Salamu, basi jana nikaona nichukue pombe kali nikanywee nyumbani, yule muuzaji akaniwekea kwenye bahasha nyeupe yenye maandishi pande zote.
Nilipofika nyumbani nikapiga fundo la kwanza na la pili kisha nikaanza kuipitia ile bahasha nilishtuka kidogo maana ina taarifa za wachangia damu wawili...
Ni miaka 40 toka aondoke Hayati Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine,na ni miaka mitatu toka aondoke Hayati Rais John Pombe Magufuli, Viongozi awa wametuachia alama za Uongozi wao wa mfano kwa jinsi walivyokuwa na uadilifu na kufuatilia utendaji kazi huku wakikemea ulaji rushwa,ubadhirifu wa mali...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni imewahukumu adhabu ya kifungo cha maisha jela vijana Watatu kwa kosa la uzalishaji na usambazaji wa pombe kali bandia wakitumia Kemikali ya ‘Ethanol’ isivyo halali
Wahusika hao waliohukumiwa Frank Donatus Mrema, Faham Salim Ngoda na Issa Juma Hassan walitumia...
Kwanza kabisa ifahamike hakuna watu wanapata usingizi mzuri kama wanywaji wa pombe,Hawapati ndoto za ajabu au hallucinations au sleep paraylis. Tatizo kubwa la mitungi huwa kikiumana kesho yake ukiamka nazo la sivyo ukazimue Tena moto ndo mwili unakaa sawa. na hakuna mtu ambaye hateseki na pombe...
Sawa viroba vimesepa ila vimekuwa restored.
Hizi zenye percent kubwa ya alcohol zilikuwa ni luxury drinks maana kwanza zilikuwa expensive kununua.
Kwa hio kilichofanyika ni wauzaji kuwapimia kidogo kidogo wanunuzi kwa pesa kidogo kupelekea mtu kununua kidogo kidogo kuzania anakunywa ka 1000...
Naomba kujua unywaji pombe salama na bora kiafya ni kiwango gani kwa siku?
Bia ni kiasi gani na pombe kali konyagi au K.VANY ni kiasi gani? Wadau naomba kujuzwa kiwango sahihi kwa siku.
Iko hivi,
nina marafiki wa kila aina tofauti tofauti, walevi na wasio walevi..mimi binafsi ni mywaji mzuri tu ila sio wa kubebwa.
Sasa siku kadhaa za nyuma hapo nilipata kachangamoto flani ka kimaisha nikaona ngoja niwacheck jamaa zangu(bila kujali ni mlevi au mtakatifu kama wanavyojiita)...
Pombe ni tamu sana.
Its Tuesday btw
Yani msomi kama mimi nipo ndani ya taarabu and i dont care.
Mtu amualike janabi kwenye pombe siku moja moja. naona ana miss out.
Janabi nipo na students wako tuna lewa elimu sio vitendo
Sina mda sina mda..... 🎶🎼
Nachokisema Nina uzoefu nacho sana nataka ujue ukweli kwanini mtu anafikia hatua anakunywa pombe kila siku na mtu wa hivyo usimdharau jua anakumbwa sana na changamoto ya kukosa usingizi usiku anakumbana na sleep paralysis inayomtesa sana kuacha pombe inahitaji msaada sio wote wanakunywa ukaona...
Kama wewe ni mnywaji wa pombe zinazotengenezwa kwa ngano au pombe kali inakuhusu hii.
Wataalamu wa afya wameeleza uwepo wa athari hasi, kwa wale wenye tabia za kunywa pombe kabla ya kula chakula kwani huchangia mnywaji kula chakula kidogo kuliko mahitaji ya mwili au kuharibu kuta za utumbo...
Habari wana JF poleni kwa majukumu ya kazi pamoja na adha ya Mvua nyingi za week hii.
Weekend hii imekua poa kidogo japo mifukoni na wallet zimeteteleka kimtindo ila bado tunakomaa na maisha yetu ya kila siku
Siko hapa kutoa ushuhuda kama kwa Mwamposa hapana bali imenitokea na ndio sababu...
Leo Kuna mtu kanipigia simu nikakumbuka tukio Moja miaka kama 10 imepita
Kipindi hicho ujana mwingi+ tulikua wajanja wajanja tumeshika shika vipesa si haba, npo dsm Kuna jamaa yangu ye hata tungi hapigi ananicheki hewani kuniuliza upo wapi, namwambia npo geto ila naenda bulls park(karibu na...
Kutokana na hali ya uchumi kuwa mgumu vijana wengi wameangukia kwenye unywaji wa pombe za bei rahisi zinazolewesha haraka kama sungura, master, jogoo nk.
Ukiwa mtumiaji wa hizi pombe huwezi kufanikiwa kimaisha, hizi pombe zinapunguza uwezo wa kufikiria Kuna wengine wanakunywa hizi pombe za...
Anaandika Ummy mwalimu Baada ya Report ya World Health Statistics 2023 ya WHO..
Taarifa zaidi kuhusu Kiwango cha Matumizi ya Pombe Tanzania na Magonjwa YasiyoAmbukiza.
Kwa mujibu wa World Health Statistics 2023 kiwango cha matumizi ya Pombe isiyozimuliwa (Pure alcohol - 100% ) nchini Tanzania...
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema kuwa unywaji wa pombe nchini unazidi kukithiri licha wastani wa wanaokunywa kupungua kutoka 26% mpaka 20%, hali ambayo amedai kuwa imekuwa ikichangia angezoko la magonjwa yasiyoambukiza.
Akizungumza leo April 23, 2024 alipokuwa akifungua mkutano wa kujadili...
Hali ya ulinzi na usalama Mkoa wa Ruvuma ni shwari, na ushwari huu umetokana na ushirikiano mzuri uliopo baina ya Jeshi la Polisi na wananchi kuhakikisha jamii na Mkoa kwa ujumla unaendelea kuwa salama.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linapenda kutoa taarifa ya mafanikio ya doria, misako...
WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema takwimu zinaonesha kuwa wanywaji wa pombe wameongezeka nchini hali inayofanya kuanza uhamasishaji wa kupunguza unywaji wa pombe.
Takwimu alizotoa zinaonesha kuwa mtu mmoja anakunywa lita 10.4 kwa mwaka ambapo awali mtu mmoja alikuwa anakunywa lita 9.1...
Jambo hili nililiona kwa ndugu, rafiki na mwanafunzi mwenzangu tukiwa masomoni huko chuo kikuu. wakati huo nilikua mshirika wa unywaji kabla ya kuamua bila shuruti kuachana na hiyo habari kwa hiyari bila shuruti. haikua na shida kwangu ila sikuona umuhimu wake nikaacha...
Tukiwa masomoni...
Wadau hamjamboni nyote?
#HABARI Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego amepiga marufuku wananchi wa mkoa huo kuanza kunywa pombe asubuhi badala ya kufanya shughuli za maendeleo na za kiuchumi hali ambayo inaweza kusababisha kudumaa kwa shughuli za kiuchumi kwa wananchi.
Mkuu wa mkoa ametoa...
Habari Jamiichek
Kwa muda sasa katika Jamii yetu ya Kiswahili kumekuwa na hii nadharia kwamba mwanaume akitumia pombe Kali Aina ya konyagi au k vant halafu akaenda kufanya mapenzi, hutumia muda mrefu Sana kufika mshindo kitu ambacho inasemekana kinaridhisha wanawake kiurahisi.
Huku mitaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.