Muhtasari
Uraibu si suala la dawa za kulevya au pombe pekee; ni suluhisho lililokosewa kwa matatizo ya kina yanayotokana na hali ya kutokuwa na amani na nafsi. Kuelewa uraibu kunahitaji kutazama mizizi ya kihisia inayosababisha hali hiyo na siyo kuangalia tu dalili zake za nje.
Mambo Muhimu ya...
Wakuu, jana nimetoka kwenye mishe zangu nikapitia bar flani ya jirani kupooza koo kidogo.
Wakapita walokole flani hivi tunafahamiana nikawapungia mkono,wakaniita pembeni,jambo Lao kubwa likawa wananiambia eti niache kunywa pombe kwani unywaji wa pombe ni dhambi kubwa sana.
Nikawaitikia ila...
True happyness does not demand expensive stuff.
Watu wengi duniani hawana furaha, hivyp basi inawalazimu kuforce Furaha ije hata kwa kiki ya piki piki.
Watu wafuatao hawana fursha hata kama wanajifaragua na makeke mengi.
1. Mtu anayehitaji kunywa pombe sana na vilevi vikali
2. Watu...
Wafadhili wa nini wakati tuna kila kitu Almasi,Dhahabu,ardhi yenye rutuba,sisi ndio wafadhili,naomba niwaambie ukweli,tulikuwa na shida kwa viongozi wetu.
Muhimu: Wanywaji wanakunywa bila kuharibu ratiba za shughuli zao muhimu, ni tofauti na walevi.
Haimaanishi kwamba ni wote lakini kuna kundi kubwa si haba la wanywaji wa pombe wana maendeleo kwenye jamii kwa levels kama ngazi ya familia, ukoo, mtaa, ofisi, soko, n.k.
Ukienda pale kariakoo jamii...
TCRA pia Dkt. Gwajima D waangalie namna ya kulinda watoto.
Matangazo ya pombe kuwekwa katikati wakati unatazama taarifa ya habari binafsi naona sio sawa.
Maana ni mazuri na unakuta watoto wanayafurahia kweli. Tafsiri yake inawachochea kutamani kutumia.
Hii iwe hata kwa matangazo mengine...
Mpaka sasanikitizama video za marudio ya mechi ya Yanga vs Al hilal nikiangalia jinsi ambavyo prince Dube alikuwa anaanguka peke yake bila kuguswa 😆 tena yupo kwenye position ya kufunga anaanguka kama walevi wa ambiance au K vant
Mpaka wqchezaji wa Al hilal wakawa wanaonyesha ishara ya...
Ilikuwa mida fulani hivi ya saa mbili usiku ile naingia nyumbani kabla sijafika sebuleni nikasikia ndugu zangu wanajadili "Tumemletea tiba leoleo lazima aache hizo pombe zake!"
hapo walikuwa hawajashitukia kama nimeingia na siku hiyo mpk narudi sikua nimeweka vyombo!, wakati nimeendelea...
Huwa inanichanganya. Inakuwaje pombe iwe haramu katika uislam na hapohapo watakaoingia peponi waahidiwe pombe. hebu msikilize shehe kipozeo akiwaahakikishia waislam peponi kuna pombe.https://www.youtube.com/watch?v=LW7e3PudD7k&t=14s
Zamani (kabla ya smartphone) nilikuwa nikitaka kudownload miziki naingia Waptrick. Simu kubwa zilipokuja nikaona process za kudownload kwenye browser ni ndefu kwanza vitu vyenyewe unakuta vimeongezewa au vimepunguzwa mfano ukidownload kupitia mdundo lazima ukiplay mwanzo yasikike maneno "...
Leo Mbunge Mwantumu wakati akitoa hoja yake Bungeni ameiomba serikali kusitisha kuhamasisha matumizi ya Pombe na tumbaku ( sigara).
Hoja yake ikajibiwa na Naibu Waziri wa Afya - Dkt.Godwin Mollel kwa kusema kweli mchakato umeanza lakini utaona kwenye sigara na kwenye mambo mengine kweli...
Nataka nirudi kama zamani , japo kazi ninayoifanya ni ya kutumia akili sana, kwa hiyo kuna muda nakuwa nahitaji utulivu ili kazi niifanye kwa ufanisi...nilijiingiza kwenye uraibu wa kutumia pombe Kali ( konyagi) kwangu Mimi nikinywa pombe nakuwa Na hamu ya kula Na hata kunenepa Huwa nanenepa...
Inadaiwa kuwa huyu Jamaa alikua amepanga nyumba maeneo ya Kigamboni, barabara ya kuingia Baracuda Beach. Ndani ya nyumba alikua na kiwanda cha kutengeneza pombe feki aina ya K-vant, Konyagi, Henessy na brand nyingine. Inadaiwa alimuua mmoja wa wafanyakazi wake na akamtupa kisimani.
Sasa ile...
Lengo si kuhamasisha ulevi au kutumia pombe no!
Ila ipo hivi: Imagine wewe na mpenzi wako mlikaa muda mrefu bila kuonana ile shauku ya kumuona tena mwenzako plus hamu ya ku-do!
Kunywa tu juice na maji mtakuwa hamtendeani haki. Ili kunogesha penzi mnatakiwa muwe high mtaenjoy sana.
Imagine mtu...
Kwa mujibu wa Ripoti ya mwaka 2019 ya Shirika la Afya Duniani (WHO), matumizi ya pombe, hata kwa viwango vidogo, yanaweza kuleta madhara ya kiafya, lakini madhara makubwa zaidi yanatokana na unywaji wa kupitiliza, wa mara kwa mara na kwa kiasi kikubwa.
Pia, takwimu hizo zinaonyesha kuwa...
Wakuu,
Baada ya kugombana na bosi wangu na kumtukana, kazi ikaisha.
Ghafla nikajikuta niko mtaani bila mchongo.
Ili kubuy time ikawa ni kushinda baa na kupiga visungura tangu saa mbili asubuhi hadi jioni.
Sasa bana nimepata kazi.
Najizuia nisinywe mda wa kazi maana nimeshakuwa addicted napata...
Naomba serikali iingilie kati suala la unywaji wa pombe uliokithiri katika wilaya ya Rombo, Serikali imeruhusu uanzishaji wa viwanda vya pombe za bei rahisi, "Pombe za Kijani" kwa kuangalia mapato ila kizazi cha Rombo kinateketea.
Baada ya miaka kadhaa ijayo Rombo itakuwa na hali mbaya sana...
Kuna uhusiano gani kati ya pombe na Kiingereza? Kwanini wanywaji wa pombe walio wengi huzungumza kizungu mara baada ya kulewa? Japo ni broken English lakini najiuliza kwanini isiwe kichina? Au Kiarabu? Na lugha nyingine?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.