zisizokuwa na Viwango

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko Kubwa la kila aina za pombe ambazo huwekwa katika vichupa na kufungwa vizuri na kisha kusambazwa madukani na katika bar ndogo ndogo za mtaani. Katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro hali ni mbaya kutokana na ongezeko la kila siku la aina za pombe na...
  18. sky soldier

    Addiction: Nje ya pombe, sex na kubeti una uraibu gani?

    Maziwa ya mgando kwangu ni kama mboga za majani, chakula hakishuki bila mtindi Kwa siku lazima nitumie gb 2 hadi 3, nazitumia kucheki youtube, netfllx, video calls, backups, updates, n.k. jf inatumia data kidogo sana Sigara iliwahi kuwa kama ibada kwangu, nashukuru nimeacha
  19. R

    Pombe ya Warangi (Udo), wapi inapatikana mikoani?

    Nimeimiss sana hii pombe ya kabila la Warangi inaitwa Udo. Inatengenezwa kwa mtama. Wapi inapatikana mikoa ya jirani kama Arusha na Manyara??
  20. D

    TV ya Azam Sasa rasmi kutangaza pombe hadharani

    KWA mujibu wa taarifa ya CEO wa Club ya Simba SC Imani Kajula Leo 02/11/2023 kwa vyombo vya habari, Club hiyo imeingia mkataba wa kibiashara na kampuni ya SBL watengenezaji wa pombe aina ya Serengeti! Ni mkataba wa sh 1.5 Bilioni Kwa miaka 3 ambapo itatoa fedha Kwa Simba kiasi cha shilingi 500...
Back
Top Bottom